Show ya Diamond kufuru tupu, Kiingilio Million tatu

Show ya Diamond kufuru tupu, Kiingilio Million tatu

Taifa lipi lisherekee wazinifu? Pelekeni huko

Mkuu acha ubishi wa kitoto hii ni sherehe ya kitaifa.. Subiri uhone type ya wageni ndio utaelewa, kama watu wanapanda ndege kuja kushuhudia unafikiri ni jambo dogo. Mji utasimama kusherekea siku hiyo.
 
Mkuu huyo jamaa ni nani kwan apart from meneja wa Diamond

Salaam ni jiniaz wa connection na biashara, hiyo ndio talent yake kubwa.. Zaidi ya hilo mengine ni mazito sijui kama ata watu wanaedili nae kama wanamjua vizuri, ata Merei alimchukulia ize sisi uwa tunamwita mzee wa September 11
 
Jomaa hebu tunyonyee kdg maana nimeshangaa gafla yupo na tale na siku hizi ndo katokeza kabisa sikuwai kumsikia kabla ila nahisi ni noma huyo
 
Jomaa hebu tunyonyee kdg maana nimeshangaa gafla yupo na tale na siku hizi ndo katokeza kabisa sikuwai kumsikia kabla ila nahisi ni noma huyo

Salaam yupo kitambo ila hakuwahi kujihusisha na biashara ya entertainment, alikuwa ni business partner wa mfanyabiashara mmoja mkubwa sana Moro mimi ndio nilianza kumfahamu huko.. Hii mambo ya entertainment naona ameingia kwa ajili ya hobby tu coz anapenda sana haya mambo ila sidhani kama anapata maslahi ya kiivyo.

Anautata utata mwingi ila sio fresh kumchoresha mshikaji... Marekani aliishi ila serikali ya marekani ilimuondoa kwa utata utata, alishafanya bizness Sweden kama sikosei huko nako ikawa utata utata... Mimi nachoshangaa kwa nini kawa bize na entertainment!? Na wengi hawajui siri ya Zari na Dai wanabahatisha tu ila huyu bingwa ndio anajua kila kitu.

Kuna watu wanadhani mshikaji anauza madude ila nop mshikaji hajawai kufanya hiyo mishe.

Kuna siku moja umu jf na kwenye mablog na maredio walikuwa wanatukana na kudharau sana management ya Diamond eti hipo too local nikawa nacheka watu wanavyopenda kujaji.
 
matumbo huyu jamaa kuna akat alikua anajifanya anauza mafuta na akina balhabou kabla ya kustukiwa kuwa ana mgodi kule Kongo vitani kumbe wao na wengne ndo walikua wanaifanya Kongo ya kabila isitawalike. Ila hili la kuwa na mkono kwenye mlano wa zari na dai hlo cjaeza unga doti mkuu ila nahisi yupo kimkakati
 
Last edited by a moderator:

Yeah kumbe unampata kiaina, ila chonde chonde man tusifike huko sio ishu rahisi kuzizungumzia kama unavyochukulia. Tuipotezee kama hautojali.

Kikubwa jamaa anamsaidia Dai na music kwa ujumla mchango wake ni mkubwa kimataifa.
 
Last edited by a moderator:
Diamond anaimba kwa kutumia nini hadi kiingilio kiwe 3m per head? na akialikwa Jayz si itakuwa 5m.
 
Jomaa hebu tunyonyee kdg maana nimeshangaa gafla yupo na tale na siku hizi ndo katokeza kabisa sikuwai kumsikia kabla ila nahisi ni noma huyo

Zari pia anachangia sana nahisi anayofanya siku hizi... Ukiangalia picha hao mameneja wa D wanamkubali sana Z.
 
Back
Top Bottom