Should CHADEMA Fire Zitto?

Should CHADEMA Fire Zitto?

Should Zitto get FIRED from CHADEMA?

  • YES

    Votes: 137 65.9%
  • NO

    Votes: 57 27.4%
  • May be

    Votes: 10 4.8%
  • I don't know

    Votes: 4 1.9%

  • Total voters
    208
Status
Not open for further replies.
hoja yako ya kufitinisha watu kwa itikadi zao, matatizo ya waislamu unayajua?, kama ilivyo sasa wananchi wa tz hawaitaki ccm na sasa wanataka mabadiliko ni kwa sbb ya mattzo waliyoyapata katika utawala wa ccm.
Waislamu kuna matatizo mengi sana yaliyosababishwa na serikali ama mfumo mbovu au hila za watendaji wasiokuwa waislamu kuhujumu uislamu mfano, matokeo ya islamic knowledge kuhujumiwa na serikali kukiri suala hilo. So hapa ukileta hoja za kiongozi kuchaguliwa kidin sikuelewi maana rais ni muislamu lakn anachukiwa na wote.
sidhani kama anachukiwa na wenzake, kwa sababu huwa anawafuturisha
Ndugu zetu unawategeshea ubwabwa tu watakupenda kilaiiinii wala huhitaji kutumia hela
 
Zitto is still relevant to Chadema than any other party whatever the case!
 
hata akipata kura za waisilamu wote itakuwa asilimia 35 tu ya watanzania
Wakristo wa ccm wataondoka na hawezi kupita tu na kugombea kwa tiketi ya ccm kumbuka kuna akina lowasa, mwakyembe, ma wengineo wengi.
Pia ukumbuke kuwa wakristo hatutaki muisilamu tena kuwa rais hii ni zamu yetu hawa jamaa ukiwaachia nchi ndio unaanza kuona maandamano ya kijinga na migomo ya kipuuzi kama mtu kugomea sensa. nakumbuka enzi za mwinyi pia walianza upuuzi mpaka pale mrema alipowapa kipigo ndio wakaufyata

Uislam!!! Dah!
Muislam wa kweli anayeufanya uislam kivitendo si kwa tende na wali mchuzi.... usimhukumu ndugu yangu wewe! hapa umetuchanganya waislamu wote! Tupo ambao tumepewa akili na ALLAH na tunazitumia alivyoagiza Muumba wetu!
Muislam kama JK au Ztto ambao leo wamepata fursa ya kuwa viongozi katika taifa hili kwa kipindi kirefu sasa...lakini hawajafanya safari hata moja (kwa kipato chao ambacho kinatosha kabisa)kwenda makka (Saud Arabia) kuizuru historia ya dini yao ilipoanzia.... au kwenda Madina (saud Arabia) kulizuru kaburi la mtume SWA ndo ilipaswa hasa uwashambulie!!
Kwani ikiwa wananafasi kama hizo hawakumkumbuka ALLAH!! wewe nani wakuhudumie??

Mkuu siku zote napinga zito kufuzwa cdm isipokuwa tu :-

1. Kama itathibitika bila mashaka kwamba ni mla rushwa na jamii ikafahamishwa na kuelewa hivyo bila mashaka.

2. Kama itathibitika bila kuacha mashaka kwamba anakihujum chama na kukwamisha kufikia malengo yake, na jamii ikafaham hivyo.

Vinginevyo aachwe kama baadhi ya member walivyoshauli. Achimbae shimo shulti angie mwenyewe.

Busara na hekima kwanza vinginevyo maadui wa cdm yaan ccm watatumia mwanya huo kuwahadaa na kuwavuruga watanzania, watasema cdm wamemtimua zito kwa sabab ya din yake, japokuwa kimsingi si hivyo.

Cdm yafaa ijipambanue na ikae mbali na silaha ya ccm dhana ya udin ambayo ccm ndiyo karata ya mwisho.

Tunahitaji aman, haki na amani ndan ya watanzania wote, wapagan, wakristu, wahindu, waislam na wengineo wote.

Taratibu za kikatiba kuwania madaraka zifuatwe kwa maana ya kura ilikuiwakilisha cdm. Zito akishinda apewe akishindwa akubali kutulia as long katiba hajakiukwa.
 
Mkuu una busara sana
Kwa nini asemwe zitto tu
kwa nini asisemwe msigwa?
Tundu lisu?
Mnyika?
Mie binafsi siamini mpaka kuwe na ushahidi lakini hili suala linaniumiza kichwa sana kwa sababu binafsi zitto nilikuwa namuona kama role model lakini kama kweli anataka kutusaliti basi nitamchukia daima, ila mpaka pale ushahidi utakapopatikana lakini huu mfano wako unaniumiza kichwa sana

Ndugu yangu katika nchi za wenzetu ambako Democrasia imenoga.. ile kusemwa tu umeonekana na totoz Nyumbani lonji kesho yake unajiuzuru yani hata kama si kweli! kwa kumentain stutus yako watu wakizulia kashfa wenzetu kule tunakojaribu kuwaiga kidemocrasia ...ustep dawn uchunguzi ufanyike na ikidhihiri!!!! mtu huyo kwao hafai kuwa kiongozi....otherwise anarejeshewa cheo chake na heshma yake inaongezeka!
Sasa Zitto ni Kiongozi wa CHA - DE -MA ( CHAMA CHA DEMOCRASIA NA ........) Sasa kama kweli anaamini katika democrasia kashfa hii ni nzito kwake! na kama kweli nia yake ni kuwa kiongozi wa watu na si vinginevyo... alipaswa kuwa keshajiuzuru kwa ngazi zote za uongozi katika chama na si hivi afanyavyo! Ni mlafi tu kama JK na mali za watanzania huyu zito. Ndo maana kula kukicha anawaza urais!!
 
Mkuu siku zote napinga zito kufuzwa cdm isipokuwa tu :-

1. Kama itathibitika bila mashaka kwamba ni mla rushwa na jamii ikafahamishwa na kuelewa hivyo bila mashaka.

2. Kama itathibitika bila kuacha mashaka kwamba anakihujum chama na kukwamisha kufikia malengo yake, na jamii ikafaham hivyo.

Vinginevyo aachwe kama baadhi ya member walivyoshauli. Achimbae shimo shulti angie mwenyewe.

Busara na hekima kwanza vinginevyo maadui wa cdm yaan ccm watatumia mwanya huo kuwahadaa na kuwavuruga watanzania, watasema cdm wamemtimua zito kwa sabab ya din yake, japokuwa kimsingi si hivyo.

Cdm yafaa ijipambanue na ikae mbali na silaha ya ccm dhana ya udin ambayo ccm ndiyo karata ya mwisho.

Tunahitaji aman, haki na amani ndan ya watanzania wote, wapagan, wakristu, wahindu, waislam na wengineo wote.

Taratibu za kikatiba kuwania madaraka zifuatwe kwa maana ya kura ilikuiwakilisha cdm. Zito akishinda apewe akishindwa akubali kutulia as long katiba hajakiukwa.

Kweli mkuu apewe kamba ndefu ajinyonge mwenyewe
 
Uislam!!! Dah!
Muislam wa kweli anayeufanya uislam kivitendo si kwa tende na wali mchuzi.... usimhukumu ndugu yangu wewe! hapa umetuchanganya waislamu wote! Tupo ambao tumepewa akili na ALLAH na tunazitumia alivyoagiza Muumba wetu!
Muislam kama JK au Ztto ambao leo wamepata fursa ya kuwa viongozi katika taifa hili kwa kipindi kirefu sasa...lakini hawajafanya safari hata moja (kwa kipato chao ambacho kinatosha kabisa)kwenda makka (Saud Arabia) kuizuru historia ya dini yao ilipoanzia.... au kwenda Madina (saud Arabia) kulizuru kaburi la mtume SWA ndo ilipaswa hasa uwashambulie!!
Kwani ikiwa wananafasi kama hizo hawakumkumbuka ALLAH!! wewe nani wakuhudumie??

Mkuu umeongea pointi kali sana

ni Sio waisilamu wote wako sawa, kuna wengine wana busara na akili pia wana ifuata dini kama inavyotakiwa.
lakini si unajua samaki mmoja akioza mara nyingi wote huwa wanaonekana wameharibika?
 
Jinamizi la udini na ukanda ndo linalowasumbua Chadema na wala sio Zitto
 
Mkuu siku zote napinga zito kufuzwa cdm isipokuwa tu :-

1. Kama itathibitika bila mashaka kwamba ni mla rushwa na jamii ikafahamishwa na kuelewa hivyo bila mashaka.

2. Kama itathibitika bila kuacha mashaka kwamba anakihujum chama na kukwamisha kufikia malengo yake, na jamii ikafaham hivyo.

Vinginevyo aachwe kama baadhi ya member walivyoshauli. Achimbae shimo shulti angie mwenyewe.

Busara na hekima kwanza vinginevyo maadui wa cdm yaan ccm watatumia mwanya huo kuwahadaa na kuwavuruga watanzania, watasema cdm wamemtimua zito kwa sabab ya din yake, japokuwa kimsingi si hivyo.

Cdm yafaa ijipambanue na ikae mbali na silaha ya ccm dhana ya udin ambayo ccm ndiyo karata ya mwisho.

Tunahitaji aman, haki na amani ndan ya watanzania wote, wapagan, wakristu, wahindu, waislam na wengineo wote.

Taratibu za kikatiba kuwania madaraka zifuatwe kwa maana ya kura ilikuiwakilisha cdm. Zito akishinda apewe akishindwa akubali kutulia as long katiba hajakiukwa.
Nakubaliana na wewe mkuu,ila unataka kusema Zitto ndo muislam peke yake chadema?Maana sasa chadema wanaweza kuwajengea waislam hisia kwamba Zitto ni a "token",kama unataka kujuwa maana ya hilo neno token,ni pale wazungu wanapomwajiri mtu mweusi mmoja ili kuondoa ile dhana ya ubaguzi.Hilo ndo naona kama linataka kutokea.CDM haikutakiwa iwe kwenye hiyo position.

Hivi viongozi waislam chadema ni wangapi?ccm je?I mean nafahamu hatuwezi kuvilinganisha vyama hivyo moja kwa moja kwasababu ccm ni chama kikongwe,lakini ukisema Zitto akifukuzwa chamani basi waislam watasema ni kwasababu ya dini yake,hilo tayari ni tatizo kuliko hata Zitto mwenyewe.I'm just sayin...
 
Kama kweli zitto anafanya yale ambayo tunaambiwa anafanya, basi anahujumu sana vuguvugu la mabadiliko kwenye Taifa hili. Kwa mtu kama zitto ambaye historia ya maisha yake ya kisiasa imeanzia upinzani ana nafasi njema sana kwenye mioyo ya watanzania kama atakkuwa mkweli kwa nafsi na jamii inayomzunguka
 
Kiukweli Zitto kabwe ni jembe langu na namkubali sana kama mwansiasa kijana aliyejaribu kuthubutu na kuitangazia Tanzania na dunia kuwa vijana tunaweza, namkubali sana Zitto Kabwe tena nasisitiza na hata kama ukitokea uchaguzi kati ya Zitto na Dr.Slaa basi probbably Zitto akapata kura yangu.
But kuna mambo ambayo yananifanya nimtilie mashaka na hasa hili swala la ushiriki au mchango wake kwenye M4C na swala la pili ni lile la Zitto Kabwe kumpigia kampeni Jakaya kikwete 2010 kwenye uchaguzi mkuu na badala ya kumpigia Dr.Slaa ambaye ni wa chama chake CHADEMA.
 
Jinamizi la udini na ukanda ndo linalowasumbua Chadema na wala sio Zitto

Ubongo unaojilazimisha kulala huu! wambie wajukuu wakupe mkongongojo!!! si lazima utembee kwa kushika ukuta LOL!!

Kiukweli Zitto kabwe ni jembe langu na namkubali sana kama mwansiasa kijana aliyejaribu kuthubutu na kuitangazia Tanzania na dunia kuwa vijana tunaweza, namkubali sana Zitto Kabwe tena nasisitiza na hata kama ukitokea uchaguzi kati ya Zitto na Dr.Slaa basi probbably Zitto akapata kura yangu.
But kuna mambo ambayo yananifanya nimtilie mashaka na hasa hili swala la ushiriki au mchango wake kwenye M4C na swala la pili ni lile la Zitto Kabwe kumpigia kampeni Jakaya kikwete 2010 kwenye uchaguzi mkuu na badala ya kumpigia Dr.Slaa ambaye ni wa chama chake CHADEMA.

ha ha ha! Ghafla umeivua miwani ya mbao!
 
Ndugu yangu katika nchi za wenzetu ambako Democrasia imenoga.. ile kusemwa tu umeonekana na totoz Nyumbani lonji kesho yake unajiuzuru yani hata kama si kweli! kwa kumentain stutus yako watu wakizulia kashfa wenzetu kule tunakojaribu kuwaiga kidemocrasia ...ustep dawn uchunguzi ufanyike na ikidhihiri!!!! mtu huyo kwao hafai kuwa kiongozi....otherwise anarejeshewa cheo chake na heshma yake inaongezeka!
Sasa Zitto ni Kiongozi wa CHA - DE -MA ( CHAMA CHA DEMOCRASIA NA ........) Sasa kama kweli anaamini katika democrasia kashfa hii ni nzito kwake! na kama kweli nia yake ni kuwa kiongozi wa watu na si vinginevyo... alipaswa kuwa keshajiuzuru kwa ngazi zote za uongozi katika chama na si hivi afanyavyo! Ni mlafi tu kama JK na mali za watanzania huyu zito. Ndo maana kula kukicha anawaza urais!!
Umesema ukweli kabisa,kwa nchi za wenzetu,ilitakiwa akae pembeni hadi huo uchunguzi utakapokamilika.Lakini kwa bongo sivyo kabisa.Na hata chama chake kimeshindwa kumsuspend na kuna wanaodai wanaogopa kufanya hivyo kwasababu ya dini yake.Sikuwahi kufikiri kwamba eti Zitto atakuja kutuhumiwa kwa rushwa kabla hata nchi hawajachukua.Nilidhani he was "The people's leader".

Na yote haya yametokana na ukaribu wake na JK usio wa kawaida given that chama chake ndicho kilitoa ile "list of shame" ya Mwembe yanga,ambayo JK mwenyewe alitajwa.Jamaa amenishangaza sana na sidhani kama kweli ni mtu mwenye misimamo isiyoyumba kama alivyowahi kusema.
 
hata akipata kura za waisilamu wote itakuwa asilimia 35 tu ya watanzania
Wakristo wa ccm wataondoka na hawezi kupita tu na kugombea kwa tiketi ya ccm kumbuka kuna akina lowasa, mwakyembe, ma wengineo wengi.
Pia ukumbuke kuwa wakristo hatutaki muisilamu tena kuwa rais hii ni zamu yetu hawa jamaa ukiwaachia nchi ndio unaanza kuona maandamano ya kijinga na migomo ya kipuuzi kama mtu kugomea sensa. nakumbuka enzi za mwinyi pia walianza upuuzi mpaka pale mrema alipowapa kipigo ndio wakaufyata

hongera sana kujipambanua,wenzio wanajificha kwenye vivuli vya mchicha,Ni kweli wakati wa waislam migomo na maandamano huwa mingi lakini wakati wa wakristo pia haya matatizo huwa yapo lakini kwa nini watu hawagomi wala kuandamana? Hujajifunza kuwa ni kukua kwa mfanumo wa Kideemokrasi,Pia wasaidie vijana wafahamu ni wakati wa awamu ipi majaribio ya mapinduzi yalikuwa mengi mpaka Rais kuvalishwa Buibui na kutoroshewa kigamboni? Wafahamishe wa Tz ni wakati upi Bunge lilikaa kama kamati kubadilisha jina la Rushwa na kuitwa Takrima?wafahamishe wana Jf wafahamu ni wakati wa gani kutoa maoni hayo uliyotoa ilikuwa lazima utoke nje ya mipaka ya nchi yetu? Wakumbushe watu waelewe ni wakati gani kumiliki Tv,Friji ilikuwa ni uhujumu uchumi,Pia tambua 'upumbavu' wa hawa waislam umekufanya Upate fursa ya kukosoa serikali yako? Nenda kajipange uje utueleze Role ya Nyerere lini Taifa hili liliwahi kuwa la Ujamaa na kujitegemea kwa vitendo sio machapisho!
 
Zitto siyo mnafiki mara nyingi kauli za zito zinabase kwenye ukweli mara nyingi selikari iliyopo madarakani kama inafanya kitu kizuri kwa manufaa ya wananchi na taifa kiujumla mara nyingi Zitto anazipongeza zile wizara and if itz vise versa Zitto tends to b vise versa too so huo unafiki wa Zitto upo wapi?
 
Kwa kweli nilishaachaga zamani kumpenda zamani huyu Zitto tokea JK amteue kua kwenye ile kamati ya madini sababu kubwa ni MSALITI na haaminiki kabisa
 
Ndioo! Ajiondoe au aondolewe! Amesha kuwa mzigo, pia anapunguza uharaka na mwendo wa M4C! kila akitumwa alete maji ili tuzime moto yeye analeta petrol!
 
hongera sana kujipambanua,wenzio wanajificha kwenye vivuli vya mchicha,Ni kweli wakati wa waislam migomo na maandamano huwa mingi lakini wakati wa wakristo pia haya matatizo huwa yapo lakini kwa nini watu hawagomi wala kuandamana? Hujajifunza kuwa ni kukua kwa mfanumo wa Kideemokrasi,Pia wasaidie vijana wafahamu ni wakati wa awamu ipi majaribio ya mapinduzi yalikuwa mengi mpaka Rais kuvalishwa Buibui na kutoroshewa kigamboni? Wafahamishe wa Tz ni wakati upi Bunge lilikaa kama kamati kubadilisha jina la Rushwa na kuitwa Takrima?wafahamishe wana Jf wafahamu ni wakati wa gani kutoa maoni hayo uliyotoa ilikuwa lazima utoke nje ya mipaka ya nchi yetu? Wakumbushe watu waelewe ni wakati gani kumiliki Tv,Friji ilikuwa ni uhujumu uchumi,Pia tambua 'upumbavu' wa hawa waislam umekufanya Upate fursa ya kukosoa serikali yako? Nenda kajipange uje utueleze Role ya Nyerere lini Taifa hili liliwahi kuwa la Ujamaa na kujitegemea kwa vitendo sio machapisho!
Hivi ni buibui ama "baibui"?

Halafu kwani Nyerere alitaka kupinduliwa kwasababu zipi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom