Should CHADEMA Fire Zitto?

Should Zitto get FIRED from CHADEMA?

  • YES

    Votes: 137 65.9%
  • NO

    Votes: 57 27.4%
  • May be

    Votes: 10 4.8%
  • I don't know

    Votes: 4 1.9%

  • Total voters
    208
Status
Not open for further replies.


pumba tupu!!!!

JF baada ya 2010 imejaa wajinga na wapuuzi no wonder hakuna issues tena zaidi ya CHADEMA, CCM, Zitto, Slaa na ujinga mwingine mwingi tofauti na kabla ya 2010 ambapo kilikuwa ni kisima cha maarifa.....
 
Hamchoki kuwajadili watu! Mnakazi kweli kweli!
 
Ipo siku ukweli utabainika.. Na ndipo hao kina saa 8 mtawaona choo

katika nchi hii sinaona kabila lenye ubinafsi kama wachaga yani wangekuwa na uwezo wangefanya wabaki wao tz 2015 nkitaelewekeza sumu lazima isambazwe kwa raia
 
mbona kuna nafasi ya kujieleza kwenye chama pia naamin kila mp anawashauri nivizur wakaonana nao
 

Unakubali kuwa tunguli zinaweza tengenezwa ili watokee watu wa kumtetea?!
 
Kiukweli Zitto kuna mambo makubwa ameifanyia si CHADEMA pekee bali nchi yake,hata hivyo CHADEMA nayo imemfikisha hapo alipofika, kumbuka wakati anapata ubunge kule Kigoma kuna kazi kubwa ilifanywa na Mbowe wakati huo Zitto hakuwa anajulikana kabisa.Mojawapo ya mapungufu yake kama binadamu ni pale ambapo huwa anaamini kuwa yeye ana uwezo kuliko mtu mwingine anyway tuwaachie huko ndani ya Chama labda wataelewana ili gurudumu lisonge mbele
 
Hamchoki kuwajadili watu! Mnakazi kweli kweli!
Kama serikali ya CCM ingekuwa makini kuwajadiri watu kabla ya kupewa madaraka, tusingekuwa na waziri mbumbumbu, asiyejua Tanzania ni muungano wa Tanganyika na Zanzibar
 
jamaa afukuzwe kabisaa coz kama kuvumiliana kumepita kiasi!ashavumiliwa vya kutosha sana, ameropoka sana akidhani ndio democrasia!watever the case wamfunue kila kitu alichowahi kufanya ili watz wajue kua CDM ndicho chama pekee kinachoweza kusimamia maadili na ukweli na kwamba mtu ndani ya CDM hawezi kua maarufu kuliko chama.Wamfungie jiwe la kusagia na kumtosa baharini kama alivosema Jesus.(hypothetically)
 
"Anyone who sees and paints a sky green and fields blue ought to be sterilized."
 
Aondolewe vyeo vyote abaki na ubunge wake tu ili ajifunze asifukuzwe kundini...ila wale vijana wake wa PM7 wote wanyang'anywe kadi iwe fundisho kwa wengine kuwa CDM siyo mtu mmoja ni taasisi:target:
 
Why not slaa?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Why not slaa?

Chama
Gongo la mboto DSM
Utakuwa umekurupuka mkuu kwasababu umeandika kishabiki zaidi kama siyo kitoto.Yani kwasababu huyu katajwa basi na wewe unataja yule.
Jenga hoja mkuu usindike kama umeshikiwa akili.
 
Anahubiri Democracy na Uwajibikaji lakini yeye mwenyewe haamini katika masuala ya democracy na kuwajibika, ikumbukwe kuwa Yeye ni naibu wa Kiongozi wa -ambi ya Upinzani Bungeni, lakini nafasi hiyo hakuipata kwa ridhaa ya anaowaongoza, bali bali aliamua kujichagua au kung'ang'ania, sababu wabunge anao waongoza walimkataa kupitia kura walizopiga, akaenda kulalamika kwenye Chama kupitia ule mkutano uliofanyika Bagamoyo lakini kikasema hakitaingilia suala hilo wala hakitalijadili, hivyo ni suala la Zitto mwenyewe kuheshimu maoni ya wabunge wenzake au lah.
Zitto akaamua kujipachika mwenyewe kwenye nafasi na kupuuza kura na hivyo akawa amefanana na CCM kwa tabia ya kupuuza matokeo ya kura na maoni ya wengi...pia ikaonyesha namna wabunge wa CHADEMA walivyo dhaifu kiasi cha kutoweza kusimamia maamuzi yao.
In concluding, unaposema eti apime mwenyewe, uelewe kuwa kupima na kuheshimu maoni dhidi yake si sehema ya utamaduni wake wala mambo anayoyaamini.
 
yawezekana vipi kwa chadema kupambana na mafisadi iwapo itashindwa/kuogopa kuwawajibisha wasaliti wanaokihujumu chama?.....swali kutoka uraiani.

CCM wanaogopa kuwawajibisha mafisadi kwa sababu ni sehemu yao ni wenzao hivyo kwa wao kuwawajibisha wanaogopa kukigawa, kukiyumbisha hata kukisambaratisha Chama Chao.
Ndivyo ilivyo kwa Chadema, wanaogopa kumuwajibisha Zitto, kwa sababu ni usaliti na mengineyo ni sehemu yao, zito ni mwenzao wana hofu kama ya wenzao CCM.
The big picture tuipatayo hapa ni kuwa hakuna Chama chenye uwezo wa kufanya maamuzi, yawe magumu au mepesi, vyama vyetu vinachoweza kufanya ni kushambuliana, kukosoana na kujitetea tu, baasi.
 
..,na kama mmepima umuhimu wa Zitto kwa wananchi wake kigoma
trust me, suala la wananchi wa kigoma na mtazamo wao juu ya zito ukiliangalia kwa polical evidence iliyopo utagundua kuwa hawamkubali na hana ushawishi kwao kama inavyosimuliwa, na ndiyo sabababu Chadema imeshindwa kuwa ngome au Chama kikuu kule, na ndiyo maana ukiondoa Kafulila wabunge wengine ni kama haziivi naye.
Au in a second analytical glance, can we underline that Kigoma people are mature enough to rely on parties, but individuals no matter where are they from?
 
Utakuwa umekurupuka mkuu kwasababu umeandika kishabiki zaidi kama siyo kitoto.Yani kwasababu huyu katajwa basi na wewe unataja yule.
Jenga hoja mkuu usindike kama umeshikiwa akili.

Mtoto akiuliza swali la msingi hapaswi kujibiwa? Yaani yote hii ni katika kumtetea slaa? huu mgogoro si Zitto pekee babu ni mshiriki kwa asilimia 110%; walioshikwa akili watu kama wewe ni mmoja mimi naangalia pande zote za shilingi.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
pumba tupu!!!!

JF baada ya 2010 imejaa wajinga na wapuuzi no wonder hakuna issues tena zaidi ya CHADEMA, CCM, Zitto, Slaa na ujinga mwingine mwingi tofauti na kabla ya 2010 ambapo kilikuwa ni kisima cha maarifa.....

Aisee kumbe bado wenye akili humu JF wapo?.

Nionavyo mie hili ni jukwaa la siasa. Let siasa na wanasiasa waongelewe.

Ukienda majukwaa mengine kuna mengine pia.

Kuhusu ZZK, mie nashauri wamuite wakae naye chini, wamwambie nini cha kuongea na nini cha kutokuongea na wakati gani na sehemu gani.

Dogo anaongea pumba nyingi sana!. Ila ni binadamu kama wengine. Tunakosea
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…