Show ya Diamond Platnumz yajaza watu 100,000 Sudan

Safi sana Diamond na timu nzima ya uongozi wako

Mameneja wa wasanii wengne Tz fanyeni jitihada ktk uwekezaji kwa wasanii wenu ili watambulike kimataifa na tuwe na idadi kubwa ya wasanii wanaohit kimataifa sio kuridhika na vishow vya Kahama, Nachingwea nk

Jifunzeni kwa akina Sallam Sk, Tale na Fella namna walivyopambana kumbrand msanii wao kitaifa na kimataifa licha ya kupata upinzani mkubwa sana wa baadhi ya media house za bongo zikiongozwa na wafitinishaji Clouds media
hapo mi naona ungempongeza Diamond mwenyewe hao mameneja sidhani kama wana impact kubwa sana kwake.
 
Wengi tumeshangaa kwa jinsi kijana alivyoweza kujaza sho yenye kiingilio cha dola 300 na dola 1000 huko Sudan ya kusini na bado akajaza kama kawa, Promota kapiga pesa yake safi nae Diamond kaondoka na dola laki 1 ambayo ni takribani milioni 230.

Brand ya kijana inazidi kukua na kutuwakilisha vizuri barani afrika.
😁😁😁😁 hebu thibitisha mtu ukatoe laki 7 kama kiingilio? Huo uchumi wa wanasudani umefika huko?
 
😁😁😁😁 hebu thibitisha mtu ukatoe laki 7 kama kiingilio? Huo uchumi wa wanasudani umefika huko?
Kweli mzee baba hiyo Ni show ya pili ya kwanza kajaza ikiwa VVIP kiingilio kilikuwa Ni mil 2 na kajaza
 
😁😁😁😁 hebu thibitisha mtu ukatoe laki 7 kama kiingilio? Huo uchumi wa wanasudani umefika huko?
Sio laki 7 tu mkuu, viingilio vilikua ni dola 300 ambayo ni takribani laki 6 na nusu, na kuna ticket zilikuwepo za dola elf 1 ambayo ni kama milion 2.3.

Na watu walijaa kama kawa, nchi inaweza kuwa maskini lakini bado wenye pesa hawakosekani.

Diamond kalipwa dola laki 1 ambayo ni takribani milioni 230, Kwa ukumbi ule ulivyojaa promota kapiga pesa kilaini kabisa.
 
Back
Top Bottom