Si kila mwanamke Aliye JF ni Malaya

Si kila mwanamke Aliye JF ni Malaya

Mwenyewe anasema eti siyo la kike, labda atuambie mwenyewe kwanini aliamua kujiita hivyo na si vinginevyo.

Narudisha mic kwa mheshimiwa Zurri
Nimetoa kazi hapa, mtoto wa kike anaetumia jina "Zurri" awekwe hapa na waambatanishe na ushahidi, wakiweza kufanya hivyo, naacha kutumia hii "Id" sasa watu waache utoto na kuleta utani katika mambo yanayo hitaji umakini.
 
Back
Top Bottom