Show ya Diamond kufuru tupu, Kiingilio Million tatu

Show ya Diamond kufuru tupu, Kiingilio Million tatu

Hakika Mungu akianza kushushia baraka lazima ushangae hakika Kijana anazidi kumbariki..amenifurahisha kuwakumbuka na wengine kwa kuwafungulia bima ya afya na anaye toa hapungukiwi kamwe..
Muite basi yule sijui luse nani nani k 4 real simjui simu yangu inashida ya net siwezi kumention wala kulike....muite aone mvua ya baraka inamnyeshea diamond ha ha ha
 
Muite basi yule sijui luse nani nani k 4 real simjui simu yangu inashida ya net siwezi kumention wala kulike....muite aone mvua ya baraka inamnyeshea diamond ha ha ha

Teh Teh Mwl unamuongelea Mh lukelo sakafu..! jamaa nikiona jina lake nacheka hadi kwenye sakafu ya moyo..hasa nikifikiria neno sakafu..
 
Last edited by a moderator:
Playback!!!! Zaidi ntatoa elfu 3

Mkuu hiyo elfu 3 yako itunze ununulie watoto zako mchele wapike pilau washerekee maana siku hiyo ni sikukuu ya Diamond na Zari.. Taifa zima litakuwa linasherekea.
 
Mkuu hiyo elfu 3 yako itunze ununulie watoto zako mchele wapike pilau washerekee maana siku hiyo ni sikukuu ya Diamond na Zari.. Taifa zima litakuwa linasherekea.

Taifa lipi lisherekee wazinifu? Pelekeni huko
 
Update insta toka kwa maneja


salaam_sk



VVIP and VIP Tables means 3M and 1M tables are officially SOLD OUT. Tickets za 100,000 and 50,000 zitaanza kuuzwa tarehe 27 kwenye Vituo vitakavyo tangazwa.... #ZariAllWhiteParty Ahsanteni Wote.

Yap yap Salaam himself... The smartest kid in the room
 
Back
Top Bottom