Skillionare
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 1,190
- 528
...kaangalie kwenye matokeo ya form six ya mwaka jana au juzi nadhani hakuna hata moja ya hizo kwenye 50 bora. Ilboru ni ya hamsini na tatu na ndo inawaongoza Wa serikalini. Ingawa Mimi nimo katiyazo, hamnamo kitu anymore....
Ni kilaza hasa, wapi Ndanda secondary, Mtwara technical, Mtwara girls, Masasi girls.
maisha ni kitu kingine ndg. umesahau miaka ya kati hapa watoto wa wenye nazo walikuwa wakifeli wanaenda uganda wakirud full english wanashikwa mikono hadi ofcn wanapiga kazi?Nakumbukuka nliongoza interview kwenye kundi la waliosoma shule hizo
halafu hao ambao hawakusoma shule hizo ndio wanamaisha mazuri kuliko nyie
Katika hizo shule ulizotaja kuna hata moja ada inazidi milioni? Unaipima akili kwa kusoma shule za bei rahisi. Badilisha title ya thread yako IWE KAMA UMESOMA KATIKA SHULE HIZI BASI WEWE NI MASKINI.
Wajanja waliosoma Loyola, Cambridge , St. Marrys, Makongo, Jite ya enzi hizo, St. Anthony ya miaka hiyo, FEZA boys na nyinginezo nyingi.
Hizo shule ulizotaja hakuna chochote cha maana zaidi ya kujifunza kunywa MATAPUTAPU katika umri mdogo.
KIPIMO HALISI: Angalia tuu mlivyojazana humu JF lazima mtakuwa na kasoro tuu. Au MAPIMBI SQUARE
Hebu ongezea Jumuiya secondary school Tanga na Kinondoni Muslim