Show ya Diamond kufuru tupu, Kiingilio Million tatu

Show ya Diamond kufuru tupu, Kiingilio Million tatu

Uknw lepanywa road kufwa for me...
Uknw nyuma ya my noah nimeweka tangazo la leumemez zari all white party..
Uknw mimi ni akili kubwa...i make a lot of money uknw..
Hahahahahaha lepwanya road hawawezi kulipa 1mil uknw..
Hahahaha i love it..

Hahahaa mzee kijana anapambana umri wake nae teampopo uknw hiyo show liumemezz nimeinvest hela nyingi cz na degree 3....nlipokua usa nlikua jina kubwa so nimefanywa show nyingi uknw
 
Luh!Hivi kuna mtu nchi hii hana kazi na hizo M.3 akalipe kumwona Diamond?!Pesa hiyo inahitajika saana kituo cha walemavu Buhangija Shy maana wazungu wanajitoa kusaidia halafu kuna watu wanachezea pesa kwenda kuangalia ngololo!Kuna vituo vya wazee Manyara,Kagera nk wanaishi maisha magumu pelekeni pesa zenu huko muongezewe thawabu!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Ile show inayosubiriwa kwa na kuongelewa kila kona ya jiji la Dar es Salaam ya Diamond na Zari pale Mlimani city siku ya May mosi kiingilio cha juu ni shiling million 3 za kitanzania na cha chini ni elfu 50.

Msanii huyo billionea anayetoa bima ya afya kwa wakazi mia mbili wa Tandale kutibiwa bure ametaja leo viingilio hivyo.

Matumbo tayari anayo mkononi meza moja kwa ajili ya wanaJf kadhaa fans wa Diamond. Muda ukifika watatafutwa na kujulishwa kimya kimya na kila kitu kitaenda kimya kimya.

#Kimenuka

Matumbo weka details za bei kama alivyorusha Ruttashobolwa chini yenye bei acha kupotosha watu bila maelezo muhimu. amekuwekea uweke kwenye post yako ya kwanza. @Mods msadieni kama hawezi

Pandisha hapo juu mkuu.
 
Luh!Hivi kuna mtu nchi hii hana kazi na hizo M.3 akalipe kumwona Diamond?!Pesa hiyo inahitajika saana kituo cha walemavu Buhangija Shy maana wazungu wanajitoa kusaidia halafu kuna watu wanachezea pesa kwenda kuangalia ngololo!Kuna vituo vya wazee Manyara,Kagera nk wanaishi maisha magumu pelekeni pesa zenu huko muongezewe thawabu!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

inabidi tuheshimu starehe na sherehe za watu, sio kila apataye pesa lazima afe kwa kusaidia watu

watu wanastahili kwenda mahala kuburudika kwa kujivunia walicho chuma katika maisha yao

kama mtu unajiona hauna basi ni kuangalia macho na kusubiria kama unapenda utakacho weza kama ukitaka kuburudika.

Wengi wanachezea pesa TZ hamuwaoni munaona Diamond na kiingilio ... wengine wakiwa wamelala wengine wanatafuta pesa...so acha wa enjoy
 
Sitoi 3mil kwa kuangalia show...najua itaonyeshwa kwenye tv yyte ile au kesho watanihadithia bora m3 niongezee nikanunue vetz yangu

milioni3 kwa vip table ya watu8 na wanakunywa vinywaji vya 1million kazi ni kwao kutakatisha milioni zao wenye pesa hawaoni shida
 
Luh!Hivi kuna mtu nchi hii hana kazi na hizo M.3 akalipe kumwona Diamond?!Pesa hiyo inahitajika saana kituo cha walemavu Buhangija Shy maana wazungu wanajitoa kusaidia halafu kuna watu wanachezea pesa kwenda kuangalia ngololo!Kuna vituo vya wazee Manyara,Kagera nk wanaishi maisha magumu pelekeni pesa zenu huko muongezewe thawabu!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

wewe hata senti ukipeleka wapata thawabu! ugumu wa maisha yako sio wote wanao....
 
Safi kabisa. Wasanii waige namna ya kutengeneza pesa kama dangote.

Ila uongo mbaya hivi viingilio naona kama diamond atakua kawadhulumu sana mashabiki zake kwani huwezi kuweka viingilio vya 3m kwa wimbo mmoja mpya wa taarabu. Kifupi hana nyimbo mpya. Au atakua akirudiarudia zile za kitorondo na my number one ya 2013?

Walau alitakiwa awe na hit songs kama 3 au 4 za kuhamasisha mashabiki kwenda kumuona kwa hivyo viingilio. Wizi mtupu.
 
Mie nnta isikia kwenye redio lakini mil3 sijatoa bado duu usawa wenyewe wa manati huu,nyumba yangu hapo nimesha nunua mifuko mingapi ya saruji kwa kumuona huyo mkaka,mie mwenzenu bado nipo nipo kwanza...
 
Mgawanyo wa vinywaji ni kama ifuatavyo:

3,000,000 / = saint anna,dompol, cinzano, whisky e.t.c
1,000,000 /= safari lager,konyagi,viroba,valeur e.t.c
100,000 - 50,000 / = ulanzi, mbege, wanzuki,komoni,gongo,banana e.t.c

Teh teh teh kazi ipo
 
Mie nnta isikia kwenye redio lakini mil3 sijatoa bado duu usawa wenyewe wa manati huu,nyumba yangu hapo nimesha nunua mifuko mingapi ya saruji kwa kumuona huyo mkaka,mie mwenzenu bado nipo nipo kwanza...

Hakuna aliyekulazimisha kuwa lazima uende au utoe...

pia ni kwa meza plus yote yanayokuja nayo..msiudhunike sana watu wanaweza changa kupata meza na dnio wengin hufanya hivyo...au mtu ajisikiae ananunua meza anaalika ndugu na majamaa waende nae

kuna elfu 50, laki 1, mil 1 plus..., mil 3 plus ....
 
Back
Top Bottom