Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,347
- 201,622
Kwema lakini bro. amu ni mtani wangu ndo maana nikasema hivyo...
Kwema bro vipi hali yenu huko?
Naelewa
Kwema lakini bro. amu ni mtani wangu ndo maana nikasema hivyo...
Hata mimi naonaBila shaka.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Wewe hata nikikuonyesha kidude utakimbia.
Ushazoea kukimbia kimbia
Ujue Mimi mwenyewe nilijua id ya kike hadi siku ile alipokuja kwenye ule uzi wa nyenyere[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hilo jina wenzako wanajua wewe ni ke, hata usiwalaumu.
Mimi ni jeshi. Hadi digba sowey kaja kuniomba msamaha PM na kaahidi kubadilika.
Ha ha ha inabidi ukosee kwanza ndiyo uje.Afadhali kama kafanya hivyo. Kaonyesha uungwana. PM yako iko wazi nami nije niombe msamaha kwa kosa ambalo pengine nitakukosea huko mbele ya safari? [emoji16]
Mkianza kutajana majina yenu ban zitaanza kutembea sasa hivi [emoji16]Halafu ujue kama nataka kukufahamu vile,na ujue unaweza kuwa unabishana na baba yako. are you not Anna laulent?
Sent using Jamii Forums mobile app
Afadhali kama kafanya hivyo. Kaonyesha uungwana. PM yako iko wazi nami nije niombe msamaha kwa kosa ambalo pengine nitakukosea huko mbele ya safari? [emoji16]
Na mimi naomba [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Wewe bisha tuuSio kweli mkuu,Sina muda wa kuomba msamaha Mimi,huwa na omba msamaha kwa Mungu tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiilalie mlango wazi [emoji16][emoji16][emoji16]Hapa ndiyo pale pakutumia ile misemo kama “bahati ya mwezio” [emoji2][emoji3][emoji2][emoji3][emoji2]
anatumia jina la kike halafu anashobokea wanaume.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
JF bana. Halafu anayeambiwa hivyo ni kidume
Lugha imechanganyia😂😂😂😂.Halafu ujue kama nataka kukufahamu vile,na ujue unaweza kuwa unabishana na baba yako. are you not Anna laulent?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe bisha tuu
Nini maana ya malaya?Jamani Leo ni weekend
Na hili jukwaa Wana MMU kila mmoja Ana haki ya kueleza yaliyo moyoni mwake sasa si kila tunaloleta shida zetu hasa sisi wanawake mkahisi tunashida ya kutongozwa sana au Malaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa. Ngoja niandae "kosa" kwanza ndo nije [emoji16][emoji16]Ha ha ha inabidi ukosee kwanza ndiyo uje.
Nakuonyesha Cole usijali
Kwanini nidanganye? Angeniambia niweke ushahidi kama siyo kweli.Nauhakika hajaomba msamaha ila huu ni muendelezo wako daaaa
Lugha imechanganyia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Jina lake kwa kweli linawachanganya mabaharia.anatumia jina la kike halafu anashobokea wanaume.
Akipapaswa nyuma analeta hasira.
Atulie...