binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,788
- 46,862
Haaahaa! Nawaona team panya road walivyopaniki. Jamani sio kila kitu ni cha kwenu, vingine viacheni viwapite, naona mlivyojiandaa kuona kiingilio cha elfu 10, VIP elfu 20, ili mjikusanye mkazomee, mkarushe makopo. Hahahha mmepigwa kofi la kisaikolojia.
Afu hamlipi pesa kwenda kumshangaa yeyote, mnaenda ku party.
Afu hamlipi pesa kwenda kumshangaa yeyote, mnaenda ku party.
