Shuhuda za waliofanikiwa kupunguza uzito kwa mazoezi na lishe

Kula Mara moja kwa siku ndani ya mwezi mmoja , Kama umefunga mwezi wa ramadhani usipopungua uje humu kunitukana.

Ninaposema kula Mara moja namaanisha Mara moja kweli ... Unakula usiku tu mpaka usiku Tena wa siku inayofuata. Kuna kipindi nilifanya hivyo mwezi wa ramadhani nilikata kilo 15 ndani ya mwezi. Wiki ya kwanza unaweza kupepesuka kwa kiu ya maji ila ukizoea hutaamani kuacha.

NB: Hakuna njia ya kuumpunguza uzito isoyoumiza

Sent using Jamii Forums mobile app
Hio usiku unakula chakula gani?au chochote kile?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja niwaambie kitu kuhusiana na Diet na kupunguza mwili...watu wengi wana amini ku acha kula mlo mmoja kunaweza kukakufanya upungue SIO KWELI
...Kama unaamua kufanya diet kwa ajili ya kupungua mwili fanya yafuatayo
...Punguza kula vyakula vyenye asili ya wanga na sukari...tumia kipimo cha ngumi yako(yaani kula ugali au wali saiz ya ngumi yako)...unatakiwa ule sana mboga za majani na samaki(nyama nyeupe)
...mboga za majani hazina madhara kula kwa wingi uwezavyo...kula sana matuda yatakusaidia kupata nyuzi nyuzi(fibers)...hizi husaidia kusaga chakula kwa haraka
Hujaelewa?...Fanya hivi
Asubuhi ukiamka jitahid upate grass moja ya maji ya uvugu vugu(ukiitia ndimi au tangawizi ni bora zaid)
...Chai yako unaweza kula siles ya mkate moja au chapat moja au andazi 1(shughuli enhee ndo unapunguza wanga hivo)
...Mchana kula ugali saiz ya ngumi yako na mboga za kutosha pamoja na matunda...ukijisikia njaa kila tena ,ukijisikia tena njaa kula(kula saizi ndogo ya chakula utakapojisikia njaa...usile mpaka ukashiba sna
...Sema hapana kwa chips
....sema hapana kwa soda
.....Sema hapana kwa nyama nyekundu(ya ng'ombe,mbuzi
.....Kunywa maji mengi
.....kula kuku(bila ya ngozi yale)
FANYA MAZOEZI ...narudia tena FANYA MAZOEZ
...Kwa wale ambao wanasema wanafunga kupunguz uzito ni kweli kufunga kunapunguza mafuta mwilini....kivip? Kipi unatakiwa ufanya check hpa
...Kwa kawaida mwilinwa binaadam huchukua masaa 8 kumaliza chakula kilichopo tumboni na kuanza kutumia mafuta yaliyo mwilini(kwenye cell)....hivo kama unataka utumie funga kumaliza mafuta mwilini hakikisha unafungulia na vyakula vyenye virutubisho na si wanga
Kivip? MFano umekula daku saa 8 usiku....uka kaa na njaa mpaka saa 12 jioni maana ake kuna mafuta yashatumika mwilini hivo basi jitahid hiyo saa kumi na mbili jioni ufungua kwa maji ya uvuguvugu(umeona enhee huwa tunafakamia ya baridi hapa)...futari yako iwe nyepesi kama ni viazi viwe viwili mboga za majani na matunda kwa wingi
Kwa nini watu wanafeli?...watu wengi wanafunga lakini wanafungua kwa futari nzito na soda mpaka tumbo lina jaa...huwezi KUPUNGUA...kwa leo ni hayo(unaweza nirekebisha pia maana mimi sio mtaalamu wa rishe) nimeshea tu uzoefu maana nilikuwa mnene wazee...nkitembea hatua mbili tu jasho naweza hata mwagilia mchicha
...Nikipata mda ntakuja niwaambie kuhusu Supu ya kabichi na kupunguza unene(japo mm ilinishinda)...wewe sikukatish tamaa....jambo la kuzingaitia USITUMIE MADAWA YA KUPUNGUZA UNENE....ntakuja hapa kuelezea madhara yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa ushauri wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mabadiliko yanaanza na wewe. Mimi nimeweza kubaki na kg 72 kwa muda zaidi ya miaka 15. Siri kubwa ni mazoezi na kutokula hovyo. Mimi sio mlaji naweza hata kusahau kula.

Nikiongezeka sana 74kg, nikipungua sana 70kg. Kikawaida nakuwa na 72kg

Duuh hongera sana aisee wengine tuna kilo 80 mwezi wa 6 huu tunahaha kuzitoa ila zipo pale pale
 
Mkuu safuher kwanza nikushukuru sanaa kwa michango yako ya kuhimiza dondoo kadhaa za kupunguza mwili, sasa ni takribani mwezi na wiki tatu nimekuwa nikuata kanuni yako ya "kula unapojisikia njaa" na yafuatayo ndio matokeo niliyoyapata.

1. Ule ulafi wa hovyo kwa hovyo wote umepotea, zamani nakiri kusema nilikuwa food monger, yani kula ilikuwa ugonjwa wangu mkubwa hasa nyama choma na vyakula vyenye mafuta, sasa ile appetite imepotea kabisa, mwili umeadapt intake ndogo ya chakula. kuna muda mpaka napitiliza mida ya kula naamua tu nile matunda + maji ili tumbo lisikae tupu.

2. Katika hali ambayo imenishangaza nimepoteza takribani kilo 9 pasipo mazoezi ya maana only kwa kufuatisha kanuni ya kuzuia ulaji wa hovyo kwa hovyo, wakati naanza programme hii nilikuwa na kilo 76 sasa nina kilo 67 huku malengo yangu ikiwa kufikisha 65. Hapa mpaka mwisho wa mwezi najua nitakuwa nishatimiza lengo

3. Mwili umekuwa mwepesi sanaa, sasa naonekana kijana zaidi, zile shikamoo zisizostahili nilishazichoka, nilikuwa naonekana "blooo" tofauti na umri wangu. , sasa nakuwa huru hata kuvaa tshirt na mashati mepesi tofauti na mwanzo, si kama nilikuwa na kitambi cha kutisha, la hasha! Lakini kwa umri wangu ningeendelea kidogo nilikuwa nafika pabaya then changamoto nyingine sisi wengine tumenyimwa kimo, urefu wangu ni 5.3'f ,1.6meter, ningekuwa na kimo zaidi ya hapo nisingeumiza kichwa na mwili.

Changamoto

Changamoto kubwa ninayoiona, ni je nitaweza kumaintain uzito huu, maana sisi wengine miili yetu, hata kwenye stress zone bado inatanuka tu, lakini pia adui mkubwa ambae ananikabiri ni Unywaji wa pombe, nyama kidogo nimepunguza lakini swala la kuacha beer limekuwa changamoto,

kawaida yangu atleast kila siku au baada ya siku moja lazima nipige atleast beer mbili ndio nikalale, baada ya kuanza utaratibu huu sasa beer naanzia friday-sunday lakini bado nichangamoto sanaa, beer imekuwa sehemu ya maisha yangu.

All in all naweza kusema hiki nilichokifanya kwa mwezi huu mmoja na nusu kimenibadilisha sana kwa upande wa kula yangu na kiufupi naenjoy sanaa coz point sio kuacha kula baadhi ya vyakula hapana, unakula kwa utaratibu na pale unaposikia hamu au ulazima wa kula na muda mwingine jilazimishe kula matunda ukiona njaa imezidi sana na taratibu unazoea, kuanzia Friday nimejiwekea ndio muda wa kuchafua tumbo, nyama choma, zege, biriani na makorokoro yote ndio muda wake then weekdays tunarudi kwenye utaratibu.

Yule sio tapeli ila tu anatoa elimu ambayo itamsaidia sana mtu smbaye ana muda na yale mambo.

Ila kiukweli mtu anaweza kula chakula chochote kile na asiwe anabagua akifuata fomula mojs tu smbsyo ni..

KULA UNAPOJISIKIA NJAA.
.hii formula dr boaz kaisisitiza sana kwenye kitsbu chake.na haoni kama mtu kufanya diet bila kufata fomula hyo haoni kama diet yake itamsaidia.

Sasa utajiuliza licha ya vyakula bora alivyoviweka ambavyo havina madhara sana kwetu lakini bado anasema mtu ale anaposikia njaa?
Kwa nini isiwe free tu ule utakavyo maadamu vyakula havina shida?

Utaona kuwa ffomula ni moja na inafanya kazi katika vyakula vyote hsijalishi.

Na hyo ndo naiffata mimi,mazoezi nafanya kwa sababu yananifanya nijifeel comfortable ila sinaga ujinga wa diet ni kujitess,hata hizo lishe za dr fulsni na fulani bado ni kujitesa tu.

Kula unapohisi njaa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu safuher kwanza nikushukuru sanaa kwa michango yako ya kuhimiza dondoo kadhaa za kupunguza mwili, sasa ni takribani mwezi na wiki tatu nimekuwa nikuata kanuni yako ya "kula unapojisikia njaa" na yafuatayo ndio matokeo niliyoyapata.

1. Ule ulafi wa hovyo kwa hovyo wote umepotea, zamani nakiri kusema nilikuwa food monger, yani kula ilikuwa ugonjwa wangu mkubwa hasa nyama choma na vyakula vyenye mafuta, sasa ile appetite imepotea kabisa, mwili umeadapt intake ndogo ya chakula. kuna muda mpaka napitiliza mida ya kula naamua tu nile matunda + maji ili tumbo lisikae tupu.

2. Katika hali ambayo imenishangaza nimepoteza takribani kilo 9 pasipo mazoezi ya maana only kwa kufuatisha kanuni ya kuzuia ulaji wa hovyo kwa hovyo, wakati naanza programme hii nilikuwa na kilo 76 sasa nina kilo 67 huku malengo yangu ikiwa kufikisha 65. Hapa mpaka mwisho wa mwezi najua nitakuwa nishatimiza lengo

3. Mwili umekuwa mwepesi sanaa, sasa naonekana kijana zaidi, zile shikamoo zisizostahili nilishazichoka, nilikuwa naonekana "blooo" tofauti na umri wangu. , sasa nakuwa huru hata kuvaa tshirt na mashati mepesi tofauti na mwanzo, si kama nilikuwa na kitambi cha kutisha, la hasha! Lakini kwa umri wangu ningeendelea kidogo nilikuwa nafika pabaya then changamoto nyingine sisi wengine tumenyimwa kimo, urefu wangu ni 5.3'f ,1.6meter, ningekuwa na kimo zaidi ya hapo nisingeumiza kichwa na mwili.

Changamoto

Changamoto kubwa ninayoiona, ni je nitaweza kumaintain uzito huu, maana sisi wengine miili yetu, hata kwenye stress zone bado inatanuka tu, lakini pia adui mkubwa ambae ananikabiri ni Unywaji wa pombe, nyama kidogo nimepunguza lakini swala la kuacha beer limekuwa changamoto,

kawaida yangu atleast kila siku au baada ya siku moja lazima nipige atleast beer mbili ndio nikalale, baada ya kuanza utaratibu huu sasa beer naanzia friday-sunday lakini bado nichangamoto sanaa, beer imekuwa sehemu ya maisha yangu.

All in all naweza kusema hiki nilichokifanya kwa mwezi huu mmoja na nusu kimenibadilisha sana kwa upande wa kula yangu na kiufupi naenjoy sanaa coz point sio kuacha kula baadhi ya vyakula hapana, unakula kwa utaratibu na pale unaposikia hamu au ulazima wa kula na muda mwingine jilazimishe kula matunda ukiona njaa imezidi sana na taratibu unazoea, kuanzia Friday nimejiwekea ndio muda wa kuchafua tumbo, nyama choma, zege, biriani na makorokoro yote ndio muda wake then weekdays tunarudi kwenye utaratibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hongera sana hiyo formula kuna mtu niliwahi kumpa hakuamini.

Kama muislamu kuna zile funga za kujitolea kama vile jumatatu na alhamisi hakikisha hazikupiti sinasaidia sana kukufanya uweze kujicontrol na kuona kuwa kula ni jambo la kawaida bila kuacha ramadhani.

Ukila unapojisikia njaa hata ule chipsi bado Kuna vitu mwili unahitaji kutoka katika chipsi,ni sawa na mwenye njaa atakula hata chakula asichopenda ndo hivyo hivyo mwili unapohitaji chakula hauchagui chipsi wala pilau wana ndizi.

Mtu anaekula kula ovyo ndo anatakiwa aangalie anachokula,ila mlaji wa utaratibu asiyrkula ovyoovyo aaah anaweza kula chochote kile.

Sasa ili ku maintain your appearance you have to take it as your behaviour.

Na ili iwe behaviour basi lazima ikite katika halmashauri ya mwili wako.
Kwa sasa hakuna njia ya kukufanya uzowee isipokuwa kujizoesha.

Na maana ya kujizoesha ni kujilazimisha jambo usilozoea wala kufeel comfortable unapifanya ili ufeel comfortable huko mbeleni.

Kwa sasa if you want to maintain your appearance and weight , you have to maintain your behaviour that gives you that weight.

Ni kweli kabisa ulichozungumza kaka, kikubwa ni kufanya iwe behaviour na usichukulie kama ni mateso 😄 yani ifike kipindi uenjoy huo utaratibu, inshaalah na ramadhani hii nitafunga yote panapo majaaliwa na uzima.
Niweke mkazo kwa wale wavivu wa mazoezi utaratibu huu ni utaratibu bora kabisa, hata mazoezi ukifanya pasi kucontrol utaratibu wa kula ni kazi bure.
 
Mkuu umepungua kweli ila ungepiga picha za aina moja zikionesha mwili wako mfano ukiwa tumbo wazi sasa hivi.na baadae uoige ya after itakuwa poa zaidi.

Mimi nina 75 urefu ni 5.6 nafaka niounguze nifike 65 kwa hyo nataka kutoa kilo kama 10 hv.

Uzito mwili upo kwenye tumbo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Nitafanya ivyo mkuu, wengine si wapigaji sana wa picha.

Naamini utapunguza tu hizo kilo, wewe utaratibu huu haukusumbui.😃
 
Mabadiliko yanaanza na wewe. Mimi nimeweza kubaki na kg 72 kwa muda zaidi ya miaka 15. Siri kubwa ni mazoezi na kutokula hovyo. Mimi sio mlaji naweza hata kusahau kula.

Nikiongezeka sana 74kg, nikipungua sana 70kg. Kikawaida nakuwa na 72kg
Middle weight.
 
Nilikuwa na kilo 98 bonge la kitambi,Bonge la paja,bonge la mkono,...watu mtaani wakaanza kuniita bonge...hamna kitu kiliniuma kama kuitwa bonge...nkaanza mazoez nkashindwa mwlili mzito viungo vinauma...jaribu diet nikashindwa njaa inauma mpaka kizunguzungu nkakata tamaa....mda ukapita ...watu wanazid kuniita bonge...nkaenda gym nkaambiwe nilipie elfu 80 kwa mwezi...nkaenda benk kuchukua pesa...huwez hamini niliiangalia ile pesa mkononi nkasema yaani naenda kutoa elfu 80 gym wakati viwanja viko bure tuu!?...nkazama mtumbani nkanunu raba rut ikaanza...Kimbia sana mwez mzima nkapungua kilo 3...nkasema ahaaa kumbe inawezekana nkapata na elimu ya lishe....ratiba ikawa hivi
....Nikapunguza vyakula vya wanga yaani ugari nilikuwa nakula saizi ya ngumi yangu...mboga za majani kwa wingi sna yaana
.....Nilikuwa nakula pale nnapojisikia njaaa(watu weng tumezoea kula mara tatu kwa siku lakini chakula tunachokula ni kingi so kinakutana tumbon) Ki afya unaruhusiwa kula hata mara sita kwa siku lakini kidogo kidogo(unapojisikia njaa$
.....Nikaacha kabisa soda na nyama nyekundu(baadae sana nkaanza kutumia maana ukiwa kwenye mazoez ya kupunguza mwil kuna kitu kinaitwa 'cheating day'
......Ratiba yangu ya mazoez ilikuwa kila sku asubuhi saa kumi na moja nkiamka kufanya ibada naamkia kiwanjani ...kukimbia,kuruka kamba,na mazoez ya viungo(Asikuambie mtu zoez la kukimbia ndo zoez bora la kupunguza uzito
....Jioni nkirud kazini naingia tena kiwanjani
....Nkawa fiti kuna kipind nkawa na uwezo wa kukimbia mpaka round 30 za kiwanja....nkisem nkimbie road work nnawez kimbia mpaka km 20,15
...Nikapungua kilo pamoja na uzito nkawa na mwili mdogo na wa kawaida....nikawa na enjoy maisha
...Kutokana na hari ya kuwa na pumzi ya kutosha nakanza kucheza football
Sasa mpira wetu wa uswahilini upati mda wa kujiandaa unatoka nyumbani kiwanjani....sipati mda mwing wa kufanya mazoez sana(nacheza beki ya kati)...ka mwili kamerud kidooogo sema ka kawaida sio mnene
...MUHIMU...ukiitaka kupunguza uzito
...Punguza ulaji wa sukar na wanga
....kula sana mboga za majani kunywa sna maji
.....fanya mazoez
Ukipungua kwa kufanya mazoez na kufuata lishe unakuwa phyisical...ukifanya tu diet unapingua kama mgonjwa mgonjwa hivi...haui physical yaani...so fanya yote
Ukishachanganya mazoez chagua siku ambayo utaaita 'cheatind day' hii siku usifanye diet wala usifanye mazoez yaan kula tu junk...masoda kula chips kula,nyama hata kilo we kula(japo unywe maji meng).....huo ndo ushuhuda wangu wakuu...na kipind unajizuia kula vitu vya sukari utakuta mwili unatamani kula vitu vya sukari...tumia Tende zitakupunguzia tamaa ya kula sukari
....vitu vingine namna ya kunywa maji...kunywa maji nusu saa kabla ya kula na nusu saa baada ya kula....nini faida yake?....kunya maji kabla ya kula kutakufanya upunguze hamu ya kula...hivo hutokula chakula kingi....kinywa baada ya kula kutakusaidia digestion ifanyike kwa urahisi...tumezoea kunywa maji tukimaliza tu kula hii ni mbaya maana inaifanya utumbo kuwa mtepemtepe hivo kupunguz digestion
....kula matunda kwanz alafu chakula na sio chakula alafu matunda

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana kwa ushuhuda, hizi ndio aina za mada zinazopaswa kujadiliwa mara kwa mara hapa JF, mada chanya na zenye kujenga, asante na hongera sana
 
Back
Top Bottom