Shivji: Mimi ni muumini serikali mbili

Shivji: Mimi ni muumini serikali mbili

Mtaipataje Tanganyika bila kupinga hadharani fikra za Nyerere aliyeiuwa? Inatakiwa kwa dhati kabisa mseme wazi kuwa Nyerere alifanya makosa kuiuwa Tanganyika, hapo mtaeleweka, bila hivyo? itatumika fimbo ya Nyerere na fikra za Nyerere na nyinyi hamuwezi kuukubali ukweli kuwa alikosea. Sijui unafaham?

Leo mnatafuta pakutokea, kila ataekuja na lake mtalitafutia sababu, mara oohh Shivji hivi, mara Oooh Warioba vile, mara Oooh Kikwete vile.

Amkeni na mseme tu Nyerere alifanya makosa makubwa sana kuiuwa Tanganyika, mbona hapo mnapata kigugumizi?

Na bila kukataa fikra za Nyerere kuhusu huu Muungano mtatafuta sana scapegoat.

Sasa mnailaumu Zanzibar ndiyo inawanyima Tanganyika yenu? mimi naona Wazanzibari wanawasaidia sana kwenye hii cause yenu ya kuitafuta Tanganyika lakini nyinyi ndio msiojijuwa muanzie wapi. Upo hapo ulipo? Anzeni kwa kuzipinga fikra za Nyerere kuhusu huu muungano, hiyo ndio shortcut pekee ya kupazia malalamiko yenu. Ukipenda usipende hilo halikwepeki.
Unajaribu kutuelekeza kule kwa akina CUF na Uamsho ambako kila asubuhi hushinda katika mikutano kumtukana Nyerere laanatulah. Wakimaliza hapo wanatoa idadi ya watu waliohudhuria mkutano baasi mambo safi.

Kimachotokea Dodoma ni ushahidi, kwasababu wale wale wznz wanaopinga muungano ndio wamefyata na kwa kura ya wazi kuisaidia CCM.Akina Jusa waliosoma kwa Nyerere na wasiotaka muungano ndio wanaandika kanuni.

Ukiwauliza hasa wanataka nini huwezi kupata majibu yanayolingana, kinachowaungnisha ni matusi dhidi ya Nyerere.

Kusimama na kusema Nyerere alifanya makosa hakuleti jibu la tatizo.
Ukweli wa kwamba CCM wanaficha mkataba unaeleza vema kuliko kutukana.

Kikwete anamkono wake kwa hili tena mkubwa tu.
Ameshindwa kusimamia dhamira yake akiongozwa na njia mbili.

Warioba kasema alichosikia kwa wananchi, historia itamhukumu kwa ukweli huo
Shivji, ah kanishangaza aliposema msingi wa muungano ni kugawana madaraka.
Akala matapishi ya maandiko yake.

Tunachosema ni kuwa Tanganyika itazinduka, hapo kila mtu atabeba mtoto wake.
Ni muhimu kuieleza Tanganyika kuliko kutumia akili na nguvu kumtukana Nyerere.
Hayupo na wala hatarudi na jibu.

Kumtukana ni kuridhisha nafsi kwa uongo, ni kuficha shati halafu uliibe mwenyewe.
CUF na Uamsho wanaweza, wengine hatujafika walipo na hatupendi kuelekea huko.
Si kila njia inaenda pema, nyingine zinaelekea porini au chooni.
 
Umebwabwaja sana sasa jiulize aliyeelekea chooni nani? Yule mwenye nchi au asie na nchi? Zanzibar wana yao, wewe yako ipi?

Kikwete? Kikwete ndiyo aliiuwa Tanganyika? wacha ufataani wewe. Kikwete ndiye aliyewawezesha mpaka leo mnaweza hata kunyanyua midomo mkasema. Nioneshe ni wapi uliweza kuyasema haya ya muungano kabla ya Kikwete? mawe!

Eti Shivji kakushangaza kwa kusema? "msingi wa muungano ni kugawana madaraka", sasa wewe ulitaka uhodhi madaraka yote wewe? halafu iweje? uwe una colony lako linaitwa Unguja na Pemba?

Warioba kaleta maoni kwa aliyosikia kwa wananchi, hao wananchi ndio wanataka Serikali tatu, au sio? Jee, yeye kama Warioba anataka Serikali ngapi? Nyerere alitaka Serikali ngapi? Warioba leo hii yuko tayari kuziacha fikra za Nyerere? au wewe jee?

Ukipenda usipende, ukisema usiseme, unapoidai tu Tanganyika, hapo unaungana na mimi kuwa zife fikra za Nyerere.

Na mimi natamani sana iwepo Tanganyika na iwepo Zanzibar na uwe Muungano wa maridhiano na si Muungano wa madaraka upande mmoja. Leo mpaka Rais wa Zanzibar lazima akubaliwe Dodoma? sasa hapo kuna heri hapo?

Nawaunga mkono Uamsho na Cuf kama kweli walikuwa wanazididimiza fikra za Nyerere wazi wazi, matokeo? leo CUF wana ongoza na Zanzibar pia. Na wapo ndani ya utawala na si outsiders tena na watahakikisha Zanzibar inakuwa huru kiukamilifu wake, kama 80% tayari, bado mambo madogo madogo tu ya ku iron out.

Jussa kelele zake si umeona kapewa Ubunge na sasa yumo mjengoni,, Mtahaha sana,\

Kikwete kiboko, mmemeza chambo, ndoano, chubwi na mshipi wake. Anajuwa alifanyalo. Sasa mtadai nyinyi Uhuru kwa Zanzibar, bila ya wao Tanganyika mtaitowa wapi?

Nakuuliza hivi, bila kwenda kuwalamba miguu akina Jussa na Kificho, utaipata Tanganyika? calculations hazikubali. Hata useme uuvunje Muungano bila ya kumlamba miguu Jussa utauvunjaje?

Turufu sasa hivi ni Jussa. Kama ulikuwa hujui kupiga hesabu sasa utaijuwa.

Si unawaona chadema? wameliona hilo, si walisema CUF ni CCM "B" leo kiko wapi? wanawalamba miguu haohao CCM "B" wawe nao pamoja, wakitegemea kura za Zanzibar ndio zenye turufu na nani wa-kuweza kuwapatia walitakalo? ni akina Jussa tu, hakuna ujanja.

Wewe halijakuingia tu hilo akilini? labda ufanye muujiza, ambao huna.
 
Unataka kutuambia kwamba njia pekee ya kuizindua Tanganyika ni kupitia CCM kusalimu amri kwa kina Jussa? Amekudanganya nani? Sio katika kipindi hiki. Safari hii, Kuzinduka kwa Tanganyika hakutatokana CCM kusalimu amri kwa kina Jussa bali CCM kusalimu amri kwa watanganyika. Mark my words.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Sio haramu. Aseme tu wazi kwamba kabadili msimamo kuliko kukataa na kuishia kuumbuliwa na wanafunzi wake.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Kwanini Issa Shivji atupiwe mawe wakati anachokifanya ni sawa na wanaCCM wengine kweye bunge la katiba? Unajua ni kwanini wanataka kura ya wazi na sio kura ya siri?

Sababu ni kuwa moyoni na akilini wanajua kabisa serikali mbili ni mkenge. Lakini mdomoni na usoni wanataka kuonyesha kuwa ni waumini wa serikali mbili.

Kwa mtu anayejua serikali yetu, kwa mtu kama Shivji ni bora kusema hivyo. Naunga mkono style ya kusema kwake kwa mazingira yaliyopo. Lakini akini mwake na rohoni mwake najua kuna nini, just like ilivyo kwa wanaCCM wengine.
 
Nimependa katuni hii kuhusu Shivji

editorial-cartoon-aprl5-2014.jpg
 
Kikwete? Kikwete ndiyo aliiuwa Tanganyika?
Kikwete ndiye aliyewawezesha mpaka leo mnaweza hata kunyanyua midomo mkasema.
Nioneshe ni wapi uliweza kuyasema haya ya muungano kabla ya Kikwete? mawe!

Eti Shivji kakushangaza kwa kusema? "msingi wa muungano ni kugawana madaraka", sasa wewe ulitaka uhodhi madaraka yote wewe? halafu iweje? uwe una colony lako linaitwa Unguja na Pemba?

2.Warioba kaleta maoni kwa aliyosikia kwa wananchi, hao wananchi ndio wanataka Serikali tatu, au sio? Jee, yeye kama Warioba anataka Serikali ngapi? Nyerere alitaka Serikali ngapi? Warioba leo hii yuko tayari kuziacha fikra za Nyerere? au wewe jee?

Ukipenda usipende, ukisema usiseme, unapoidai tu Tanganyika, hapo unaungana na mimi kuwa zife fikra za Nyerere.

3. Na mimi natamani sana iwepo Tanganyika na iwepo Zanzibar na uwe Muungano wa maridhiano na si Muungano wa madaraka upande mmoja. Leo mpaka Rais wa Zanzibar lazima akubaliwe Dodoma? sasa hapo kuna heri hapo?

4.Nawaunga mkono Uamsho na Cuf kama kweli walikuwa wanazididimiza fikra za Nyerere wazi wazi, matokeo?
leo CUF wana ongoza na Zanzibar pia. Na wapo ndani ya utawala na si outsiders tena na watahakikisha Zanzibar inakuwa huru kiukamilifu wake, kama 80% tayari, bado mambo madogo madogo tu ya ku iron out.

5. Jussa kelele zake si umeona kapewa Ubunge na sasa yumo mjengoni,, Mtahaha sana,\
Kikwete kiboko, mmemeza chambo, ndoano, chubwi na mshipi wake.
Anajuwa alifanyalo. Sasa mtadai nyinyi Uhuru kwa Zanzibar, bila ya wao Tanganyika mtaitowa wapi?

6. Nakuuliza hivi, bila kwenda kuwalamba miguu akina Jussa na Kificho, utaipata Tanganyika? calculations hazikubali. Hata useme uuvunje Muungano bila ya kumlamba miguu Jussa utauvunjaje?

Turufu sasa hivi ni Jussa. Kama ulikuwa hujui kupiga hesabu sasa utaijuwa.
Si unawaona chadema? wameliona hilo, si walisema CUF ni CCM "B" leo kiko wapi? wanawalamba miguu haohao CCM "B" wawe nao pamoja, wakitegemea kura za Zanzibar ndio zenye turufu na nani wa-kuweza kuwapatia walitakalo? ni akina Jussa tu, hakuna ujanja
Bibie tuliza maruhani, waungwana wakijadiliana huelezana, ndvyo adabu ya mnakasha ilivyo.
Kufoka hakujengi hoja ni silaha dhaifu na nyepesi kwa maaluni. Hebu tuendelee kwa ustaraabu, eh binti Fox

1. Kikwete hakuiua Tanganyika, anazuia kuzinduka Tanganyika.
Rais wa serikali inayoghushi nyaraka ya mkataba inafikirisha.Ni jambo la historia.

Kwani hukumsikiaa bungeni alipokwenda kuwasuta wazee wenzake kwa vibwebwe. Ndio uungwana ule?
Kuzungumza ni haki yangu kutoka kwa mungu na katiba.

Sikuweza kuzungumza huko nyuma kwasababu wakti ulikuwa bado. Hata hivyo muungano kauongelea Jumbe, Shelukindo, Nyalali, Amina, Kisanga na Wariba kabla na baada ya tume.

2. Kama Warioba iwe anataka serikali 1, 10,100 ni yeye. Alichookifanya ni kile alichotumwa na Kikwete. Kaleta maoni ya watu, na watu wanasema muda umefika, kila mtu abebe mzigo wake.
Tutakapokubaliana kwa mambo 7 tu hewala.Kosa la Warioba ni lipi,

3. Ahsante kama unatamani Tanganyika, ndivyo wengi walivyomwambia Warioba.
Tumia nafasi yako kumweleza Kikwete kuwa wewe, kama wale wengi wanataka Tanganyika yao.

Muungano siyo madaraka ni majukumu, waambie wznz muungano hauji kwa maneno ni kuwajibika.
Habari ya kudai madaraka bila kujua gharama zake mwisho Chumbe.

Madaraka yanagharama hakuna babu au mjomba wa kulipia watu gharama.
Muda huo umekwisha. Muungano wa dunia ya leo ni uchumi , si mipasho au mbeleko.

4. CUF na Uamsho hutumia haki yao kushinda katika mikutano ya kumtukana Nyerere.
Jioni wanarudi mwakwao dhiki ikiwa pale pale.
Wakulima wanaamka na jembe bila chai na wavuvi wanategemea pepo za kusi. Nyerere kapunzika.

Kwa kutumia mikutano bila tija leo wapo wanaosema serikali 2 na wengine 3, na mkataba.
Hakuna anayejua anataka nini.

5. Kama kuna kiongozi anataka kupata legacy ya unafiki nani wa kumzuia? Historia haiandikwi inajiandika.

Kuwalamba miguu wznz sijui kama kuna ukweli. Kificho kaja Dodoma na waraka wa serikali 3, kaitwa kikaoni sasa hivi ni serikali 2.

Jusa alisema hawakubali lolote isipokuwa mkataba. Mkataba haupo katika fikra, kaamua kuandika kanuni za kuunda muungano wa Tanganyika. Ni wa Tanganyika kwasababu hiyo Tanzania wana jina.

Endapo wana karata ya mwisho basi ni vema, mwisho wa siku tutajua mwenye karata nani.

Unaposema Rais wa znz anachaguliwa Dodoma ni kweli kwasababu akiwa njiani kurejea znz anapitia hazina kuchukua cheki yake.

Sasa ulitaka achaguliwe Unguja halafu aje kuchukua cheki, nani angemjua.
Hivi hapo nani analamba mwenzake miguu?

Haya bibie wasalimie hapo Kariakoo waambie mimi bukheri nikipata wasaa nitawajulia hali.

Nijaalie.
 
Unaweza kuwa msomi na gwiji la werevu lakini chembe za umbumbu,utahira na ubwanyenye zikazidi maarifa yako katika mambo madogo yasiyohitaji elimu ya darasani.
 
Unataka kutuambia kwamba njia pekee ya kuizindua Tanganyika ni kupitia CCM kusalimu amri kwa kina Jussa? Amekudanganya nani? Sio katika kipindi hiki. Safari hii, Kuzinduka kwa Tanganyika hakutatokana CCM kusalimu amri kwa kina Jussa bali CCM kusalimu amri kwa watanganyika. Mark my words.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Hamna ujanja huo. Mkitaka mtawalamba miguu akina Jussa, hamkutaka mtawalamba miguu akina Jussa.

Si ndio hao hao waliitwa CCM B, vipi leo wako mstari wa mbele na wanaenziwa na chadema, leo ni wazuri? au ni baniani mbaya kiatu chake dawa?
 
Zanzibar ipewe vyote inavyohitaji lakini sio kuwa nchi kamili ya kumiliki vyombo vyake vya ulinzi na usalama...suala la usalama wa visiwani libaki kuwa ni ni jukumu la Muungano, full stop!
 
Kwanini Issa Shivji atupiwe mawe wakati anachokifanya ni sawa na wanaCCM wengine kweye bunge la katiba? Unajua ni kwanini wanataka kura ya wazi na sio kura ya siri?

Sababu ni kuwa moyoni na akilini wanajua kabisa serikali mbili ni mkenge. Lakini mdomoni na usoni wanataka kuonyesha kuwa ni waumini wa serikali mbili.

Kwa mtu anayejua serikali yetu, kwa mtu kama Shivji ni bora kusema hivyo. Naunga mkono style ya kusema kwake kwa mazingira yaliyopo. Lakini akini mwake na rohoni mwake najua kuna nini, just like ilivyo kwa wanaCCM wengine.

Unamaanisha kwamba Shivji anaogopa kung'olewa meno na kucha bila ganzi hadi amekubali kulamba matapishi yake? Hebu tufumbulie hili fumbo zaidi.
 
Huu mkorogano wa mungano unazidi kushika kasi kila uchao:

Jumuiya ya Wazanzibari Waishio Tanganyika imekuja juu ikipinga vikali mikakati ya kuwabagua inayolenga kuwatisha ili kuwarudisha nyuma wasiendelee kudai mamlaka kamili ya Zanzibar pamoja na Muungano wa haki na wenye maslahi kwa pande zote mbili.

Mikakati hiyo inadaiwa kufanywa na watu wa kubuni wanaojiita Umoja wa Wapemba Waishio Tanzania Bara (Neppelta) kwa kutumia hotuba ya Rais Jakaya Kikwete, aliyoitoa wakati akizindua Bunge Maalumu la Katiba, Machi 21, mwaka huu.

Tamko la jumuiya hiyo lilitolewa na Mwenyekiti wake, Abdallah Mohammed Kassim, marufu kama "Dullah", jijini Dar es Salaam juzi.

Alisema kauli ya watu hao, ambayo ilinukuliwa na baadhi ya vyombo vya habari hivi karibuni, imeonyesha ubaguzi wa dhahiri dhidi ya Wazanzibari, ambao kiasili ni wamoja licha ya kutenganishwa na bahari.

Abdallah alisema hawakubaliani na kauli ya watu hao iliyosisitiza kuwa wao ni "Wapemba" kwa kuwa Zanzibar ni moja na maslahi yake ni ya wote.

"Kitendo cha kusisitiza kuwa Muungano ukivunjika watakaopata hasara ni Wapemba ni ubaguzi kwani Wapemba ni Wazanzibar hivyo kuwabagua ni kujenga chuki miongoni mwa raia wa visiwa hivyo viwili ambao ni wananchi wa nchi moja," alisema Abdallah.

Alisema Muungano uliopo ni wa nchi mbili, ambazo ni Tanganyika na Zanzibar na kwamba, Zanzibar ni visiwa vya Unguja na Pemba, hivyo kuendelea kuwabagua Wapemba kwa maneno na vitendo ni kutowatendea haki.

Abdallah alisema uamuzi wa Wazanzibari kuishi na kufanya kazi Tanganyika ni haki yao ya msingi, hivyo kuwajengea hofu ni kuwanyima haki hiyo na kuwafanya waishi kwa mashaka makubwa, kitu ambacho alisema siyo kizuri kwa raia.

"Jumuiya ya Wazanzibari tunaoishi Tanganyika tunauliza kauli iliyotolewa na bwana Shehe Haji Faki ambaye alijitambulisha kama Mwenyekiti wa Wapemba waishio Bara kwa kusema idadi ya Wapemba waishio Bara imeongezeka hadi kufikia zaidi ya watu 800,000 mwaka 2012 na mtaji wa trilioni 1.2, takwimu hizi amezipata wapi?" alihoji Abdallah.

Alisema uhusiano na mwingiliano baina ya Wazanzibari na Watanganyika vilikuwapo kabla ya Muungano wa mwaka 1964.

Hivyo, akasema kuishi katika nchi yoyote duniani hakutegemei Muungano, kwani wapo Watanzania wanaishi nchi mbalimbali duniani bila ubaguzi na hata Tanzania wapo raia wengi wa kigeni wanaoishi licha ya kuwa nchi hizo hawajaungana nazo.

"Wazanzibari waliopo Tanganyika na kumiliki ardhi na mali isiwe sababu ya kuwatisha na kuwajengea hofu ya kudai maslahi ya nchi yao, kwani utaifa wa mtu hauwezi kutupwa kwa sababu ya kumiliki ardhi, mali, kuoa au kuolewa," alisema Abdallah.

Alisema umoja uliopo miongoni mwa Watanzania unakumbusha kuwa wanaofaidika na Muungano siyo Wazanzibari pekee, kwani faida hizo zipo kwa raia wa pande zote mbili za Muungano.

CHANZO: NIPASHE
 
Bibie tuliza maruhani, waungwana wakijadiliana huelezana, ndvyo adabu ya mnakasha ilivyo.
Kufoka hakujengi hoja ni silaha dhaifu na nyepesi kwa maaluni. Hebu tuendelee kwa ustaraabu, eh binti Fox

1. Kikwete hakuiua Tanganyika, anazuia kuzinduka Tanganyika.
Rais wa serikali inayoghushi nyaraka ya mkataba inafikirisha.Ni jambo la historia.

Kwani hukumsikiaa bungeni alipokwenda kuwasuta wazee wenzake kwa vibwebwe. Ndio uungwana ule?
Kuzungumza ni haki yangu kutoka kwa mungu na katiba.

Sikuweza kuzungumza huko nyuma kwasababu wakti ulikuwa bado. Hata hivyo muungano kauongelea Jumbe, Shelukindo, Nyalali, Amina, Kisanga na Wariba kabla na baada ya tume.

2. Kama Warioba iwe anataka serikali 1, 10,100 ni yeye. Alichookifanya ni kile alichotumwa na Kikwete. Kaleta maoni ya watu, na watu wanasema muda umefika, kila mtu abebe mzigo wake.
Tutakapokubaliana kwa mambo 7 tu hewala.Kosa la Warioba ni lipi,

3. Ahsante kama unatamani Tanganyika, ndivyo wengi walivyomwambia Warioba.
Tumia nafasi yako kumweleza Kikwete kuwa wewe, kama wale wengi wanataka Tanganyika yao.

Muungano siyo madaraka ni majukumu, waambie wznz muungano hauji kwa maneno ni kuwajibika.
Habari ya kudai madaraka bila kujua gharama zake mwisho Chumbe.

Madaraka yanagharama hakuna babu au mjomba wa kulipia watu gharama.
Muda huo umekwisha. Muungano wa dunia ya leo ni uchumi , si mipasho au mbeleko.

4. CUF na Uamsho hutumia haki yao kushinda katika mikutano ya kumtukana Nyerere.
Jioni wanarudi mwakwao dhiki ikiwa pale pale.
Wakulima wanaamka na jembe bila chai na wavuvi wanategemea pepo za kusi. Nyerere kapunzika.

Kwa kutumia mikutano bila tija leo wapo wanaosema serikali 2 na wengine 3, na mkataba.
Hakuna anayejua anataka nini.

5. Kama kuna kiongozi anataka kupata legacy ya unafiki nani wa kumzuia? Historia haiandikwi inajiandika.

Kuwalamba miguu wznz sijui kama kuna ukweli. Kificho kaja Dodoma na waraka wa serikali 3, kaitwa kikaoni sasa hivi ni serikali 2.

Jusa alisema hawakubali lolote isipokuwa mkataba. Mkataba haupo katika fikra, kaamua kuandika kanuni za kuunda muungano wa Tanganyika. Ni wa Tanganyika kwasababu hiyo Tanzania wana jina.

Endapo wana karata ya mwisho basi ni vema, mwisho wa siku tutajua mwenye karata nani.

Unaposema Rais wa znz anachaguliwa Dodoma ni kweli kwasababu akiwa njiani kurejea znz anapitia hazina kuchukua cheki yake.

Sasa ulitaka achaguliwe Unguja halafu aje kuchukua cheki, nani angemjua.
Hivi hapo nani analamba mwenzake miguu?

Haya bibie wasalimie hapo Kariakoo waambie mimi bukheri nikipata wasaa nitawajulia hali.

Nijaalie.

Wewe uliyeleta lugha ya kuelekea chooni ndiyo unajuwa maana ya mnakasha? na ukijibiwa kwa lugha yako ya chooni unakuja kueleza "ustaarabu" wa mjadala usio nao! huo ndiyo umaluuni wenye.

1) Nani aliyeiuwa Tanganyika?

2) Ni wapi Kikwete alisema Warioba amekosea? hotuba imejaa humu JF na mitandaoni nipe ushahidi, la sivyo itakuwa unatia maneno yako kinywani mwa Kikwete.

3)Tanganyika naitamani nje ya Muungano, kukiwa na Muungano basi amma Tanzania amma hakuna Muungano, kila mtu kivyake, na Kikwete karudia maneno ya Nyerere, huu muungano hauvunjiki yeye akiwa madarakani, mtasubiri aondoke.

Kikwete hana ujinga wa kugombana na Pengo.

4) Leo hao CUF ndiyo wanaofanya kuwe na UKAWA bungeni, Jee, leo baniani mbaya kiatu chake dawa? halafu cuf si wenzenu, wale wanaunda Serikali ya Zanzibar.

Ni wapi Nyerere alipotukanwa? watu kusema hawautaki muungano wa Nyerere na Karume, kwako imekuwa ni tusi? huo ni unafik na ufataani usio na mpaka.

5) Mfano Nyerere anataka legacy ya kulitumikia kanisa na si nchi.

Taking about legacy? jisomee: Kikwete receives Most Impactful Leader of Year award | 24 Tanzania News
 
Unajaribu kutuelekeza kule kwa akina CUF na Uamsho ambako kila asubuhi hushinda katika mikutano kumtukana Nyerere laanatulah. Wakimaliza hapo wanatoa idadi ya watu waliohudhuria mkutano baasi mambo safi.

Kimachotokea Dodoma ni ushahidi, kwasababu wale wale wznz wanaopinga muungano ndio wamefyata na kwa kura ya wazi kuisaidia CCM.Akina Jusa waliosoma kwa Nyerere na wasiotaka muungano ndio wanaandika kanuni.

Ukiwauliza hasa wanataka nini huwezi kupata majibu yanayolingana, kinachowaungnisha ni matusi dhidi ya Nyerere.

Kusimama na kusema Nyerere alifanya makosa hakuleti jibu la tatizo.
Ukweli wa kwamba CCM wanaficha mkataba unaeleza vema kuliko kutukana.

Kikwete anamkono wake kwa hili tena mkubwa tu.
Ameshindwa kusimamia dhamira yake akiongozwa na njia mbili.

Warioba kasema alichosikia kwa wananchi, historia itamhukumu kwa ukweli huo
Shivji, ah kanishangaza aliposema msingi wa muungano ni kugawana madaraka.
Akala matapishi ya maandiko yake.

Tunachosema ni kuwa Tanganyika itazinduka, hapo kila mtu atabeba mtoto wake.
Ni muhimu kuieleza Tanganyika kuliko kutumia akili na nguvu kumtukana Nyerere.
Hayupo na wala hatarudi na jibu.

Kumtukana ni kuridhisha nafsi kwa uongo, ni kuficha shati halafu uliibe mwenyewe.
CUF na Uamsho wanaweza, wengine hatujafika walipo na hatupendi kuelekea huko.
Si kila njia inaenda pema, nyingine zinaelekea porini au chooni.

yale maswali yako kwenye thread yangu yamenipotea ndugu.
 
........
Nikushukuru kwa maoni yako, hakika kupinga bila kupigana ndio uungwana.

Nina maswali machache naomba unisaidie.

Moja ya malalamiko ya wazanzibar ni kuwa Tanganyika(usioitaka) imejificha katika koti la muungano.
Wanataka kuwepo na mpaka kati ya mambo ya muungano na yasiyo ya muungano.

Katika hali hiyo tutafanyaje? Je, tuache status quo kwa kudharau malalamiko hayo au tuyafanyie kazi?
Kama ni kuyafanyia kazi, ni kwa njia zipi labda.

Pili, kwavile znz ina dola, je hiyo inamaanisha dola ya znz ni kubwa kuliko ile ya JMT?

Tatu, kwavile znz ina fiscal autonomy na hata kufanya mambo ya kumtenga Mtanganyika kwa kutumia haki hiyo, haki ya Mtanganyika kuwa na fiscal autonomy yake ipo wapi? Je, Mtanganyika hapaswi kuamua hatima yake na kama ni ndiyo ni kwa njia na utaratibu gani.

Nne, kwavile znz ina vyombo vyake vya kiuchumi, kuna uhalali gani wa Mtanganyika kulipia gharama za sehemu yenye dola yake?

Tano, hii dola ya Tanzania ni mali ya nani? Nani mshirika wa dola hiyo
 
Umebwabwaja sana sasa jiulize aliyeelekea chooni nani? Yule mwenye nchi au asie na nchi? Zanzibar wana yao, wewe yako ipi?

Kikwete? Kikwete ndiyo aliiuwa Tanganyika? wacha ufataani wewe. Kikwete ndiye aliyewawezesha mpaka leo mnaweza hata kunyanyua midomo mkasema. Nioneshe ni wapi uliweza kuyasema haya ya muungano kabla ya Kikwete? mawe!

Eti Shivji kakushangaza kwa kusema? "msingi wa muungano ni kugawana madaraka", sasa wewe ulitaka uhodhi madaraka yote wewe? halafu iweje? uwe una colony lako linaitwa Unguja na Pemba?

Warioba kaleta maoni kwa aliyosikia kwa wananchi, hao wananchi ndio wanataka Serikali tatu, au sio? Jee, yeye kama Warioba anataka Serikali ngapi? Nyerere alitaka Serikali ngapi? Warioba leo hii yuko tayari kuziacha fikra za Nyerere? au wewe jee?

Ukipenda usipende, ukisema usiseme, unapoidai tu Tanganyika, hapo unaungana na mimi kuwa zife fikra za Nyerere.

Na mimi natamani sana iwepo Tanganyika na iwepo Zanzibar na uwe Muungano wa maridhiano na si Muungano wa madaraka upande mmoja. Leo mpaka Rais wa Zanzibar lazima akubaliwe Dodoma? sasa hapo kuna heri hapo?

Nawaunga mkono Uamsho na Cuf kama kweli walikuwa wanazididimiza fikra za Nyerere wazi wazi, matokeo? leo CUF wana ongoza na Zanzibar pia. Na wapo ndani ya utawala na si outsiders tena na watahakikisha Zanzibar inakuwa huru kiukamilifu wake, kama 80% tayari, bado mambo madogo madogo tu ya ku iron out.

Jussa kelele zake si umeona kapewa Ubunge na sasa yumo mjengoni,, Mtahaha sana,\

Kikwete kiboko, mmemeza chambo, ndoano, chubwi na mshipi wake. Anajuwa alifanyalo. Sasa mtadai nyinyi Uhuru kwa Zanzibar, bila ya wao Tanganyika mtaitowa wapi?

Nakuuliza hivi, bila kwenda kuwalamba miguu akina Jussa na Kificho, utaipata Tanganyika? calculations hazikubali. Hata useme uuvunje Muungano bila ya kumlamba miguu Jussa utauvunjaje?

Turufu sasa hivi ni Jussa. Kama ulikuwa hujui kupiga hesabu sasa utaijuwa.

Si unawaona chadema? wameliona hilo, si walisema CUF ni CCM "B" leo kiko wapi? wanawalamba miguu haohao CCM "B" wawe nao pamoja, wakitegemea kura za Zanzibar ndio zenye turufu na nani wa-kuweza kuwapatia walitakalo? ni akina Jussa tu, hakuna ujanja.

Wewe halijakuingia tu hilo akilini? labda ufanye muujiza, ambao huna.

umeeleza maoni yako vyema. Lakini kulikuwa na umuhimu gani wakutumia lugha ya namna iyo??

Tujifunze kujibu hoja kwa hoja bila maneno yenye kuudhi ama kudhalilisha.

Niuungwana tu.
 
maswali haya yanahitaji majibu marefu sana ili kufanikisha kufikisha kwa usahihi mtazamo wangu juu ya haya, lakini nijaribu kwakifupi,

1. Niseme tu kua hatua ya kwanza katika tutafuta suluhisho la mgogoro flani nikujiuliza nini chanzo cha mgogoro wenyewe.

Sasa watu wa Zanzibar wanaposema Tanganyika imejificha ndani ya koti la muungano swala hapa sikujua tu malalamiko yao ni yapi,. Lakini hasa kutafuta kujua nini kilipelekea wao kuona kuwa Tanganyika imejificha ndani ya muungano?

Sasa, hoja hapa kuu ni hasa katika maswala ya mapato na matumizi ya serikali hizi na mgawanyo wa gharama zake.

Kitu ambacho tume ilithibitisha kua ukweli ulio wazi, kwani serikali ilipotakiwa kueleza gharama halisi inazo ingia kama Serikali ya muungano na zile inazo ingia kama serikali ya tz bara haikuwa na majibu ya swali hili, kitu ambacho kilipelekea wa Zanzibar kulalamika kwamba hata mapato ya JMT hayana mgawanyo wowote unaoelezeka.

sasa hii ni wazi kuna tatizo,

lakini, to be perfectly honest ninaomba kusema hapa kuwa haya yote yanatokea na malalamiko haya yote yameletekezwa na tabia ya KUTO KUIFUATA KATIBA YA JMT na Makubaliano yaliyopo katika hati ya muungano.

Kwakuwa, kama documents hizi zimeweka wazi mambo yaliyo ya muungano na Yale yasiyo ya muungano, maanayake gharama zinaingiwa panapokuwa na shughuli inayohusu mambo ya muungano ni wazi zinatakiwa kuangukia wapi.

Na pale panapokua na gharama zinazo ihusu Tanzania mainland pekee kulingana na nyaraka hizo kuu mbili ni wazi gharama hizo zinalipwa na nani. Vile vile upande wa mapato.

lakini tumefikishwa hapa tulipo kwasababu ya Serikali iliyoshindwa kusimamia concepts zilizopo kwenye nyaraka zile. Kwahiyo unapata raisi anapokwenda UN anakwenda kuwakilisha JMT kwamaana ya both Tanzania bara na Tanzania Zanzibar lakini utapata gaharama hizo bado hazija wekwa sawa sawa kwamaana ya accountability.

Lakini haya mambo yako wazi., kama yaliwekwa wazi maswala ya muungano kuwa ishirini na mbili kwanini iwe tatizo kujua yapi ni muungano yapi ni ya bara au vinginevyo?

Tatizo silingine tatizo limekua USIMAMIZI wa haya yaliyopo kwenye katiba na nyaraka za muungano kwakua zimeeleza mambo ya muungano wazi.

Sasa hili litaendelea kuwa tatizo sikuzote hata zikiwekwa serikali tatu. Lazima katiba ilindwe!
so hiyo nikujibu maswala ya Tanganyika na koti la muungano pamoja na swali la nani wakulipa gharama.

So in my opinion matatizo hayo yanaweza kurekebishwa ndani ya mfumo huu huu tulio nao. Kwakua hataivo yako hapo tu kwasababu hayakuwekwa tu vizuri, lakini Yana weza kurekebishwa na nchi ikabaki na umoja wake.

Lakini kuhusu Tanzania ni nchi ya nani kwakweli sijui swali hili linalenga nini hasa kwakua ni wazi hata sasa hivi nnchi inayo fahamika nje ya mipaka hii ni Tanzania na ni nchi yangu mimi na wewe,. Sisi ni wazalendo wa Tanzania.

Lakini nimesema Nataka katiba yetu iseme wazi pia kuwa Tanzania ni Nchi MOJA iliyo undwa kwa muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Ili maswali ya je, Tanganyika ni nchi au sio yafike mwisho.

Tuwe na nchi MOJA! Ya watu wa moja.
 
umeeleza maoni yako vyema. Lakini kulikuwa na umuhimu gani wakutumia lugha ya namna iyo??

Tujifunze kujibu hoja kwa hoja bila maneno yenye kuudhi ama kudhalilisha.

Niuungwana tu.

Kaisome post niliyoijibu, utajuwa kwanini nimetumia lugha hiyo. Ilmu yangu hairuhusu nikipigwa la kushoto nitoe na la kulia.
 
Mtaipataje Tanganyika bila kupinga hadharani fikra za Nyerere aliyeiuwa? Inatakiwa kwa dhati kabisa mseme wazi kuwa Nyerere alifanya makosa kuiuwa Tanganyika, hapo mtaeleweka, bila hivyo? itatumika fimbo ya Nyerere na fikra za Nyerere na nyinyi hamuwezi kuukubali ukweli kuwa alikosea. Sijui unafaham? Leo mnatafuta pakutokea, kila ataekuja na lake mtalitafutia sababu, mara oohh Shivji hivi, mara Oooh Warioba vile, mara Oooh Kikwete vile. Amkeni na mseme tu Nyerere alifanya makosa makubwa sana kuiuwa Tanganyika, mbona hapo mnapata kigugumizi? Na bila kukataa fikra za Nyerere kuhusu huu Muungano mtatafuta sana scapegoat. Sasa mnailaumu Zanzibar ndiyo inawanyima Tanganyika yenu? mimi naona Wazanzibari wanawasaidia sana kwenye hii cause yenu ya kuitafuta Tanganyika lakini nyinyi ndio msiojijuwa muanzie wapi. Upo hapo ulipo? Anzeni kwa kuzipinga fikra za Nyerere kuhusu huu muungano, hiyo ndio shortcut pekee ya kupazia malalamiko yenu. Ukipenda usipende hilo halikwepeki.
Una chuki sana na Nyerere wewe ajuza.......km NA HAPA MNATAKA MTUPIA MZIGO NYERERE NDIE ALIYEFANYA HAYA MWENYEWE, BASI UTAHITAJI KUPANDA UKUTA MREFU SANA ILI UKATAE KUWA NA UHURU SI YEYE MWENYEWE KAULETA.....HII NDIO SHIDA YA UDINI WENU NA KURUKIA KILA KITU KIDINI MKIDHANI MNAPAISHA DINI.wehu wenzio walikimbilia idea ya Big Bang ili kuthibitisha dini yao inakwenda na sayansi, hadi walipoambiwa wadrop basi nortion ya CREATION.
 
Njoo msikilize mbunge wenu anasemaje:

[h=1]Topic: Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu![/h]
 
Ukifuatilia bunge la katiba utagundua hakuna mtu anaetajwa na wajumbe kama Issa Shivji...wanatumia vitabu vyake wanamshambulia wanamtuhumu wanamsifia najiuliza tu why wasimuite akazungumza nao na wakamueleewa? Hakuna kanuni inayoruhusu hilo?
 
Back
Top Bottom