Shule aliyosoma Mkapa yafungwa kwasababu ya udini (waislam vs wakristu) ni kasheshe!

Status
Not open for further replies.
Ni usawa tu, kama kuna Kanisa karibu, sioni ugumu wa kuwajengea msikiti hata mdogo tu waweze kuabudu!

sidhani kama kuna ulazima wa kujenga huo msikiti kwani hiyo shule mwanzo ilikuw achini ya kanisa na naamini kuzunguka maeneo ya shule lazima kuna msikiti ... hali hii tukiruhusu basi inamaana shule zote kuwa na misikiti na makanisa haijarishi shule iko chini ya milki ipi .. kitu ambacho kitakuwa cha ajabu
 
Mi nadhani tusifikirie vibaya, nadhani ni kuwa pale shule kuna vijana wa Kiislam, sasa wao wakaswali wapi jamani? Kuna ubaya gani kuomba watengewe sehemu ya kufanyia ibada. Tusilichulie hili swala ki udini udini tu...
Miaka yote huwa wanapewa chumba cha kuswalia kama ambavyo wasabato wanavyopewa chumba cha kuabudia hapo ndani ya shule.
 
hakika tunako elekea sasa ni sawa na giza la usiku wa manane. Hivi Ndanda sec ni ya tangu lini? Kama ni ya zamani, say 10yrs ago, ndiyo tuseme kwamba hao wote waliosoma hapo bila ya kuwa na msikiti walifeli ktk masomo yao?

Naomba MUNGU awajaze BUSARA na HEKIMA hao watoto wa Kiislamu ili wafanye na watimize kile kilicho wapeleka Ndanda Sec.
 
hili ni suala dogo ila isipochukuliwa kwa uangalifu litaleta machafuko
 
hao wanafunzi wa kiislam wanataka kusoma au kuwa masheikh ubwabwa au maalim kitumbua.waache ujinga,kanisa la ndanda lilianza kabla ya shule.
 
Kutoka mkoani Mtwara wilayani Masasi taarifa za hivi punde zimemkariri mkuu wa sekondari ya Ndanda (aliwahi kusoma rais Benjamin Mkapa) akifunga shule hiyo kutokana na mgogoro wa kidini.

Sababu ambayo tumefanikiwa kuinasa ni kuwa eti waislamu wa shule hiyo hawajafurahishwa na kitendo cha Kaka mkuu na msaidizi wake wote kuwa wakristu( haijajulikana kama wamechaguliwa au kuteuliwa). Hili ni jaribio lingine la utangamano na amani ya taifa hili.

Kikwete (unatuhumiwa kupandikiza udini) upo hapo? Haya TBC watalificha na hili leo?
 
Dah,
so funny,hawa watoto wana mtindio wa ub0ngo,wamefuata uongoz au shule?
Astaghfilulah,waislam wenzangu mnalilia UKAKA MKUU?
 
Jee shule hiyo ina wanafunzi wakristo na waislam wangapi?hilo ndilo suala la msingi
 
Miaka 50 ya Uhuru alafu bado wamejifanya wameweza! na wameziba pua huku wanasonga mbele na arufu ya udini.
 
Hii mbegu inayopandwa ikiota kutakoma, na tutaanza na wapandaji aisee
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom