Anapeleka kwa speaker mana haina mantiki kuwasilisha bungeni na kupoteza muda
Sasa hivi ni muda wa kujadili maendeleo
Kwa hiyo Makinda na Pinda wanafanana! Aisee kama una njaa njoo JF ucheke kidogo, yaani bonge la utani.yani cha moto watakiona makinda mpak ile kwake na kaka yake pinda wanaye fanana
nishaurini ninao ushahidi wote wa mauaji ya wananchi arusha,ninataka watanzania wajue ukweli ili tujue lema na pinda nani mwongo nitumie njia gani kufikia umma.pinda amepewa ushahidi na polisi ambao walisha edit hivyo anafikiri yeye yupo sahihi wakati amejipalia makaa ya mawe kichwani.
Saudi Arabia mtu kama huyu anakatwa kichwa!
Anna kasema ripot iende ofisin kwake kwa maandishi,nahsi wanataka kuchakachua taarifa
LEmma
Kawithdraw ushahidi wake hatauta tena:A S thumbs_down::A S thumbs_down:
Anasikitisha sana, kukurupuka kutamcost sana, mpaka kakumbushwa!!! nahisi alifikiri kila mtu bongo lala, na bado tunamgoja Lema atakapoita waandishi wa habari.
Mi ningemshauri lema asipeleke, unless iwe alipewa maelezo rasmi kuwa apeleke kwa maandishi. Otherwise, kama ni yale maagizo ya pale bungeni peke yake, amwambie spika kuwa yeye aliandaa maelezo ya kuwasilisha bungeni.
....Wamewakamateni pabaya, kubalini yaishe...!
wanapoteza muda wa kupeana salamu za valentine, usituharibu vichwa vyetu, kaa kimya, usikurupukeAnapeleka kwa speaker mana haina mantiki kuwasilisha bungeni na kupoteza muda
Sasa hivi ni muda wa kujadili maendeleo
hii ishu imekaa vibaya hata kwa wahisani kwani kidonda kilichoanza kupona kimefumuliwa upya.
Nishaurini ninao Ushahidi wote wa mauaji ya wananchi Arusha,ninataka watanzania wajue ukweli ili tujue Lema na Pinda nani Mwongo nitumie njia gani kufikia umma.Pinda amepewa ushahidi na polisi ambao walisha edit hivyo anafikiri yeye yupo sahihi wakati amejipalia makaa ya mawe kichwani.
Ninaushahidi pia niambieni nitumie njia gani umma ufahamu ukweli kwani ndugu yangu aliuwawa na hakuwepo karibu na kituo kama taarifa ya polisi inavyosema M.50 karibu na kituo jamaa alipigwa risasi na polisi tena anayemfahamu kwa sura na jina zaidi ya kilomita 2.5 kutoka kituo cha polisi.
wanapoteza muda wa kupeana salamu za valentine, usituharibu vichwa vyetu, kaa kimya, usikurupukeAnapeleka kwa speaker mana haina mantiki kuwasilisha bungeni na kupoteza muda
Sasa hivi ni muda wa kujadili maendeleo