Show ya Lema vs Pinda featuring Makinda

Show ya Lema vs Pinda featuring Makinda

Hakuna kitu cha namna hiyo hapa bongo, lema kaambiwa apeleke ofsni

Hapa speaker amefanya kitu cha mbolea mana angepoteza muda wa watanzania

jEYKEYWAUKWELI YOU HAVE A VERY WEEK BRAIN! Suala hapa si brabra ni kuwa kosa lilifanyika na ama watendaji waliompatia PM majibu ambayo ni ya uongo hata akasema uongo bungeni ama Spika naye alikurupuka kudhani atamkomoa Lema, nimesema ktk post yangu juu kuwa busara ya jambo hili bila ushabiki, litatuliwe kiutuuzima na pengine watu wazima wamejua athari hizo ndo maana wameona si busara Lema kuwasilisha bungeni lingeleta taathira mbaya. Think as great thinker siyo shabiki. Hata kama ni Mwana CCM lazima kujua kuwa Umeya wa Arusha utatenguliwa na Mahakama kwani Mary Chatanda si diwani wa Arusha kwa mujibu wa Sheria ya serikali za mitaa na Mabaraza ya Miji. Hili lilisababishwa na uvivu wa kufikiri na kujipanga CCM uwezo wa kuchukua Umeya Arusha ungefanikiwa kama Mh Kikwete angeamua pengine kumteua Bi Batrida Burian kuwa Mbunge. Kwa Chatanda walikosea na hii ni sababu ya kutowatumia wataaalamu kwenye Chama na badala yake kukurupuka! Suala la Pinda Bungeni limeleta fedheha hata kwake, Pinda si tunayemjua asingekubali fedheha hizo, alilishwa kasa na watendaji na mi nadhani hapo anapaswa kuipitia repoer yote ya tukio la Arusha na kutaka ukweli zaidi ama atumia usalama wa Taifa wampatie taarifa za kweli. Styre hii aliitumia sana marehemu Edward Moringe Sokoine na hata Magufuli anaitumia japo pia Magufuli wakati mwingine ana mfumo wake wa kuapata na kutafuta taarifa ili kuwa na taarifa kamili bila hivo ina maana uanze kusoma wewe mwenyewe hakuna muda japo pia utamaduni wa kusoma vitu basic kama hivi hasa kwa muda mgogoro wa Arusha ulipoanza angeshakuwa na kujua ukweli upo wapi. Wtatue kiutuuzima na sisi watu wazima tutajua tu kama halijasemwa wazi basi imejulikana nani alidanganya na itajulikana kuwa kati ya hao wawili atakuwa nani ambaye amefanya suala hilo liseiwekwe wazi ni Lema ama PM ... WAKUBWA TUTAJUA na tunajua atajirekebisha kama binadamu ila si kama Spika alivosema kuwa PM hawezi kudanganya......Mi namwomba mama Makinda alinde heshima ya mwanamke.....asitekeleze matakwa ya watu..........ndoto zetu za kuwaamini wanawake zitakimbia na itakuwa amewachimbia wanawake wenzie kaburi ambalo kufukuliwa kwake ni siku ya ufufuko ama siku ya kiama. Jifunze na UGENDELAGE LUDODI, LUKAFU LULADENYEKA!
 
Wamechakachuwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!

Spika ameagiza taarifa ipelekwe ofisini kwake kwa maandishi

My take: Wamepima impact itakayompata Waziri Mkuu iwapo itadhihirika kweli kwamba alidanganya bunge.
 
spika ameogopa kasema amehairisha hoja ule ushahidi ni msumari wa moto kwa pinda kwa Nchi zilizoendelea Pinda angestep down mara moja:A S 20::A S 20:
 
Hakuna kitu cha namna hiyo hapa bongo, lema kaambiwa apeleke ofsni
inda
Hapa speaker amefanya kitu cha mbolea mana angepoteza muda wa watanzania
Hapo ni ameahirisha Matatizo tu kwani muda alishapoteza kumpa lema siku tano. ngoma iko pale pale. lazima kitu kirudi bungeni, na kijadiliwe, ikishindikana wamuundie Kamanda tume, nawakicheza itakula kwa speaker.Tena vibaya sana, kiherehere chake cha kutosikililza vizuri na kurukia kwenye conclusion. Alitakiwa amskilize lema vizuri, siyo kujifanya alimwelewa Lema hata kabla ya kumaliza.Kwa hiyo jibu la swali la Lema kutaka kujua endapo mtu mwenye heshima na kuheshimiwa kama waziri mkuu, akilidanganya bunge anatakiwa apewe adhabugani, jibu la makinda ni leta ushaidi, mbona naye huyu mama ni kilaza kama,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,wake kumbe, asiejua mmiliki wa dowans.
 
Tulitegemea kama alivyosema Spika kwamba Lema atawasilisha utetezi wake leo asubuhi. Baada ya kuonekana hataki kutoa nafasi kwa Lema , Mh. mnyika alimwuuliza swali la kumpa mwongozo wa kwa nini hajamtaka Lema atoe ushahidi. Anna Makinda alimemjibu kwamba ataleta kwa maandishi na yeye Makinda anajua jinsi ya kuongoza bunge anavyojua. Inaonyesha Makinda ametuliza mpira kusoma ramani kwani ameshaambiwa alikurupuka na asipokuwa makini itakula kwake. Hivyo ameonyesha kugwaya kwanza kwani nani asiyejua Mkuu alidanganya na CDM wana evidence nzuri zaidi kuliko Mzee pinda.
 
Mnyika kamkumbusha mama kuhusu kiporo cha Lema, Mama kamwambia Lema apeleke maelezo kwa maandishi (Sijui kama itakuwa ofisini kwake au au wapi)
 
Nishaurini ninao Ushahidi wote wa mauaji ya wananchi Arusha,ninataka watanzania wajue ukweli ili tujue Lema na Pinda nani Mwongo nitumie njia gani kufikia umma.Pinda amepewa ushahidi na polisi ambao walisha edit hivyo anafikiri yeye yupo sahihi wakati amejipalia makaa ya mawe kichwani.
 
goooooooo chadema goooooooooooooo lema,long live people`s power!
 
Duuuuh, zidini kutujuza mlio mjengoni au kwenye TV au mnaosikiliza redio........
 
Tupeni mambo wakuu, naamini leo Mh. Spika Anne Makinda leo anaelekea kufanya kosa lake la kwanza kubwa toka akabidhiwe cheo hicho!!

Ameshtuka mkuu na amefunga brake ya kufa mtu. Nafikiri kuna mtu kamshtua, Mi hapa naangalia Luninga naona wameogopa kufanya kosa kama lile la kumfukuza Zitto Kabwe
 
MCHUMA JANGA HULA NA WENZAKE,SASA SPIKA KASHALICHUMA HILO HATA IWEJE UKWELI MWISHO WA SIKU UTAHITAJIKA......:laugh::laugh::laugh:
 
Nani amesema hili limeaahirishwa mliopo luningani tuelezeni.
 
jEYKEYWAUKWELI YOU HAVE A VERY WEEK BRAIN! Suala hapa si brabra ni kuwa kosa lilifanyika na ama watendaji waliompatia PM majibu ambayo ni ya uongo hata akasema uongo bungeni ama Spika naye alikurupuka kudhani atamkomoa Lema, nimesema ktk post yangu juu kuwa busara ya jambo hili bila ushabiki, litatuliwe kiutuuzima na pengine watu wazima wamejua athari hizo ndo maana wameona si busara Lema kuwasilisha bungeni lingeleta taathira mbaya. Think as great thinker siyo shabiki. Hata kama ni Mwana CCM lazima kujua kuwa Umeya wa Arusha utatenguliwa na Mahakama kwani Mary Chatanda si diwani wa Arusha kwa mujibu wa Sheria ya serikali za mitaa na Mabaraza ya Miji. Hili lilisababishwa na uvivu wa kufikiri na kujipanga CCM uwezo wa kuchukua Umeya Arusha ungefanikiwa kama Mh Kikwete angeamua pengine kumteua Bi Batrida Burian kuwa Mbunge. Kwa Chatanda walikosea na hii ni sababu ya kutowatumia wataaalamu kwenye Chama na badala yake kukurupuka! Suala la Pinda Bungeni limeleta fedheha hata kwake, Pinda si tunayemjua asingekubali fedheha hizo, alilishwa kasa na watendaji na mi nadhani hapo anapaswa kuipitia repoer yote ya tukio la Arusha na kutaka ukweli zaidi ama atumia usalama wa Taifa wampatie taarifa za kweli. Styre hii aliitumia sana marehemu Edward Moringe Sokoine na hata Magufuli anaitumia japo pia Magufuli wakati mwingine ana mfumo wake wa kuapata na kutafuta taarifa ili kuwa na taarifa kamili bila hivo ina maana uanze kusoma wewe mwenyewe hakuna muda japo pia utamaduni wa kusoma vitu basic kama hivi hasa kwa muda mgogoro wa Arusha ulipoanza angeshakuwa na kujua ukweli upo wapi. Wtatue kiutuuzima na sisi watu wazima tutajua tu kama halijasemwa wazi basi imejulikana nani alidanganya na itajulikana kuwa kati ya hao wawili atakuwa nani ambaye amefanya suala hilo liseiwekwe wazi ni Lema ama PM ... WAKUBWA TUTAJUA na tunajua atajirekebisha kama binadamu ila si kama Spika alivosema kuwa PM hawezi kudanganya......Mi namwomba mama Makinda alinde heshima ya mwanamke.....asitekeleze matakwa ya watu..........ndoto zetu za kuwaamini wanawake zitakimbia na itakuwa amewachimbia wanawake wenzie kaburi ambalo kufukuliwa kwake ni siku ya ufufuko ama siku ya kiama. Jifunze na UGENDELAGE LUDODI, LUKAFU LULADENYEKA!
Mwambie ukweli bwana manake anajiona yeye ndo Mwanzilishi wa CCM, Hapa tunajadili public afeaz sio ushabiki wa kijinga.
Jitambue!
 
Ninaushahidi pia niambieni nitumie njia gani umma ufahamu ukweli kwani ndugu yangu aliuwawa na hakuwepo karibu na kituo kama taarifa ya polisi inavyosema M.50 karibu na kituo jamaa alipigwa risasi na polisi tena anayemfahamu kwa sura na jina zaidi ya kilomita 2.5 kutoka kituo cha polisi.
 
Kam ni hivyo kweli CCM wamejichimbia kaburi wao wenyewe. Huyu mama anaogopa nini. Mimi ninamfahamu nimkurupukaji sana. Wacha yamtokee puani.
 
Wamechakachuwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!

Spika ameagiza taarifa ipelekwe ofisini kwake kwa maandishi

My take: Wamepima impact itakayompata Waziri Mkuu iwapo itadhihirika kweli kwamba alidanganya bunge.

Dah, Unajjua tunaviongozi wanaokurupuka sana, Kamakinda kalisema taarifa iwakilishwe bungeni juma tatu saa, sio ofisini kwake sasa wameona inaweza kula kwao kameoamua kuweka kwenye foil ili waijadili wenyewe, na huenda tusijue tena nini kilichopelekwe.
 
Mlishalikoroka sasa mnaanza kufunikafunika sio.... Mnatuletea udikteta... Hii sio bongo ya 47.. Mkikaa vibaya mtaondoka kwa aibu kama Hosn Mubrk.. You better be careful yoooooh!!!!

Ndo maana wahenga walisema " Hasira Hasara" Makinda amezinduka akagundua ni heri ya aibu kuliko fedheha.

Kama ni dume jike ajaribu kuweka mpira kati kwani leo CDM wamejaza ukumbi kusikiliza " HUKUMU YA KESI ALIYO BAMBIKIZIWA LEMA"
 
Back
Top Bottom