Should CHADEMA Fire Zitto?

Should CHADEMA Fire Zitto?

Should Zitto get FIRED from CHADEMA?

  • YES

    Votes: 137 65.9%
  • NO

    Votes: 57 27.4%
  • May be

    Votes: 10 4.8%
  • I don't know

    Votes: 4 1.9%

  • Total voters
    208
Status
Not open for further replies.
Undecided, decide for all of us pls
You should decide as a party,kwasababu inanishangaza sana eti kiongozi hayuko kwenye m4c,yeye yuko na JK tu.

Kweli this was a "million bucks question"
 
Hakuna mwenye jeuri hiyo cdm wala msiote uamuzi huo ndani ya cdm, shibuda mwenyewe wakabaki wanatishia tu, wakamgwaya wajaribu kwa zito wafe mwezi huo huo, mbowe anajua faida ya kuwa na zito kwa maana ya ruzuku kuwa kubwa ili madeni yake alokopesha chama yalipwe kwa wakati ndo maana hata shibuda wakamgwaya na mauchau yao.
 
Acheneni na zito atajimaliza mwenyewe kama kweli yupo hivyo na kufutika katika siasa
 
Mchimba kisima huingia mwenyewe kwenye matope,atachafuka kisha jamii itamwona!
 
Hakuna mwenye jeuri hiyo cdm wala msiote uamuzi huo ndani ya cdm, shibuda mwenyewe wakabaki wanatishia tu, wakamgwaya wajaribu kwa zito wafe mwezi huo huo, mbowe anajua faida ya kuwa na zito kwa maana ya ruzuku kuwa kubwa ili madeni yake alokopesha chama yalipwe kwa wakati ndo maana hata shibuda wakamgwaya na mauchau yao.
Mhn!hii nimeisikia leo,siwezi kukubishia kwasababu sizijui issue za chadema kwa undani.

Hata hivyo kelele za udini dhidi ya chama hicho zinamnufaisha nani?
 
yes they should fire him coz huyu jamaa amezidi sintofahamu anahusishaje tuhuma zake na urais wakati bado kuna miaka 3 mbele kufikia kampeni? au anataka atumie urais kama kichaka chake cha kutokujadiliwa hata pale anaposhutumiwa?..Aende zake huko mbali akagombee kama mgombea binafsi au akajiunge na SAU huko hakuna atakayemjadili sana.

Zitto hatakuwa na hatia, naamini hivyo.
 
Zitto hatakuwa na hatia, naamini hivyo.

Kiukweli sidhani hata kama chadema wanatakiwa waisubiri ripoti ya Jenerali Ngwilizi,only kama watakuwa wana imani nayo kwamba haitakuwa bias,maana mabo ya tume si ya kuaminika.Sijui ni lini tume imeshawahi kuleta majibu yenye kuridhisha.Kama ccm wana mkono wao kwenye hayo ya Zitto,basi msitegemee jipa kutoka kwenye tume.Rushwa kamwe haijawahi kufichuliwa na ccm wenyewe.
 
Acheneni na zito atajimaliza mwenyewe kama kweli yupo hivyo na kufutika katika siasa

Huyu Jamaa umaarufu wake umefutika haraka sana, Kama kwelli amekula mtonyo basi atabaki history Kama Akins masha na ngeleja
 
Ni kweli. Huwezi kujadili mapinduzi ya kidemokrasia bila kuwataja wafuatao; Zitto Kabwe, Dr. Willbrod Peter Slaa, Marehemu Chacha Wangwe na Hayati Phares Kabuye (Biharamulo magharibi). Tatizo la Zitto niliwahi kuandika na narudia kuandika, anapenda mno sifa, ni mnafiki na hana msimamo na ana tabia ya kujikombakomba kwa wakubwa hasa JK.

Zitto alianza kuyumba baada ya kuteuliwa kwenye tume ya madini. Hata Nimrod Mkono aliwahi kumtuhumu kwa kupewa pipi na kukaa kimya wakati watu migodini wanakufa.

Kubali msikubali Zitto anatumiwa na ntatoa mifano:Zitto amekuwa kinara wa kueneza dhana potofu kwamba chadema ni chama cha udini, Mzee Mtei aliposema tume ya maoni ya katiba imejaa waislamu wengi( of course ni kweli maana out of 34 members, wakristo ni 9 tu) Zitto alisema amezeeka na azomewe kila mahali, Kumbuka alitaka kuwa kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni wakati huku tunafuata mfumo wa commonwealth ambapo mwenyekiti wa chama cha upinzani akiwa mbunge, automatically anakuwa kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni, Zitto akiwa na JK Sudan kusini,Jk alisikika akisema kwamba watanzania wategemee mbunge kijana atakayemrithi.Iko hivi; Zitto anataka awavuruge chadema ili afukuzwe na akifukuzwa ionekane si kwamba kafukuzwa kwa unafiki wake, bali UISLAMU wake na atimkie CCM ili JK amsupport agombee Urais! Tayari atakuwa na kura za waislamu wote!CDM fukuza haraka huyu mnafiki!
 
hata akipata kura za waisilamu wote itakuwa asilimia 35 tu ya watanzania
Wakristo wa ccm wataondoka na hawezi kupita tu na kugombea kwa tiketi ya ccm kumbuka kuna akina lowasa, mwakyembe, ma wengineo wengi.
Pia ukumbuke kuwa wakristo hatutaki muisilamu tena kuwa rais hii ni zamu yetu hawa jamaa ukiwaachia nchi ndio unaanza kuona maandamano ya kijinga na migomo ya kipuuzi kama mtu kugomea sensa. nakumbuka enzi za mwinyi pia walianza upuuzi mpaka pale mrema alipowapa kipigo ndio wakaufyata
 
Nimeipenda sana hiyo id,muda si muda tutakuja kuta kuna mtu mwenye id ya "Desemba Manyuzi" lol!
 
Who is ZITO? Yeye ninani? Kwani chadema ni Zitto tuuu!Hakuna mtu anaebeba entity ya Chadema individually! Yeyote atakaethibitika hana sifa ya Uadilifu AONDOLEWE! kama chama ni watu walivyoachia madaraka waasisi wa chadema kina Mtei na Marehemu Bob makani Chama si kingekufaa.Acheni kuogopa watu Hataufanye mema milioni kumi tutahesabu lile baya lako moja.
 
Uzuri ni kwamba watu wengi wameisha mshtukia tayari
 
Ni kweli. Huwezi kujadili mapinduzi ya kidemokrasia bila kuwataja wafuatao; Zitto Kabwe, Dr. Willbrod Peter Slaa, Marehemu Chacha Wangwe na Hayati Phares Kabuye (Biharamulo magharibi). Tatizo la Zitto niliwahi kuandika na narudia kuandika, anapenda mno sifa, ni mnafiki na hana msimamo na ana tabia ya kujikombakomba kwa wakubwa hasa JK.

Zitto alianza kuyumba baada ya kuteuliwa kwenye tume ya madini. Hata Nimrod Mkono aliwahi kumtuhumu kwa kupewa pipi na kukaa kimya wakati watu migodini wanakufa.

Kubali msikubali Zitto anatumiwa na ntatoa mifano:Zitto amekuwa kinara wa kueneza dhana potofu kwamba chadema ni chama cha udini, Mzee Mtei aliposema tume ya maoni ya katiba imejaa waislamu wengi( of course ni kweli maana out of 34 members, wakristo ni 9 tu) Zitto alisema amezeeka na azomewe kila mahali, Kumbuka alitaka kuwa kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni wakati huku tunafuata mfumo wa commonwealth ambapo mwenyekiti wa chama cha upinzani akiwa mbunge, automatically anakuwa kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni, Zitto akiwa na JK Sudan kusini,Jk alisikika akisema kwamba watanzania wategemee mbunge kijana atakayemrithi.Iko hivi; Zitto anataka awavuruge chadema ili afukuzwe na akifukuzwa ionekane si kwamba kafukuzwa kwa unafiki wake, bali UISLAMU wake na atimkie CCM ili JK amsupport agombee Urais! Tayari atakuwa na kura za waislamu wote!CDM fukuza haraka huyu mnafiki!
Right on the money,very sad though.Halafu mtu unaona kabisa plan yako iko out on the open,lakini bado tu.Nimesikitishwa sana kwani nilikuwa namwamini sana muheshimiwa huyu,na nikidhani ni kiongozi shupavu kabisa.Lakini kama ulivyosema,toka ile kamati ya madini,JK nadhani alimwingiza mkenge akamwambia "we muislam mwenzangu achana na hao makafiri",yani I can see that.Very sad indeed coz hawajali maslahi ya Taifa hili.
 
Ebwana hili swala la Zitto n very sensitive hivi what is exactly going on between presida wetu na Zitto?n urafiki wakawaida au n mambo ya politics to b honestly i real trust Zitto ila siwasupport kwa kumdiss Zitto ila siku nitakayo thibitisha kwa hayo ambayo ambayo yupo suspected ndio nitajilaumu kwa upumbavu wangu bt let wait coz obvious the starting point must having the ending point.
 
If proved guilty should go. Issue ni ushaidi tutaupata wapi? Kama kuna uwezekano wa kupata ushaidi inabidi aondoke. Km CDM watashindwa kumuondoa watakuwa wamecheza sana faulu.

Mfalme suleman, alimwacha mke kati ya wake zake 99 kwa sababu tu kitaani walisema analiwa na mfanyakazi wake! Wazee wa busara walipomwendea kumsihi asifanye hivyo kwa kuwa hakuna kile kinachoitwa ushahidi! mzee mzima akawauliza...." Ni kweli hakuna ushahidi na si vizuri kumwacha mke wangu huyu kwa kutokuwepo ushahidi!! lakini kati ya wake zangu wote kwa nini asemwe yeye kuwa analiwa!!????? au kwanini asisemwe mmoja kati ya wake zenu ninyi wazee wa busara bali asemwa huyu wangu!!??" Baada ya maswali hayo wazee wa busara wakasepa bila kumpa majibu ya maswali aliyowauliza.
 
Ninazo sababu tatu zinazonifanya niunge mkono kama upo uwezekano wa zitto kutimuliwa cdm.
Si mzalendo wa kweli
Anatamaa ya mali na uongozi
Ni mnafiki

hata akipata kura za waisilamu wote itakuwa asilimia 35 tu ya watanzania
Wakristo wa ccm wataondoka na hawezi kupita tu na kugombea kwa tiketi ya ccm kumbuka kuna akina lowasa, mwakyembe, ma wengineo wengi.
Pia ukumbuke kuwa wakristo hatutaki muisilamu tena kuwa rais hii ni zamu yetu hawa jamaa ukiwaachia nchi ndio unaanza kuona maandamano ya kijinga na migomo ya kipuuzi kama mtu kugomea sensa. nakumbuka enzi za mwinyi pia walianza upuuzi mpaka pale mrema alipowapa kipigo ndio wakaufyata

hoja yako ya kufitinisha watu kwa itikadi zao, matatizo ya waislamu unayajua?, kama ilivyo sasa wananchi wa tz hawaitaki ccm na sasa wanataka mabadiliko ni kwa sbb ya mattzo waliyoyapata katika utawala wa ccm.
Waislamu kuna matatizo mengi sana yaliyosababishwa na serikali ama mfumo mbovu au hila za watendaji wasiokuwa waislamu kuhujumu uislamu mfano, matokeo ya islamic knowledge kuhujumiwa na serikali kukiri suala hilo. So hapa ukileta hoja za kiongozi kuchaguliwa kidin sikuelewi maana rais ni muislamu lakn anachukiwa na wote.
 
Mfalme suleman, alimwacha mke kati ya wake zake 99 kwa sababu tu kitaani walisema analiwa na mfanyakazi wake! Wazee wa busara walipomwendea kumsihi asifanye hivyo kwa kuwa hakuna kile kinachoitwa ushahidi! mzee mzima akawajibu...." Ni kweli hakuna ushahidi na si vizuri kumwacha mke wangu huyu kwa kutokuwepo ushahidi!! lakini kati ya wake zangu wote kwa nini asemwe yeye kuwa analiwa!!????? au kwanini asisemwe momoja kati ya wake zenu ninyi wazee wa busara akasemwa wangu huyu!!??" Baada ya maswali hayo wazee wa busara wakasepa bila kumpa majibu ya maswali aliyowauliza.
Mkuu una busara sana
Kwa nini asemwe zitto tu
kwa nini asisemwe msigwa?
Tundu lisu?
Mnyika?
Mie binafsi siamini mpaka kuwe na ushahidi lakini hili suala linaniumiza kichwa sana kwa sababu binafsi zitto nilikuwa namuona kama role model lakini kama kweli anataka kutusaliti basi nitamchukia daima, ila mpaka pale ushahidi utakapopatikana lakini huu mfano wako unaniumiza kichwa sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom