Si kila mwanamke Aliye JF ni Malaya

Si kila mwanamke Aliye JF ni Malaya

Hilo ni jina la kike acha ubishi.
Muhimu umekubali kuwa wewe ni Binti. Na mwingine kakupa ushahidi kuwa mwanae wa kike anaitwa zurri.
Nilikwambia hivi katika wanaume kuna wanaume.

Huwa hatuandiki sana, wanaume tuko hivi, tunapopewa habari tunazihakiki kwanza, sasa nakutuma huyo aliyeweka unao dai kuwa ni ushahidi, mwambie alete ushahidi wa hilo. Kama hutaweza kukaa kuulizia hilo kaa kimya, ukiendelea nakuja kukwambia kwanini nasema "Katika wanaume kuna wanaume" kisha nakuweka pale unapostahiki.

Ahsante.
 
Jamani Leo ni weekend

Na hili jukwaa Wana MMU kila mmoja Ana haki ya kueleza yaliyo moyoni mwake sasa si kila tunaloleta shida zetu hasa sisi wanawake mkahisi tunashida ya kutongozwa sana au Malaya

Sent using Jamii Forums mobile app
Kutongozwa kawaida kwa mwanamke. Usipotingozwa utaanza kujiuliza kwanini..Labda useme kukubaliana na mtogozo hilo ni suala lingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimetoa kazi hapa, mtoto wa kike anaetumia jina "Zurri" awekwe hapa na waambatanishe na ushahidi, wakiweza kufanya hivyo, naacha kutumia hii "Id" sasa watu waache utoto na kuleta utani katika mambo yanayo hitaji umakini.
Sawa mwaya wamekusikia
 
Back
Top Bottom