lema atawasilisha ofisini kwa speaker:coffee::coffee::laugh::laugh:
makinda amesema Lema awasilishe bungeni ushahidi wake kwa maandishi ..... acha umakamba
lema atawasilisha ofisini kwa speaker:coffee::coffee::laugh::laugh:
Kichekesho!!!Mh. Lazaro Nyalandu Naibu waziri wa Viwanda na biashara amemtakia mke wake happy valentine kabla ya kujibu swali la msingi aliloulizwa bungeni
Ndo maana wahenga walisema " Hasira Hasara" Makinda amezinduka akagundua ni heri ya aibu kuliko fedheha.
Kama ni dume jike ajaribu kuweka mpira kati kwani leo CDM wamejaza ukumbi kusikiliza " HUKUMU YA KESI ALIYO BAMBIKIZIWA LEMA"
lema atawasilisha ofisini kwa speaker:coffee::coffee::laugh::laugh:
Hamaki ya Makinda ilikuwa imetoa fursa kwa CDM kukomesha huu mtindo wa Pinda wa kutoa majibu mepesi kwa masuala magumu. Sasa wanapiga danadana ili fursa hiyo ipite. CDM hisikubali kupoteza fursa hiyo adimu; mambo yakishindikana wakutane na waandishi wa habari na kuweka kila kitu wazi.
huenda tusijue tena nini kilichopelekwe.
kam ni hivyo kweli ccm wamejichimbia kaburi wao wenyewe. Huyu mama anaogopa nini. Mimi ninamfahamu nimkurupukaji sana. Wacha yamtokee puani.
Nimegundua kuwa wewe una matatizo ya akili. Hivi unaona wabunge wako wanavyotumiana salamu za valentine ndio mambo muhimu kuliko hili la lema. Angalia bwana ushabiki wako huo kwa chama kilifilisika kama CCM.Hakuna kitu cha namna hiyo hapa bongo, lema kaambiwa apeleke ofsni
Hapa speaker amefanya kitu cha mbolea mana angepoteza muda wa watanzania
Kwa hiyo huo ushahidi haujawasilishwa bado? Tunasubiri utolewe bungeni na sio ofisini kwa spika.
Nishaurini ninao Ushahidi wote wa mauaji ya wananchi Arusha,ninataka watanzania wajue ukweli ili tujue Lema na Pinda nani Mwongo nitumie njia gani kufikia umma.Pinda amepewa ushahidi na polisi ambao walisha edit hivyo anafikiri yeye yupo sahihi wakati amejipalia makaa ya mawe kichwani.