AMRAN BATENGA aingilia mgogoro, SHERALY amuingiza mkenge apewa ahadi uenyekiti wa bodi shule ya Thaqaafa na msikiti wa Ijumaa

Nyanswe Nsame

Senior Member
Jul 9, 2019
158
175
AMRAN BATENGA aingilia mgogoro, SHERALY amuingiza mkenge apewa ahadi uenyekiti wa bodi shule ya Thaqaafa na msikiti wa Ijumaa

Katika namna ya pekee sana leo nimeandika makala ya kipekee kuwaenzi wazee wa
kiislamu wa jiji la Mwanza, Wazee ambao maisha yao yameacha athari njema na nuru
ya uislamu katika jiji la Mwanza jambo la fahari na kujivunia waislamu wa Mwanza.

Wazee hao wakiongozwa na Marehemu Sheikh Amin, Marehemu wengine Mzee
Magongo Amani Mzee Amani Masha, Mzee Idd Mtingwa mzee Mansur Abdallah, mzee
Abdallah Mtoro, mzee Mohamed Saleh Bajber, mzee Khamis Ibrahim, Mzee Poyo,
Sheikh Hussein Salum, na mzee Byabagambi Wengine sijawataja. Walikuwa ni wazee wachaMungu wakiupenda uislamu na wakajitolea kwa hali na mali ili kuujenga uislamu wa Mwanza kiasi kwa leo maisha yao yanakuja kuonekana kuwa walikua ni tunu na zawadi njme katika kuujenga uislamu wa Mwanza.

Kwanza ifahamike Mwanza waislamu ni wachache sana ukilinganisha na wakazi wote wa mjini Mwanza ambao kwa nyakati zile wapagani walikuwa ni wengi kuliko dini zote hapa Tanzania. Licha ya uchache wao Mwanza mjini hakukua na kanisa bali makanisa yote yalianzia milimani na mjini ilitawala misikiti kila kona na kila mtaa.

Ukiangalia kitovu cha mji wa Mwanza mitaa ya Lumumba, uhuru na Rufiji utashuhudia
haya kwa misikiti kila kona kuanzia Msikiti wa Ijumaa, Raudhwa, Ibaadhi, Memon na
masjd Noor Masikiti wa Sheikh Amin, mitaa hii ndiyo kitovu cha mji wa Mwanza kabla
haujafika uhuru na Rufiji ni misikiti tu hakuna kanisa katika kitovu hiki,bila shaka ni
juhudi za wazee wetu hawa katika kuipenda na kupigania uislamu.

Ukiacha kitovu cha mji bado wazee wetu hawa walijitahidi sana kuanzisha mitaa ya
waislamu na kuweka misikiti na leo mitaa hiyo imekuta kitovu cha harakati za
kuendeleza uislamu maeneo kama vile Kirumba ,igogo,Nyakato,Butimba,Mkolani
,Selemani,Ghana,Pasiansi,Igoma nk ni maeneo ambayo waislamu walikuwa wengi na tayari walikuwa na misikiti yao mizuri na madrasa zao.

Katika suala la elimu ya sekula Mwanza umekuwa ndiyo mkoa wa kipekee baada ya Dar es Salaam ujenga shule nyingi za waislamu kuliko mkoa wowote Tanzania. Zote ni juhudi za wazee wetu hawa tunu zao ziivyoing'arisha Mwanza katika maendeleo ya elimu.

Katika eneo la elimu tunawakubuka sana wazee wetu kina Sheikh mwalimu Adamu
Kamugisha,Mzee Nadhiri,Mzee Maghera,mzee Salim Amri mzee Mohamed Saleh Bajber,mzee wetu Selemani Ibrahim bila kumsahau Marehemu Bashir Sherally.
Mwanza imetamba kwa muda mrefu kwa shule za kidato cha sita kwa matokeo mazuri na idadi kubwa ya wanafunzi shule kama Taqwa na Thaqafa ni fahari ya waislamu kwa muda mrefu.
Licha ya changamoto nyingi lakini bado zote lakini leo Shule ya Thaqafa mwaka huu iimekuwa shule ya kwanza katika shule zote za kiislamu kwa kua na matokeo mazuri zaidi kama ilivyokuwa Div-1-57, Div II -81, Div – III -35 hakuna daraja 4 wala daraja 0.

Haya ni matunda ya wazee wa Mwanza kama mzee Alhaji Maruzuku, Alhaji Mzee Hayeshi na Alhaji mzee Abdul Abeid Hawa walihakikisha Shule ya Thaqafa inakuwepo na inaendelea nakusonga mbele zaidi.

Mwanza mjini tu mpaka sasa kuna shule za kiislamu 15 zilizojengwa kwa nguvu zao
waislamu wenyewe na zote zinafanya vizuri sana, haya ni matunda ya tunu za wazee
waliotangulia kujenga mwanza kwa masilahi ya waislamu na maendeleo ya vizazi
vijavyo.

Mwanza ina kituo kikubwa cha afya cha kiislamu cha kisasa kilichokarabatiwa na
kuendelezwa na Shule ya kiislamu ya Thaqafa kwa mamilioni ya fedha, sasa kina
madaktari bingwa na kinatoa huduma bora za kuheshimika, tofauti na huko nyuma,lakini sasa kumekuwa na mpango mkakati wa kujenga vituo vya Afya kila wilaya ambapo kwawilaya za nyamagana na ilemela tayari majengo yapo hatua nzuri sana na huku Shule ya Thaqafa ikijitokeza kwa kutoa michango na mifuko zaidi ya 100 kuunga mkono juhudi hizo za Bakwata za kuendeleza tunu za wazee wetu.

Mwanza waislamu wana Maktaba kubwa na ya kisasa iliyopo katika msikiti wa Ijumaa
pamoja na kituo cha afya kinachofanya kazi vyote viko msikiti wa Ijumaa haya ni
matunda ya uhai wa zawadi walioishi wazee wa Mwanza.

Kubwa kuliko yote ni urithi wa kiislamu walioacha kwa vizazi vijavyo nao ni nyumba
za waqfu. Kipimo cha ucha Mungu wa kweli na kuipenda uislamu ni pale mtu anapokaribia kuiacha dunia kisha mali zake akaukabidhi uislamu. Mkoa wa Mwanza
ndiyo mkoa baada ya Dar es Salaam unaongoza kwa na nyumba nyingi za Waqfu
zilizokabidhiwa misikiti. Msikiti wa Ijumaa ndiyo inaongoza ukifuatiwa na msikiti wa
Raudhwa.
Nyumba zote za waqfu zilitolewa katika maeneo muhimu na nyeti sana
ambapo nyumba na flemu za maduka ni ghari mno kwa sasa,wazee walijitolea vyote
kwa ajiri ya kuendeleza uislamu hasa madrasa na mishahara ya maimamu na shughuli za dawah vijijini kwa hakika wazee wetu hao wametuachia hazina kubwa ya kuendeleza Uislamu jijini Mwanza.

BAHATI WALIYOIPATA WAISLAMU WA MWANZA

Licha ya neema kubwa waliyoachiwa waislamu wa Mwanza ingetegemewa uislamu na waislamu wawe na maendeleo makubwa sana ukilinganisha mikoa mingine ambayo haikupata bahati ya kuachiwa mali za Waqf na wazee wao. Pamoja na yote hayo sasa hivi mji Mwanza ndio umekuwa mkoa wa mfano kwa MIGOGORO na kesi za
waislamu zisizoisha mahakamani, japo ipo migogoro ambayo imekuwa na faida.

Kwa mfano mgogoro wa msikiti wa ijumaa umeweza kurejesha mali za waislamu kutoka kwenye familia na kurudi katika mikono ya waislamu. chanzo kikubwa cha migogoro na mdororo wa wa maendeleo ya waislamu wa Mwanza ni tabia mbaya iliyokuwa baada ya kulelewa kwa muda mrefu sijui kwa ujinga wa waislamu au ucha Mungu sana wa waislamu wa Mwanza.

Mwanza ndiyo mkoa pekee ambao waislamu wanaweza kutumia nguvu zao na jasho lao kujenga shule au kitu kingine alafu ghafla wakaibuka wachache kujimilikisha mali hizo bila kuhojiwa au kula michango ya waislamu bila woga.

Hali hii imesababisha kujitokeza na kukua pembetatu ya shetani au THREE
BOROTHERS SATANIC CAMP yaani muungano wa familia tatu zenye kuunda
ushirikiano wa maovu dhidi ya uislamu.

Ushirikiano huu umeundwa na watu
wanaoamini mali za waislamu ni haki ya familia zao na lazima wazimiliki au kuzi
hujumu. Watu hawa wamekuwa na kazi ya ziada maisha yao yote kufungua kesi
mahakamani kutafuta uhalali wa kula na kumiliki mali za waislamu kama mali zao.
Watu hawa wanajidhirisha kwa mwenendo wa maisha yao.

TUTAWATAJA:

Abdallah Amini huyu aliamini mali zote za msikiti wa ijumaa na msikiti wenyewe yeye
ndiyo mrithi na anaweza kuzitumia atakavyo na sio mali za waislamu, ili hali baba yake
Sheikh Amin hakuwa mmiliki wa msikiti wa Ijumaa bali alikuwa kiongozi yaani Sheikh
kama masheikh Wengine.

Abdallah Amini aliwaaminisha ndugu zake na familia yake kama msikiti wa Ijumaa na
mali zake ni mali ya familia yao katika kujiridhisha huko Abdallah Amin aliwagawia
watoto zake flemu za maduka kujichukulia kodi na kuendesha maisha.

Alimpatia mke wake mdogo nyumba mtaa waa uhuru kuendesha mgahawa bure kwa
miaka zaidi ya 10 na kuikosesha msikiti mapato takribani milion mia tatu, Abdallah
Amin aliwapa nyumba za kuishi watoto wake pasina kulipia kwa miaka hiyo na
kuikosesha msikiti mapato ya karibia milioni 70.

Abdalla Amin alilifanya gari la msikiti ni gari la familia kwa shughuli zao binafsi za
ufugaji wa kuku na ng'ombe walijimilikisha mali zote za msikiti wa ijumaa kama urithi
wao kifamilia mpaka ulipotokea mgogoro ndiyo wameamini kama sio mali zao japo
wanakesha mahakamani kila siku kujaribu kuzitwaa tena mali hizo ambazo sasa ziko
chini ya waislamu.

Hii ndiyo faida kubwa ya mgogoro huu wa msikiti wa ijumaa.
Mtu mwingine katika muungano huu ni Sherally Husein mtu huyu ambaaye amekuwa mwenyekiti wa bodi ya msikiti wa Ijumaa kwa muda mrefu zaidi ya Miaka 20 na katibu wake akiwa ni Abdallah Amin.
Sherally Husein.

Katika nafasi zao hizi mbili ndiyo walijiandikisha sana kujimilikisha mali na kuhalalisha ufujaji wote uliofanyika msikitini hapo. Hata wajumbe wa bodi walikuwepo
waliwafanya na kuwaaminisha kama watu wa kupita tu kuwasadia wao.

Kubwa na kibaya kuliko yote Sheraliy alijiaminisha kuwa kituo cha YATIMA cha
ilemele na shule zake ni mali ya familia yao kwa hoja eti kaka yake marehemu Bashiri
alitoa sana mchango katika kujengwa kwa Kituo. Baada ya sheikh Chilwani kupata
matatizo ya kipolisi na kukaa mahabusu kwa muda mrefu bodi iliona impe jukumu la
usimamizi Sheraly kwa muda. Ajabu Sherali kwa muda mfupi pesa zaidi ya milioni 200
zilizo kuwepo Benki kuendeshea kituo ziliyeyuka naye alipomaliza akaamua
kukitekeleza kituo kwa muda mrefu.

Miaka kadhaa mbele Huyu Shearaliy akaenda mahakamani akafungua kesi kudai fidia na mishahara ya miaka mitatu ya milioni 3 kila mwezi jambo ambalo ni UONGO kwani hakuwa muajiriwa na hakuwahi kulipwa mshahara huo. BILA WOGA Hadi sasa Sheraly amekusudia kukifilisi na kukifunga kituo hicho cha yatima kwa kutaka kimlipe mamilioni ya pesa milioni 78 anajua kituo hakina huo uwezo lakini wapi kituo hiki kinaendeshwa kwa michango ya waislamu tu.

Huyo ndiyo Sheraly anayejifanya mwanaharakati.

Mtu mwingine ni huyu ndugu yake Sheraly aitwae 3:BIM. (Jina lake kamili ni Ibrahim
Sheraly) Huyu pia ni mnufaika mkubwa wa mali za waislamu kwa kushirikiana na
nduguye Sheraly na Abdallah Amini. Kwa muda mrefu amefuja mali za msikiti wa
Ijumaa na Thaqafa huko nyuma sana kabla ya kuondolewa kwenye bodi zote. Kibaya
zaidi Bim alikabidhiwa milioni 20 za kununua na kuanzisha redio ya waislamu Mwanza
miaka zaidi ya 20 iliyopita kwa wakati ule ilikuwa pesa nyingi je pesa hizo ziko wapi
naredio iko wapi? Pesa hizo alikabidhiwa kwenye baraza la idd lililofanyika Shule ya
Thaqafa.

IBRAHIM SHERALY (BIM)

Huyo ndiyo Bim anahangaika na kapambana kuendelea kula mali za waislamu wa
Mwanza. Watu hawa ndiyo sababu ya migogoro na kukosa maendeleo ya waislamu wa Mwanza.

Kwa hakika wazee wetu hawa mwenyezi Mungu awazidishie heri nyingi awalipe kila la
heri huko walipo.

Mtu mwingine ni huyu AMRANI BATENGA ni mfanyabiashara anayetumia nguvu
kubwa ya fedha kuuvuruga uongozi wa BAKWATA mkoa wa Mwanza na kwakushirikiana na akaina SHERALLY amekuwa akihatarisha utulivu kwa kuwachafua viongozi wa BAKWATA mkoa wa Mwanza na wengine na wengine wanaouunga mkona uongozi wa BAKWATA mkoa wa Mwanza.

Alitumia pesa kuupata uongozi wa Mwenyekiti BAKWATA Mkoa wa Mwanza kwa UFISADI wake uongozi ulimuondoa. Sasa amekuwa mfadhili wa kampeni ya
kumchafua sheikh wa mkoa na kuyumbisha uongozi.

AMRAN BATENGA anafanya kazi kubwa ya kuzibomoa tunu na lulu walizozijenga
wazee wa Mwanza kwa muda mrefu. Ni mtu hatari kwa maendeleo ya waislamu wa
Mwanza.

Waislamu wa mwanza tusikubali tena watu hao wakarudi katika uongozi wa Taasisi
yeyote ya Mwanza hao ni MAFISADI Waislamu wa Mwanza kaeni mbali na watu hao.

Leo tuna watu wazuri kama Sheikh Hamza ambaye ni muhimili wa sasa na baadaye
tukao nyuma yake tunao vijana wanao chipukia kama Sheikh Shafi Ayub tukae nyuma
yao.

Leo tunao wazee wetu kina mzee Alhaj Maruzuku, mzee Alhaj Abdul Abeid, mzee Alhaj Hayesh tukae nyuma ya hawa wazee na Mwanza Tutafika mbali. Namalizia kwa
watahadharisha Waislamu wa mwanza sasa hivi kina Abdallah Amin wamepata mfadhili
anaitwa Amran Batenga ambaye wakifanikiwa wamemuahidi cheo cha kuwa
mwenyekiti wa Bodi za Msikiti wa ijumaa na Thaqaafa Huyu bwana naye ni FISADI
Na tuwe naye macho.
 
Mlimtenga na kumbagaza sana ustadh Ilunga umeona kadhia hata kumtaja!
 
Hivi muda wa kuandika yote haya unaupata wapi aisee daah
 
wacha majungu.
 
Nimeshangaa ulipomuweka hapo alhaji maruzuku, mbona yeye kaifanya thaqafa Mali yake binafsi tokea mwaka 1997 huko, maruzuku ana supermarket yake hapo town na mizigo yake mingi kwenye makontena yanaingia kama Mali za shule, kumbe ni Mali zake binafsi kwenye harakati zake, kafungua hospital hapo inaitwa Al jumaa unasema niya waislamu wakati ni Mali yake binafsi.
 
Back
Top Bottom