Si kila mwanamke Aliye JF ni Malaya

Si kila mwanamke Aliye JF ni Malaya

huyu blah blah nyingi.
Now anajifanya mwana falsafa mara sijui kuna wanaume na wanaume.
Kwa kifupi anahangaika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe na wewe ni kachokozi hivi, by the way mie alishaniambia kwanini anajiita hivyo so hapa niko namzingua tu mimi hata sijui kama kuna watoto wa kike wanaitwa Zurri au la ila sema labda jina tu lilivyokaa ndiyo lilituchanganya wengi.
 
Jamani Leo ni weekend

Na hili jukwaa Wana MMU kila mmoja Ana haki ya kueleza yaliyo moyoni mwake sasa si kila tunaloleta shida zetu hasa sisi wanawake mkahisi tunashida ya kutongozwa sana au Malaya

Sent using Jamii Forums mobile app
Baelese mama.

Wengine hatukujaliwa kutongoza Avatar yake/ID fake. Mwisho ukutane na jini.

Raha ya kutongoza kitu kiwe live au angalau uone picha halisi.

Watu washetongoza midume, miparody.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe na wewe ni kachokozi hivi, by the way mie alishaniambia kwanini anajiita hivyo so hapa niko namzingua tu mimi hata sijui kama kuna watoto wa kike wanaitwa Zurri au la ila sema labda jina tu lilivyokaa ndiyo lilituchanganya wengi.
Huyu huwa namfananisha na santino Cha ukorofi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesoma comments
I honestly always know Zurri ni Mwanamke
Nilimuacha anabishana na Scars nikasema huyu dada anakaza kweli
.
Sorry bro I didn't mean to heart Aisee
Change your Name though
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niambie ni mwanamke gani anatumia jina "Zurri" maama hapo kuna "madda". Ukiweka ushahidi huo naacha kutumia hii "Id" na kuujiita aidha "Sakkaak" au "Zinjaan" au "Mubarrida"

Ahsante.
[emoji3][emoji3][emoji3]Zurriyat Abdallah
.
Zurrie Ngume

Hawa apo juu Mkuu [emoji115] [emoji115]
Nisiwe mnafki pia Zurri wanaume nimewaona [emoji116] [emoji116]

Zuri K Mohammed

Kwa Maana Hiyo watu waki-kushuku kuwa Wewe ni Mwanamke wapo Sahihi, Wewe kujiita Zurri upo Sahihi pia
.
Basi bwana kazi kwako, Uchague uendelee kuhisiwa we ni Mwanamke, PM uzipate, Members wakujibu kimahaba kweny Nyuzi (sio wote wamejua[emoji1745]) AU
Uamua kukata Mzizi wa fitna ujiite Zinjaan (or other) as you you said Sir [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom