Show ya Lema vs Pinda featuring Makinda

Show ya Lema vs Pinda featuring Makinda

hiii imekula kwenu hakuna cha kuwasilisha wala nini

Bao la kisigino:clap2::clap2::clap2:

.....sasa mlikuwa mnatishia nyau? enzi za ''DIGITAL'' sio mia analog yenu ya enzi za mwalimu.....! hicho kitumbua mtatapika tu!
 
sehemu ya asubuhi ya bunge la leo imemaliziki... spika atangaza kwenda kula chakula Dodoma Hotel leo jioni kukutana na mgeni wake ambae ni Spika wa Bunge la Afrika Mashariki
 
Wlijua wakipiga biti jamaa watarudi nyuma kudadadek,

Wanadhan watanzania wanawachagua wabunge masoro kama zamani, Haina kufuta kauli mpaka mtoto wa peasant arudi kwao namanyele akasumbe wanga wake wa maneno huko!,

Makinda - Kinda = Kinda na kinda maanake ni Mtoto! (aache utoto asikurupuke hapo wnaongelea maisha ya watanzania)

Kama vipi arudi kwao Makete
 
Ninaushahidi pia niambieni nitumie njia gani umma ufahamu ukweli kwani ndugu yangu aliuwawa na hakuwepo karibu na kituo kama taarifa ya polisi inavyosema M.50 karibu na kituo jamaa alipigwa risasi na polisi tena anayemfahamu kwa sura na jina zaidi ya kilomita 2.5 kutoka kituo cha polisi.

Ndg yangu scan hizo evidence, copy na uzitume hapa kwenye JF zifanyiwe kazi.
Zitaongeza uzito kwa wanasheria wa CDM wanaoshughulikia hii kesi mahakamani.Changamka ndugu!!!
 
Spika amehairisha bunge bila kuzungumza lolote kuhusu hatima ya Lema kuzungumziwa.

Kumaliza kipindi cha bunge bila kuzungumzia suala hili kwa mkwara kama spika alivyoahidi ni dhahiri kwamba issue hii imewakalia vibaya CCM na wanaona bora liishe kimya kimya

huo ushahidi itabidi uingizwe kwenye hansard za Operation Nyangumi inayotarajiwa kuanza hivi karibuni.

Watanzania wataujua tu ukweli.

Makinda atajuta kutaka ushahidi.

Kwanza tunaanza na Press.
 
LABDA kanisa likiingilia

we ndini .... hakuna nafasi tena humu JF ... tumeshastuka mchana kweupeeeee...!

topical.., kishongo.., zomba .., muhogo mchungu..., MS... hichi ndio kikundi chenu ..... na sisiem walivyo wajanja wametafuta aliens- wazenji kama nyinyi ikawatoa kafara ya kueneza chuki za udini .....
 
LABDA kanisa likiingilia

Mkuu lini utaaanza kushirikisha ubongo wako? Ushakula vifungo dunia nzima lakini huwezi kujirekebisha Sasa sulana kanisa na hii thread au post ulojibu kuna uhusiano gani? Nadhani ni busara kutochangia kuliko kuonesha ujinga kwako kwa kuchangia!
 
Na washivyo watendaji watawaacha Mwema na Andengenye, Vuai Nahodha etc bila kuwajibishwa kwa kumdanganya PM, the shock absorber.......
 
Wlijua wakipiga biti jamaa watarudi nyuma kudadadek,

Wanadhan watanzania wanawachagua wabunge masoro kama zamani, Haina kufuta kauli mpaka mtoto wa peasant arudi kwao namanyele akasumbe wanga wake wa maneno huko!,

Makinda - Kinda = Kinda na kinda maanake ni Mtoto! (aache utoto asikurupuke hapo wnaongelea maisha ya watanzania)

Kama vipi arudi kwao Makete

Mtoto wa mkulima ameaga kwao jamani hahahahaha nadhani hata Makinda kapigwa butwaa amejisahau kuleta hoja kujadiliwa tusubiri jioni tujue mbivu na mbichi
 
Mtoto wa mkulima ameaga kwao jamani hahahahaha nadhani hata Makinda kapigwa butwaa amejisahau kuleta hoja kujadiliwa tusubiri jioni tujue mbivu na mbichi

Jioni haijadiliwi kwani Makinda ana appointment ya kuonana na spika wa bunge la africa Mashariki.
 
Mbowe ndo amemaliza kutajhi Mawaziri Vivuli. Amesema kwa sasa Baraza kivuli litakuwa la CDM pekee hadi hapo watakapokuwa wamepatana na wapinzania wenzao.
Anatumia busara sana huyu jamaa Mr Mbowe, anangojea proper time ili kujumlisha au siyo??????????
 
Leo Anne Makinda ameanza kwa stahili ya kujidai kuwaelewa CDM kwa kuanzia kutetea uamuzi wa Mbowe kuhusu uteuzi wa baraza la mawaziri vivuli ambalo halikuhusisha chama kingine kama CUF, UDP, NSSR na TLP. Leo amejidai kuwaelewa sana CDM kwamba kufanya hivyo kanuni zinaruhusu.

Kufanya hivi nimehisi ni style nyingine ya kuwaambia CHADEMA jamani yaishe bwana hasa lile suala la Lema msijaribu kuleta ushahidi jamani mtatuua mwe mwe.!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Yule mama kajishtukia kuwa siku ile alikurupuka!!

.
Utashangaa mama kuja na jibu la kupiga chenga ya mwili.
Atasema busara ya bunge imeona kuwa suala la Arusha lipo mahakamani hivyo kuweka ushahidi hadharani ni kuingilia mamlaka ya mahakama.
.
 
Back
Top Bottom