Si kila mwanamke Aliye JF ni Malaya

Si kila mwanamke Aliye JF ni Malaya

Kuna kazi nimetoa hapa, walete jina la mtoto wa kike linalosomeka "Zurri" hakuna na hatatokea, sasa sisi tuna sema hivi :

"Usishughulike na Mpumbavu-kwani kumnyamazia kimya mpumbavu ni jibu, kumpuuzia kimya mpumbavu ni kumpa adhabu"

Tujikite na mada...
Una mchango gani kuhusu mada?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una mchango gani kuhusu mada?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili sasa ndio la msingi na nilikuwa nasisitiza watu wajikite kwenye mada na wasinajisi mada ya huyu binti.

Mchango wangu upo kati na kati, mpaka nitakapo pata ushahidi juu ya hili alilo tuwekea mtoa mada.

Naendelea kusoma maoni.

Ahsante.
 
Ukitaja ngono tu, woooooooooooooooooooooote wanakuja. Ona thread inavyochanja mbuga!
 
Back
Top Bottom