Hahahaaaa naiona Magamba Boyz hapo. Safi sana. Haya Gambian Boyz kujeni huku akina Mbunge Mtarajiwa Mohamedi Mtoi
Mruma pembeni na mama dorieee
Umenena , sie ndio tunaijua hii tz na siasa zake ndio maana tutakuambia huyu sio huyu ndio, ninyi mnajua siasa za Wema sepetu sijui team nani sie tuliosoma vizuri neno team halipo kwenye kamusi yetu-tupo analytical. mmekosa elimu nyie vijana wa feza girls mariana girls
Nakumbuka enzi hzo phyiscs kakamata MrMbata,maths Mama Sekilasi pale MrMtoni,MrMwaliki Mrs Msumi jamani nimekumbaje?
nilifaulu shule mbili la saba na form four zilizopo kwenye list yako ila nikaendaga private shaaban robert je mimi nikilaza pia?
Katika hizo shule ulizotaja kuna hata moja ada inazidi milioni? Unaipima akili kwa kusoma shule za bei rahisi. Badilisha title ya thread yako IWE KAMA UMESOMA KATIKA SHULE HIZI BASI WEWE NI MASKINI.
Wajanja waliosoma Loyola, Cambridge , St. Marrys, Makongo, Jite ya enzi hizo, St. Anthony ya miaka hiyo, FEZA boys na nyinginezo nyingi.
Hizo shule ulizotaja hakuna chochote cha maana zaidi ya kujifunza kunywa MATAPUTAPU katika umri mdogo.
KIPIMO HALISI: Angalia tuu mlivyojazana humu JF lazima mtakuwa na kasoro tuu. Au MAPIMBI SQUARE
Ni kilaza hasa, wapi Ndanda secondary, Mtwara technical, Mtwara girls, Masasi girls.