AdanaVural
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 628
- 354
wengine hizo shule walisoma babu zetu
Kubalini kataeni yaani uzao wenu nyinyi ni uzao uliopotea. Wenzenu umri wenu mliosoma nao wako vizuri kwa umri wao hata hawahangaiki kuja kupigizana kelele. Nyie mlichezea maisha matokeo yake ndio haya.
mwariki na kiingereza chake km anapanda milima
Hahahaha hatare bila kumsahau Mrs Mwang'amba,mr mwabutu,MrsKesy,Miss Msungu,mama semboja jamani nakumbuka enzi za UA,UB,MA,MB,SA,SB,JA,JB
Kiukweli waliopita hizo shule wamejaa serikali na wengine ni mafisadi haina maana kuwa waliopita hizo shule ndiyo wana akili sana hapana ni mbeleko tu.cjapita shule hizo na nna degree ya heshima (Hon.degree) from UDSM.
Hao uliopita nao huko wako wapi?
Sijaiona Lake Secondary ya Magadula R.I.P kuna mdogo wangu alikuwa anasoma pale alinisumbua sana miaka ya 90s.Shule zote za Mwanza ulizozitaja tulikuwa tunazipiga gap ile mbaya kwenye mitihani ya Mock! Miaka hiyo ya '90s nakushangaa unapotuita vilaza wakati mlikuwa hamwoni ndani kwenye mitihani!!! Hizo shule sasa hivi zimebaki jina tu hazina lolote la kujivunia sasa hivi! Pamoja na kutosoma shule hizo sasa hivi tunapiga maisha kama kawaida!!
Shikamoo;Bweni la Ujamaa;mwenge,Mandela....na half mile