Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Sijaelewa hapa, wewe ni binti au ulikuwa unamkusudia nani hapa ?
Post ilikuwa ya Hannah, tumeanzia mahali.
Sijaelewa hapa, wewe ni binti au ulikuwa unamkusudia nani hapa ?
Si kale kampango.
Kwema lakini bro. amu ni mtani wangu ndo maana nikasema hivyo...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Bro swali gumu hili ngoja nijishauri kwanza
Niambie ni mwanamke gani anatumia jina "Zurri" maama hapo kuna "madda". Ukiweka ushahidi huo naacha kutumia hii "Id" na kuujiita aidha "Sakkaak" au "Zinjaan" au "Mubarrida"😳Mbona anatumia jina la kike.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
JF bana. Halafu anayeambiwa hivyo ni kidume
aisee ulijuaje kuwa ni Me 😂😂[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] mwee
Naomba nionyeshe mimi amu
Aaaah! Sasa nimeelewa. Nilikuwa nashangaa kinachoendelea....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hilo jina wenzako wanajua wewe ni ke, hata usiwalaumu.
Lazima niwalaumu sababu hakuna mwanamke anaeitwa "Zurri" kama yupo wamlete hapa, kisha nitatumia majina niliyoyataja huko juu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hilo jina wenzako wanajua wewe ni ke, hata usiwalaumu.
Hivi yule mtoto wa Nikki wa pili ni wakike au wa kiume?Niambie ni mwanamke gani anatumia jina "Zurri" maama hapo kuna "madda". Ukiweka ushahidi huo naacha kutumia hii "Id" na kuujiita aidha "Sakkaak" au "Zinjaan" au "Mubarrida"
Ahsante.
Na mimi naomba [emoji2099][emoji2099][emoji2099]Nakuonyesha Cole usijali
Niambie ni mwanamke gani anatumia jina "Zurri" maama hapo kuna "madda". Ukiweka ushahidi huo naacha kutumia hii "Id" na kuujiita aidha "Sakkaak" au "Zinjaan" au "Mubarrida"
Ahsante.
Okay, kumradhi chief.
Tuko pamoja.
Jaman kuhusu fusa za vidume wa JF kupewa nafasi na dada zetuSijaelewa hebu nifafanulie tena
Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.
Afadhali kama kafanya hivyo. Kaonyesha uungwana. PM yako iko wazi nami nije niombe msamaha kwa kosa ambalo pengine nitakukosea huko mbele ya safari? [emoji16]Mimi ni jeshi. Hadi digba sowey kaja kuniomba msamaha PM na kaahidi kubadilika.
Afadhali kama kafanya hivyo. Kaonyesha uungwana. PM yako iko wazi nami nije niombe msamaha kwa kosa ambalo pengine nitakukosea huko mbele ya safari? [emoji16]
Na mimi naomba [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Mimi ni jeshi. Hadi digba sowey kaja kuniomba msamaha PM na kaahidi kubadilika.