Show ya Diamond kufuru tupu, Kiingilio Million tatu

matumbo

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2011
Posts
7,224
Reaction score
3,960
Ile show inayosubiriwa kwa na kuongelewa kila kona ya jiji la Dar es Salaam ya Diamond na Zari pale Mlimani city siku ya May mosi kiingilio cha juu ni shiling million 3 za kitanzania na cha chini ni elfu 50.

Msanii huyo billionea anayetoa bima ya afya kwa wakazi mia mbili wa Tandale kutibiwa bure ametaja leo viingilio hivyo.

Matumbo tayari anayo mkononi meza moja kwa ajili ya wanaJf kadhaa fans wa Diamond. Muda ukifika watatafutwa na kujulishwa kimya kimya na kila kitu kitaenda kimya kimya.

#Kimenuka

attachment.php
 
Teh Teh nifah will you join i?
 
Last edited by a moderator:
Ile show inayosubiriwa kwa na kuongelewa kila kona ya jiji la Dar es Salaam ya Diamond na Zari pale Mlimani city siku ya May mosi kiingilio cha juu ni shiling million 3 za kitanzania na cha chini ni elfu 50.

Msanii huyo billionea anayetoa bima ya afya kwa wakazi mia mbili wa Tandale kutibiwa bure ametaja leo viingilio hivyo.

Matumbo tayari anayo mkononi meza moja kwa ajili ya wanaJf kadhaa fans wa Diamond. Muda ukifika watatafutwa na kujulishwa kimya kimya na kila kitu kitaenda kimya kimya.

#Kimenuka

Mkuu nadhani tutakuwa wote hii sio ya kukosa
 
Sitoi 3mil kwa kuangalia show...najua itaonyeshwa kwenye tv yyte ile au kesho watanihadithia bora m3 niongezee nikanunue vetz yangu
 
Viingilio ni kama ifuatavyo
 
Attachments

  • 1429389015463.jpg
    1429389015463.jpg
    71.1 KB · Views: 2,037
Back
Top Bottom