Geniustin
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 4,380
- 2,843
Hahaha...umenikumbusha mzee, Kabisa alipotoka Kisusange, aliKaimu Asesisye...alipohamishwa, akaletwa Mgaya.Mm nimekuwepo enzi sa kisusange, akaja bwana mmoja anaitwa Mgaya na baadae akaja Mng'ong'o.
Iyunga is good place kwa kweli
Then, Mgaya akateuliwa kuwa Afisa Elimu. Ndo akashika usukani Maximo.
Daah! Mgaya alikuwa bonge la Mkuu wa Shule na aliikuta shule ipo kweny mtafaruku.
Mgay anakumbuka siku moja tupo Assembly akanukuu maneno ya bob Marley




ule wa One Blood...hahaha


