Haya mambo yapo ila yalikua underground PJ
Sure!
Haya mambo ya aibu hivi yamezaliwa lini?
Sure!
Haya mambo ya aibu hivi yamezaliwa lini?
Ujinga mwingine haubebeki
Jee shule hiyo ina wanafunzi wakristo na waislam wangapi?hilo ndilo suala la msingi
Jee shule hiyo ina wanafunzi wakristo na waislam wangapi?hilo ndilo suala la msingi
Kutoka mkoani Mtwara wilayani Masasi taarifa za hivi punde zimemkariri mkuu wa sekondari ya Ndanda (aliwahi kusoma rais Benjamin Mkapa) akifunga shule hiyo kutokana na mgogoro wa kidini.
Sababu ambayo tumefanikiwa kuinasa ni kuwa eti waislamu wa shule hiyo hawajafurahishwa na kitendo cha Kaka mkuu na msaidizi wake wote kuwa wakristu( haijajulikana kama wamechaguliwa au kuteuliwa). Hili ni jaribio lingine la utangamano na amani ya taifa hili.
Kikwete (unatuhumiwa kupandikiza udini) upo hapo? Haya TBC watalificha na hili leo?
Astaghfilulah
Naamini ni ya serikali, ni kati ya shule kongwe kabisa nchini, jamii ya Ilboru, Mazengo, Kilakala etc! aidha nadhani ilikuwa ya kanisa na ilitaifishwa enzi za Siasa NI kILIMO!Kwa hiyo shule inamilikiwa na nani!
Hivi hawa watoto laiti wangejua jinsi gani tunavyopata shida ya kutafuta pesa kwa ajili yao halafu wanakwenda shule kuleta ujinga badala ya kusoma wanakera sana. Wanajua fika hiyo ilikuwa ni shule ya mission na ilijengwa na wakatoliki wanachotaka ni elimu ama msikiti????
Kama wanakwenda kusoma wakae wasome na kama wanafuata miskiti na makanisa basi warudishwe wakashindi miskitini na makanisani waaache wale wanaohitaji kusoma.
Wazazi tunajinyima sababu yao wapate elimu kwa manufaa yao wanaleta upuzi walimu fanyeni kazi yenu charaza wote bakora inaumma sana kwakweli kama kunaninaye mkwaza anisamehee ila sipedi migomo ya kijinga :embarassed2: