Show ya Diamond kufuru tupu, Kiingilio Million tatu

Show ya Diamond kufuru tupu, Kiingilio Million tatu

And here are the Official Entrance fee for Zari All white Party 1st of May 2015, Mlimani City...

50,000/=
100,000/= VIP

1,000,000/= VIP Table plus 4 tickets & Drinks Coupon....

3,000,000/= VVIP Table plus 8 tickets & One Million Drinks Coupon...

( for the VIP & VVIP Table booking Call +255755700400 )......

( Hizi ndio Bei Maalum za Viingilio katika White Party tareh 01 |05 |2015

50,000/=

100,000/= VIP

1,000,000/= Meza ya VIP sambamba na Tiketi Nne na Vinywaji vya Bure

3,000,000/=VVIP sambamba na Ticket 8 na Vinywaji vya Bure vya Milioni Moja...)

kwa maelezo na Kuwai Meza piga +255755700400

#KIMENUKA
 
Waungwana kuna msemo huutia watu wenye pesa kuwa usiamini mawazo ya masikini wakimaanisha masikini akimuona davis mosha ana gari ya billion masikini atasema yanini hiyo? mi ningenunua ya 200 m kisha ningejenga apartment na hivi na vile kumbe hatujui pesa huwa watu wengi inatutawala itakwambia kwa hadhi yako inabidi ununue gari hii. So kuanza kuongelea kuhusu wajane wazee na mayatima huo ni mguso sahihi kabisa ila unaweza kukuta hao watakao enda hapo na mayatima pia wanawajali kuliko ambao hatutaenda hapo nikiwa mmoja wa wasioenda. Hobby ni kitu cha ajabu waweza kuta wengine watakaoenda hawana pesa kivile ila ni mahaba yao sisi wengine tutaungana nae mwembe yanga kwenye tamasha lolote kama alivyosema matumba pale inakuwa ticket mguu kama zile picha za yombayomba za waqt uleee.
 
Hivi TRA wanakumbuka kufuatilia na huku ama wao kufunga makofuli maduka ya wafanyabiashara ndogondogo tu!
 
Hivi TRA wanakumbuka kufuatilia na huku ama wao kufunga makofuli maduka ya wafanyabiashara ndogondogo tu!

Party zako pia unavyoombaga na michango ya harusi TRA unawalipa kwa party unazofanya?
 
Hakuna aliyekulazimisha kuwa lazima uende au utoe...

pia ni kwa meza plus yote yanayokuja nayo..msiudhunike sana watu wanaweza changa kupata meza na dnio wengin hufanya hivyo...au mtu ajisikiae ananunua meza anaalika ndugu na majamaa waende nae

kuna elfu 50, laki 1, mil 1 plus..., mil 3 plus ....
Shosti usijikere nafsi yako kwa mie sijakwambia kama nimelazimishwa kwenda,wala sijakwambia unijibu pita nasafari zako..
 
Mie nnta isikia kwenye redio lakini mil3 sijatoa bado duu usawa wenyewe wa manati huu,nyumba yangu hapo nimesha nunua mifuko mingapi ya saruji kwa kumuona huyo mkaka,mie mwenzenu bado nipo nipo kwanza...

Yani wewe kusikia show ya Diamond ndio umekumbuka kuwa ujajenga.. Basi tutamwambia rafiki yake le mutuz amwambie haairishe show mpaka le mbululaz mmoja anunue tofali kwanza.
 
Yani wewe kusikia show ya Diamond ndio umekumbuka kuwa ujajenga.. Basi tutamwambia rafiki yake le mutuz amwambie haairishe show mpaka le mbululaz mmoja anunue tofali kwanza.

unavyoona,waliokuanazo watakwenda mwaya wala usijikere nafsi yako endelea na promo kila mtu ana upeo wake wakufikiri.
 
Luh!Hivi kuna mtu nchi hii hana kazi na hizo M.3 akalipe kumwona Diamond?!Pesa hiyo inahitajika saana kituo cha walemavu Buhangija Shy maana wazungu wanajitoa kusaidia halafu kuna watu wanachezea pesa kwenda kuangalia ngololo!Kuna vituo vya wazee Manyara,Kagera nk wanaishi maisha magumu pelekeni pesa zenu huko muongezewe thawabu!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Kaka hao watu ndio umewakumbuka leo? Kama una huruma kiasi hicho, hilo furushi la kadi za michango ya harusi ulilonalo lichome moto kisha hela ambayo ungetoa huko wapelekee hao wazee wale bata nao.
 
unavyoona,waliokuanazo watakwenda mwaya wala usijikere nafsi yako endelea na promo kila mtu ana upeo wake wakufikiri.

Sawa mama najua we upeo wako ni mkubwa ndio maana kusikia show ya Dangote ukakumbuka hauna ata tofari. Na wewe anzaga kutafuta kiwanja.
 
Hapa dangote ataonyesha tofauti ya kua msanii wenye jina kubwa na msanii mwenye jina kubwa na brand pia.
Watu wanapiga kelele m3 wanasahau hzo ni za oda mpka upige simu na zitaisha kabla za 50 hazijaisha.kweli "LIVE YOUR STATUS"
 
Mleta mada umetumwa kunogeza show........kwa tanzania msanii bilionaire hajazaliwa bado na hata kama amezaliwa bado hajaanza usanii
 
Back
Top Bottom