Show ya Diamond kufuru tupu, Kiingilio Million tatu

Show ya Diamond kufuru tupu, Kiingilio Million tatu

Moja la tangazo linasema kutakua na appearence ya diamond na shetta i was shocked ina maana diamond hatofanya show isipokua kuonekana tu akipiga story na audence

Tangazo linasema ni party, na pia kuna AKA.

Watakachofanya kwenye party ni wataamua.

Sijui kwa nini umepata mshtuko na ni Zari's white party.
 
Tangazo linasema ni party, na pia kuna AKA.

Watakachofanya kwenye party ni wataamua.

Sijui kwa nini umepata mshtuko na ni Zari's white party.

Diamond ndio kaipa kick hii show watu wqna relate na show ya diamond are forever sasqwatoe million tatu kwq kumuangaliq mtu tu akipiga story
 
Diamond si mwanamuziki mzuri kushinda wengine Hapa Tanzania ila ni mwanamuziki mwenye akili sana kuliko wote hapa nchini.
Ni kijana mwenye nidhamu, mbunifu, ni mwanamuziki anayejali kwamba huwezi kufanikiwa kama upo peke yako bali ni lazima uwe na management na hiyo ndiyo tofauti yake na wenzake, Kuna wanamuziki wakongwe lakini Hawana management na wala hawajifunzi kwa Diamond.

Diamond kama Angekuwa anaishi ulaya au America Angekuwa tajiri sana.
 
Diamond ndio kaipa kick hii show watu wqna relate na show ya diamond are forever sasqwatoe million tatu kwq kumuangaliq mtu tu akipiga story

Wakitaka kuimba ni uamuzi wao...bali ni party ya Zari.

watu wanalipa mamillioni kwenda kula pilau itakuwa kwenda kwenye kitu tofauti na mzingira tofauti kura raha? hata kama ingekuwa kuangalia sanamu ni pesa zao...kitu tofauti.

Ndio maana duniani kuna starehe za aina nyingi.

enjoy ukienda.
 
Kwa wasio kua na 3m na wale wenye 3m ila wako mbali hawataweza kuhudhuria show sasa 'naweza kuitazama hyo show kwa mtandao kwa kulipa sh efu 3 tu kazi ni kwako
 
Back
Top Bottom