Shule hii Mbeya iko wapi?

Shule hii Mbeya iko wapi?

Mkuu dispensary ilikuwa bweni LA Benjamin mkapa

Lile lenye vyemba vizuri liko kati ya shaban Robert na Luthuli
Yap...nimekumbuka.

Ndo waliamua kuigeuza iwe Bweni, kea kuanzia wakaanza kuwaweka wanafunzi wa Advance.
 
Aisee kumbe wewe ulisoma enzi za mng'ong'o head master .

Nilikuwa pale enzi za KISUSANGE
Mimi nimekuwa pale enzi zote...Za Kisusange, ikaja enzi ya mpito ya Mwl Asesisye.
Akaja Mng'ong'o.

Nikaondoka nikamuacha Mng'ong'o, alikuwa mbabe sana yule Mwl.
 
Hahahahahah mademu wa Loz tumebambia sana enzi hizo na pafyumu za kuazima

Kero ilikuwa kuvunwa mikanda kwenye scramble ya mesini, ukiwa na mtambo wa kuboil maji wewe ni mtemi..... ile baridi kali assemble ni bora kujificha darini tu.
 
Wakati Nipo Form 4 bweni la mkapa likiungua. Dispensary ilihamishiwa hapa shaban robert
Mkuu dispensary ilikuwa bweni LA Benjamin mkapa

Lile lenye vyemba vizuri liko kati ya shaban Robert na Luthuli
 
Mm nimekuwepo enzi sa kisusange, akaja bwana mmoja anaitwa Mgaya na baadae akaja Mng'ong'o.

Iyunga is good place kwa kweli
Aisee kumbe wewe ulisoma enzi za mng'ong'o head master .

Nilikuwa pale enzi za KISUSANGE
 
Meta sekondari ni ya wazazi wa CCM, ninayoitafuta lilikuwa ya serikali lilikuwa shule ya bweni na haikuwa mbali sana na uwanja wa mpira wa zamani ilitenganishwa na uwanja wa Raga (rugby). Au CCM ilichukua?
Sio mbeya day hio
 
Acha kabisa. Nilikuwa na mitambo miwili nilikuwa nachesha mahindi tuuu. Ukiingia Bweni la Luthuli darini kuna mabunzi ya mahindi kama gunia 10 hivi. Nilikuwa naiba mahindi mashamba ya barabarani jirani na uwanja wa basket
Kero ilikuwa kuvunwa mikanda kwenye scramble ya mesini, ukiwa na mtambo wa kuboil maji wewe ni mtemi..... ile baridi kali assemble ni bora kujificha darini tu.
 
Mimi nimekuwa pale enzi zote...Za Kisusange, ikaja enzi ya mpito ya Mwl Asesisye.
Akaja Mng'ong'o.

Nikaondoka nikamuacha Mng'ong'o, alikuwa mbabe sana yule Mwl.
Nilianza enzi za kisusuanga assesisye alinikuta form 4 sisi ndio tulimfanya atimuliwe pale akapelekwa wizarani
 
Back
Top Bottom