Kwa sababu Diamond kaweka kiingilio milioni tatu.?CCM wataendelea sana kuitawala Nchi hii!
Le Mutuz utalipiwa na the super mogul Davies Mosha hiyo Table ya 3M teh tehYule mzee wa mteremko n maselfie lazma kazamia hata kabla y tukio
we mtu una akili sana haya uliyo yaandika yana gusa ukweli mtupu!Waungwana kuna msemo huutia watu wenye pesa kuwa usiamini mawazo ya masikini wakimaanisha masikini akimuona davis mosha ana gari ya billion masikini atasema yanini hiyo? mi ningenunua ya 200 m kisha ningejenga apartment na hivi na vile kumbe hatujui pesa huwa watu wengi inatutawala itakwambia kwa hadhi yako inabidi ununue gari hii. So kuanza kuongelea kuhusu wajane wazee na mayatima huo ni mguso sahihi kabisa ila unaweza kukuta hao watakao enda hapo na mayatima pia wanawajali kuliko ambao hatutaenda hapo nikiwa mmoja wa wasioenda. Hobby ni kitu cha ajabu waweza kuta wengine watakaoenda hawana pesa kivile ila ni mahaba yao sisi wengine tutaungana nae mwembe yanga kwenye tamasha lolote kama alivyosema matumba pale inakuwa ticket mguu kama zile picha za yombayomba za waqt uleee.
mweh....wakati bado watu wanatafakari kua bei iko juu kumbe watu washafanya yao mi ntangoja kifesi aweke tu picha
kwakweli mungu ambariki na zaidi na zaidiMungu akiamua kumbariki mtu kweli hamna asemae no... Dogo atakuwa miongoni mwa speakers wa mambo ya social media yatakayofanyika Nigeria... Daaah
ataingia yy hawara yke na mama yke😕
utayafahamu ukilipa hiyo 1m otherwise ngoja picha kama mie hapaWhat this party is gonna offer? Diamond live show or him dressed in white kissing Zarina Hassan? I am eagerly to know! 🙂 🙂
mkuu ticket za vip na vvip ni sold out...
hao pwanya road utawaweza kama wanabisha hadi leo kua zari hana mimba ameshiba ndizi unadhani ni timamu hao!!!!walidhan show itakua buku tano waingie wamejipaukia hadi miguu ha ha ha waende kwenye vigodoro hukoYaani watu hawakosi la kusema especially timu michirizi wanasema uongo hazijanunuliwa....wanahaha eti bado wataenda kuona ndugu zao wamejaza meza...wivu mbaya jamani duh. Wanazidi kutunga...lol
chonde chonde diamond usigonge lulu tadadhali
sio fan wako ila hapana ila sikuchukii pia
usithubutu kula mbunye pale
tutakukosa mda si mda!!
kwakweli mungu ambariki na zaidi na zaidi
pole sana bwoy tiketi za.m3 na m1 zmeishaAtaingia yy hawara yke na mama yke😕