Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 10,225
- 41,841
Anza kuandika vibroken halafu uwe unawakosoa wenzako.Nafasi ya mabishano ningeipata mimi, ningefurahi sana
Anza kuandika vibroken halafu uwe unawakosoa wenzako.Nafasi ya mabishano ningeipata mimi, ningefurahi sana
Siye
Ya PM yabaki PM. Always [emoji16]Kwanini nidanganye? Angeniambia niweke ushahidi kama siyo kweli.
Kama nadanganya aseme niweke ushahidi kutoka pm.
Kwanini nidanganye? Angeniambia niweke ushahidi kama siyo kweli.
Kama nadanganya aseme niweke ushahidi kutoka pm.
Anza kuandika vibroken halafu uwe unawakosoa wenzako.
Jina lake kwa kweli linawachanganya mabaharia.
Halafu na anajiweka weka mbele ya wanaume.Jina lake kwa kweli linawachanganya mabaharia.
Kiukweli me najuaga ni Ke.Mabaharia ukute walishazama Pm 🤣🤣🤣🤣
Nimefanya kazi nzuri eh.Babe nakupenda hivyo hivyo ❤❤❤
Kumbe? 😂😂Kukosolewa na wewe kwangu itakuwa ni zaidi ya Dream come true
Si kale kampango.
Naja sasa.
Hapo sasa [emoji16][emoji16][emoji16]Mabaharia ukute walishazama Pm [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Poa.Bint yangu anaitwa Zurri.
Nafikiri hata mtoto wa Jestina nae anaitwa Zurri ni wa kike pia.
Hivi yule mtoto wa Nikki wa pili ni wakike au wa kiume?
Tuendelee na mada.Hata mimi naona
Kuna kazi nimetoa hapa, walete jina la mtoto wa kike linalosomeka "Zurri" hakuna na hatatokea, sasa sisi tuna sema hivi :Ujue Mimi mwenyewe nilijua id ya kike hadi siku ile alipokuja kwenye ule uzi wa nyenyere
Sent using Jamii Forums mobile app