Shule aliyosoma Mkapa yafungwa kwasababu ya udini (waislam vs wakristu) ni kasheshe!

Status
Not open for further replies.

sugi

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
1,392
293
Shule ya sekondari ya ndanda imefungwa kwa muda usiojulikana,kufuatia mgogoro wa kidini,wanafunzi wakiislamu wanadai eneo la kujenga msikiti eneo la shule
 
Ni mazingira gani yalisababisha mgogoro huo? hiyo shule inamilikiwa na taasisi ya dini ya kiislamu? Hakuna mskiti wa kuswalia kijiji iliyopo shule? Je kila dhehebu likidai nyumba ya ibada ijengwe hapo shuleni patatosha?? Hebu nisaidie majibu mkuu
 
Shule ni ya serikali,ila ni majengo ya kanisa la roman,karibu sana na shule kuna lkanisa la roman,so wanataka kuwe na msikiti pia,its nonsense
 
Hivi hawa watoto laiti wangejua jinsi gani tunavyopata shida ya kutafuta pesa kwa ajili yao halafu wanakwenda shule kuleta ujinga badala ya kusoma wanakera sana. Wanajua fika hiyo ilikuwa ni shule ya mission na ilijengwa na wakatoliki wanachotaka ni elimu ama msikiti????

Kama wanakwenda kusoma wakae wasome na kama wanafuata miskiti na makanisa basi warudishwe wakashindi miskitini na makanisani waaache wale wanaohitaji kusoma.

Wazazi tunajinyima sababu yao wapate elimu kwa manufaa yao wanaleta upuzi walimu fanyeni kazi yenu charaza wote bakora inaumma sana kwakweli kama kunaninaye mkwaza anisamehee ila sipedi migomo ya kijinga :embarassed2:
 
wakipewa eneo jirani na shule wanaweza kutoa hela za kujenga msikiti bila kuitegemea serikali wala wanakijiji??
 
ushindani mwingine........labda niulize je kanisa limejengwa baada ya shule kuwa chini ya serikali au lilikuwepo toka likiwa chini ya RC kama ndivyo kwanini leo kunatakiwa kujengwa msikiti
 
Ni mazingira gani yalisababisha mgogoro huo? hiyo shule inamilikiwa na taasisi ya dini ya kiislamu? Hakuna mskiti wa kuswalia kijiji iliyopo shule? Je kila dhehebu likidai nyumba ya ibada ijengwe hapo shuleni patatosha?? Hebu nisaidie majibu mkuu

This is an important observation!! Kila dhehebu likidai kujenga nyumba ya ibada itakuwaje jamani. Fukuza takataka wakasome madrasa
 
ushindani mwingine........labda niulize je kanisa limejengwa baada ya shule kuwa chini ya serikali au lilikuwepo toka likiwa chini ya RC kama ndivyo kwanini leo kunatakiwa kujengwa msikiti
Hiyo shule imejengwa na wamisionari na serikali ikaitaifisha. kwa bahati mbaya imezungukwa na maeneo yenye investments za hao watu wa dini, sijui hilo eneo la kujenga msikiti watalipata wapi, labda wajenge ndani ya eneo la shule. na wakijenga ndani ya shule na wakristo nao wanaweza kuanza kudai kanisa lijengwe. Hivi kweli kutokuwepo msikiti au kanisa karibu na shule kunawazuia kuabudu?
 
Ni mazingira gani yalisababisha mgogoro huo? hiyo shule inamilikiwa na taasisi ya dini ya kiislamu? Hakuna mskiti wa kuswalia kijiji iliyopo shule? Je kila dhehebu likidai nyumba ya ibada ijengwe hapo shuleni patatosha?? Hebu nisaidie majibu mkuu

Mambo mengine ni kwamba wanafunzi wenyewe wanakuwa na ufinyu wa mawazo
 
ushindani mwingine........labda niulize je kanisa limejengwa baada ya shule kuwa chini ya serikali au lilikuwepo toka likiwa chini ya RC kama ndivyo kwanini leo kunatakiwa kujengwa msikiti

Ni usawa tu, kama kuna Kanisa karibu, sioni ugumu wa kuwajengea msikiti hata mdogo tu waweze kuabudu!
 
Hivi hawa watoto laiti wangejua jinsi gani tunavyopata shida ya kutafuta pesa kwa ajili yao halafu wanakwenda shule kuleta ujinga badala ya kusoma wanakera sana. Wanajua fika hiyo ilikuwa ni shule ya mission na ilijengwa na wakatoliki wanachotaka ni elimu ama msikiti????

Kama wanakwenda kusoma wakae wasome na kama wanafuata miskiti na makanisa basi warudishwe wakashindi miskitini na makanisani waaache wale wanaohitaji kusoma.

Wazazi tunajinyima sababu yao wapate elimu kwa manufaa yao wanaleta upuzi walimu fanyeni kazi yenu charaza wote bakora inaumma sana kwakweli kama kunaninaye mkwaza anisamehee ila sipedi migomo ya kijinga :embarassed2:

Bora kama wana hamu ya mgomo wawasaidie walim wao kwenye kugoma ili serikali iwape madeni yao au wajekuwasaidia wale wazee wa East Africa
 
Je ni ule udini Jk alianza kuupandikiza mwaka jana unaanza?
 
Mi nadhani tusifikirie vibaya, nadhani ni kuwa pale shule kuna vijana wa Kiislam, sasa wao wakaswali wapi jamani? Kuna ubaya gani kuomba watengewe sehemu ya kufanyia ibada. Tusilichulie hili swala ki udini udini tu...
 
Kwa wanaoijua shule ya Bondeni secondary iliyopo arusha town, just because kuna msikiti pale ni sahihi kweli wanafunzi wa kikristu wa pale wakihitaji kujengewa kanisa pale katika eneo la wazi lililobaki?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom