Show ya Diamond kufuru tupu, Kiingilio Million tatu

Show ya Diamond kufuru tupu, Kiingilio Million tatu

Duh!kuna mbeya kanitonya kanambia eti itafungwa na harusi kabisaa hiyo siku
 
Salaam yupo kitambo ila hakuwahi kujihusisha na biashara ya entertainment, alikuwa ni business partner wa mfanyabiashara mmoja mkubwa sana Moro mimi ndio nilianza kumfahamu huko.. Hii mambo ya entertainment naona ameingia kwa ajili ya hobby tu coz anapenda sana haya mambo ila sidhani kama anapata maslahi ya kiivyo.

Anautata utata mwingi ila sio fresh kumchoresha mshikaji... Marekani aliishi ila serikali ya marekani ilimuondoa kwa utata utata, alishafanya bizness Sweden kama sikosei huko nako ikawa utata utata... Mimi nachoshangaa kwa nini kawa bize na entertainment!? Na wengi hawajui siri ya Zari na Dai wanabahatisha tu ila huyu bingwa ndio anajua kila kitu.

Kuna watu wanadhani mshikaji anauza madude ila nop mshikaji hajawai kufanya hiyo mishe.

Kuna siku moja umu jf na kwenye mablog na maredio walikuwa wanatukana na kudharau sana management ya Diamond eti hipo too local nikawa nacheka watu wanavyopenda kujaji.


Mbona yupo na Diamond kwa muda sasa hata kusafiri kwenda kumchukulia tuzo nchi zingine.

Timu yao wamejipanga kiungoxi na D anafungua kampuni soon...tusubirie wapenda muziki watazidi ku enjoy miziki ya waTanzania.
 
Diamond anaimba kwa kutumia nini hadi kiingilio kiwe 3m per head? na akialikwa Jayz si itakuwa 5m.

Ni Party si umeona tangazo au?

Acha wanaoenda waende....

Akija Jay Z wakitaka wataenda pia.
 
ahahaaaa!Zari amemuua nani?lulu ana roho ya mauti anatembea nayo yule mtoto@Shark
 
Mbona yupo na Diamond kwa muda sasa hata kusafiri kwenda kumchukulia tuzo nchi zingine.

Timu yao wamejipanga kiungoxi na D anafungua kampuni soon...tusubirie wapenda muziki watazidi ku enjoy miziki ya waTanzania.

Hapa namzungumzia Salaam naemfahamu kabla Diamond ajaanza ata kujifunza kuimba...
 
Amosi 5:23 mwenyezi mungu anasema,"NIONDOLEENI KELELE ZA NYIMBO ZENU MAANA SITAKI KUSIKIA SAUTI ZA VINANDA VYENU"
Kilichokataliwa na mungu hakina baraka.
Muziki unafanya watu wasishike mafundisho ya mungu Bali washike mashairi ya watu,
Tumeambiwa na mungu tukeshe tukiomba,muziki unafanya watu wanakesha disko.
Muziki unapromoti uvaaji nusu uchi na zinaa n.k

MUZIKI NI HARAMU ukibisha bisha ila ukweli ndio Huo.
Vinanda ni sauti za shetani,ukubali ukatae ukweli ndio Huo.

Na kupitia mawakala na kampuni zake shetani,kwa jeuli na kiburi chake shetani,amekuwa akiwainua duniani wale wote wanaofanya kazi yake vizuri,lakini kesho kwa mungu wanahasara watu hao.

Wabishi.
Watu wanaompenda shetani..
Watu wanapenda kwenda motoni..
WATAJITOKEZA NA MAKUCHA YAO MAREFU,
NA MIMENO YAO MIREFU ILIYOCHONGOKA.
Na kuutetea muziki na wanamuziki..
Na hao ndio watu wa shetani.
 
Kile kikosi cha kupambana na sembe kifike hapo cku hiyo watuhumiwa wao watatumia nguvu ndogo kuwatia nguvuni badala yakuja kwasaka kwa tochi mitaani
 
Mleta mada umetumwa kunogeza show........kwa tanzania msanii bilionaire hajazaliwa bado na hata kama amezaliwa bado hajaanza usanii

Mi nimecheka tu hapo aliposema eti show ya Diamond kufuru kiingilio mil 3!!

Watu huku mtaani wameokotwajee!!! Lol
 
Asante sana diamond kwa kujitambua, sijutii kukusupport, mimi na wewe daima mileleee!! wanaokusubiri kijiweni kwa Mr. nice waambie waendelee kuagiza gahawa!! kwani huna mpango huo kwa sasa.
 
Go! Diamond goooooooo!!! keep on nourishing your status every day, asiejua siri ya mafanikio yako ni KUJITUMA NA KUJITAMBUA NI NANI???? endelea kufanya vitu vya tofauti dangotr wangu ili wengine wajifunze toka kwako wataelewa tuuu, daima utakuwa mfano wa kuigwa, take it from me, kila msanii wa bongo awe mkongwe au chipukizi anatamani kuwa kama wewe.
Uthubutu uliouonesha katika kujaribu vitu vipya na vikubwa unamshangaza kila mtu.
 
Back
Top Bottom