Should CHADEMA Fire Zitto?

Should Zitto get FIRED from CHADEMA?

  • YES

    Votes: 137 65.9%
  • NO

    Votes: 57 27.4%
  • May be

    Votes: 10 4.8%
  • I don't know

    Votes: 4 1.9%

  • Total voters
    208
Status
Not open for further replies.
[ Mkuu huwezi kunukuu mchango wa MBUNGE akiwa bungeni na mchango wa kiongozi mwenyekiti akiwa ktk mihadhara ya hkuhutubia. Watu hawa hawa unewabadilisha sehemu zao ungesikia yakizungumzwa haya haya na mtu tofauti. Zitto akichagia bajeti ya niashati na madini hawezi kuzungumzia Education, education education wala Mbowe akiwa pale hawezi kuzungumzia Ufisadi wa wizara ya nishati na madini..Kila maneno yana mahala pake!
 
chama cha hovyo kila wakilala machame wanaona jinamizi la mafanikio ya Zitto ..

Hayo mafanikio ya zitto ni yapi?!! Au kwa vile ni mtayarishaji wa concert za mziki na bongo flava unit basi mnaona kuna mafanikio. Tunajua zitto ana washabiki vijana wa makamo na pia ana mashabiki wa kike wengi mno ananikumbusha wakati wa obama au wakati ule wa kikwete. Kikwete alipoingia madarakani mara ya kwanza alipata kura nyingi za wanawake coz walikua wanavutiwa nae na kumuona ni handsome boy.. Nawaombeni wanawake msije mkafanya kosa la kuchagua rais kwa sababu ya sura au mwili bila kuangalia sera zake au za chama na kama yuko tayari kuongoza nchi. Ninawahakikishieni zitto akiwa mgombea urais 2015 ccm inabaki madarakani.
 
Zitto mbona anaonewa sana huko chadema jamani? ...yaani hamuishi mashtaka nae kila siku zitto zitto ....kama vipi si mkubali tu kuwa amewazidi ujanja? ...asjyekubali kushindwa si mshindani
Zitto siyo mchanga wala mkristo ndio maana! Wachaga hata siku moja huwa hawapendi kushindwa.
 
Haya ni mawazo ya mwana chadema!
Napenda kusikia hivi hivi kila siku ndani ya chama chenu...next plz
 
njaa,njaa,njaa,njaa, njaa hitakuua mkuu,ngalia usiuze mke wako kw magamba kwa ajili ya tumbo mkuu...shirikisha ubongo hata kigodo instead ya masaburi...
Hizi ndio comments zenu kila siku. Badala mtatue migogoro yenu huko CDM, mnahangaika na kumtukana Rejao!!
 
Last edited by a moderator:
Rejao+Shibuda+Zitto= Uharo=zero. Not needed in our society.
 
Subira yavuta heri, japo ngojangoja yaumiza matumbo.

Ukomavu na uvumilivu ni moja ya mbinu sahihi kupambana na changamoto za kisiasa.

Kumfukuza zito sio suluhisho maana sio pekeyake na akina Shibuda wamo. Binafsi nachukizwa sana kwa mitazamo na utendandaji wa akina zito lakini katu siafiki kufukuzwa.

Watanzania, ccm imetugawanya mapande makuu manne. Udini, ukanda, ukabila na walionacho nawasionacho Tunahitaji chama makini, chenye mtazamo chanya ili:-

A. Kutuunganisha upya na kuulejea umoja wetu kama watanzania

B. Kutuongoza katika kupata maendeleo ya kweli katika nyanja zote, elimu, afya na miundombinu.

C. Kuhakikisha haki inatolewa kwa usawa bila kujali udini, ukanda, fedha au ukabila.

Ccm wametugawa ili iwerahisi kutuchonganisha nahivyo kusambaratika nawao kubaki salama madarakani.

Watamtumia zito kwa maana ya ukanda na udin. Zito akifukuzwa itakuwa ni uislam wake na si wakaskazin, magale- usukuma wake na sio vurugu zao.

Hivyo taratibu zingine zakichama zitumike kuukwepa ccm.
 
Chadema haikumjenga kisiasa Zitto ni ngumu sana kumbomoa kama ingekuwa ni kazi rahisi wangejaribu mnajua nini yatakuwa matokeo yake ni wazi wapo wengi ndani ya Chadema wanamuunga mkono Zitto.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
zito hafai, ccm mtasema mengi lakini wanaCHADEMA tutamchagua tumtakae,ukitaka kujua huyu Zito ni CCM ebu anagalia michango ya hilo Gamba hapo juu jinsi linavyotoa hoja mfu
 
Sasa nimeanza kupata wasiwasi juu ya huyu zitto,yaani hata magamba mmeanza kuwa wasemaji wa zito?inavyo onyesha zito ni kibaraka nepi! sasa m4c mkigundua zito anawazingua pigeni chini,chadema sio zito peke yake! kwanza aende kwao kigoma akaendeleze matamasha ya mziki, uzuri ni kwamba watanzania waleo sio wale wa enzi za tanu,nasema kama kuna pepo limetumwa chadema lishindwe!!!! peopleoooooozzz......power........!!!!!
 
zito hafai, ccm mtasema mengi lakini wanaCHADEMA tutamchagua tumtakae,ukitaka kujua huyu Zito ni CCM ebu anagalia michango ya hilo Gamba hapo juu jinsi linavyotoa hoja mfu

Huo ndio ukweli ubavu hamna kama mnaweza jaribuni sisi yetu macho mmeshindwa na Shibuda mmtaweza Zitto?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Chadema haikumjenga kisiasa Zitto ni ngumu sana kumbomoa kama ingekuwa ni kazi rahisi wangejaribu mnajua nini yatakuwa matokeo yake ni wazi wapo wengi ndani ya Chadema wanamuunga mkono Zitto.

Chama
Gongo la mboto DSM


Mkuu chama

Tatizo sio nguvu za zito nachelea kusema ni mbinu na mikakati thabiti ya chama cha mapinduzi.

1. Kigoma wanamtazama zito kama wa kanda ya maghalibi, hivyo nembo na mwakilishi wao.

2. Zito akifukuzwa kwa kosa lolote lile, watanzania wengi hawataliona kosa lake bali watalukia hitimisho kwamba kafukuzwa kwasababu ya dini yake. Din ndiyo nguvu ya zito hasa.

Nahapo ccm imefanikiwa kwa kupandikiza mbegu ya udin kutuchanganya wtz.

Naamin chadema wako makin hawataingia na kunasa katika mtego huu na mingine inayofanana nahuu.

Zito asifukuzwe kulinda maslahi ya chama na wanachama wote kwa ujumla wao, walio na wasionayo.

Nakama kufukuzwa waanze ccm kule bungen kumfukuza chadema iwe ya mwisho.

Tunahitaji umoja kama taifa na sio migawanyiko.
 
hayo mawazo yako ww rejao hayo malumbano yako wapi acha uzushi,labda itakuongoza ww milele lakini si watanzania wa leo ambao hata uhakika wa buku mbili inakuwa shida.
Halafu kusema kweli mimi namshangaa zitto,kila wakati yeye na wapambe wake wanasema kuwa watu hawamwelewi zitto, sasa kwanini watu hawamwelewi?au yeye ndo haelewi watu.Na kama amehisi watu hawamwelewi kwanini asitafute namna ya kueleweka,au anataka aeleweke lini?Miongoni mwa sifa za kiongozi ni kuwa na uwezo wa kufanya kazi na wenzake kama timu,na wakati mwingine kukubaliana na kile wengi wanachoamini na si kusimamia vimisimamo vyako peke yako ambavyo wakati mwingine haruhusu watu kuvi-study na kumshauri kama ni sahihi au la! Na kama ameona ndoto zake haziwezi kutimia kwa utaratibu wa chama chake, basi kwanini asijiondoe ili kuepuka malumbano yasiyokuwa ya lazima.Kama yupo kinyume na wenzake kwa mambo ya msingi ambayo kwa nje yanakijenga chama,kwanini tusifikirie kuwa anatumiwa na chama tawala,kwani hiyo ndo baadhi ya mianya muhimu sana kwa chama tawala.Ushauri wangu kwa zitto,ni kwamba cdm bado ipo katika harakti za kujijenga,sina uhakika kama analijua hilo kwani kama angelijua hilo asingefanya anavyofanya,na ndo maana kila kukicha utasikia oparesheni sangara au M4C au harambee,kazi hii ndio msimamo wa chama kwa sasa. Zitto yeye kazi kutafuta urais,watanzania sio wajinga kiviiile,wanakusoma vizuri na si ajabu ukajikuta unaambiwa ni utoto unaokusumbua.Zitto if you feel that your career can not be developed through cdm,try somewhere else.CDM ni zaidi ya zitto na zitto ameingia cdm ikwa na structure ambayo si tofauti sana na iliyonayo sasa,cdm walikupa nafasi tukakuona wananchi,tulipenda tuendelee kukuona zitto yule,mazuri yako ya zamani hayawezi kutufanya tunyamaze huku tukiona unaelekea kuchafua kambi tunayoipenda na tunajitahidi kila kukicha kuijenga.
Wasalaam
 

Mkuu adolay;
Si sahihi kuiuhisisha CCM na matatizo ya ndani ya Chadema, umetumia vigezo? Mapungufu ya uongozi ndani ya Chadema yanaoenekana wazi; unataka kuniambia matatizo ya ukabila ndani ya Chadema nayo yamesababishwa na CCM? CCM imepandikiza vipi mbegu ya udini wakati viongozi wake wamo waislamu na wakristo na hawabaguani? Narudia tu Chadema hamna ubavu wa kumfukuza Zitto; na hamna sababu za msingi tofauti kubwa zinazojitokeza ni kuzuka walaji ndani ya safu uongozi wenu. Bungeni afukuzwe kwasababu zipi? Umoja wa Taifa hili upo pamoja na kuwa mnajaribu sana kuleta siasa za ukanda lakini hamatafanikiwa watanzania wanaelewa na wanajua tumetoka wapi.

Chama
Gongo la mboto DSM
 


Chama

1. Kamaa huamini nguvu ya zito ni din unahaki ni maono yako.

2. Kama huamini ccm imetugawa kwa iman zetu lengo kutudhofisha pia haki yako, rejea kampen za urais kikwete aliimba wimbo huu inchin kote, nawaasa chadema wasiucheze wawaachie ccm single yao kuicheza

3. Chadema iwe ya wote.
 

Aiseee Chalii hatuwezi muunga mkono zitto wakati kuna machalii kibao kutoka Arusha na kilimanjaro hiki ni chama chetu chalii na zitto tulimkaribisha ili tubalance chama ila kwa sasa watu wameshatuunga mkono kwa hio hatumtaki.
Mbowe 4 president na Lema 4 mwenyekiti wa taifa chadema.
 

Ni kweli nguvu ya zitto ni dini lakini na sisi nguvu yetu ni ukabila na ukanda.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…