Mhadhiri mwandamizi mmoja aliwahi kunambia Enzi za UDASA ya akina Prof. Baregu, Prof. Ndulu, Prof. Chachage (RIP), Prof. Lwaitama na Hata Prof. Muhongo nyeusi ilikuwa nyeusi na nyeupe ilikuwa nyeupe. Lahaula, Kati ya hawa, wawili ambao Ni Ndulu na Muhongo wapo serikalini na wanageuza nyeusi kuwa nyeupe. Je, tutegemee UDASA active kama hizi zisifiwazo? Kwa mfano Ile ya Dr. Nyaoro na Kibogoya angalau tuliona uhai wa UDASA, Kwa hii ya mwenyekiti mtafuta madaraka na anaeendeshwa na matakwa ya UVCCM Lumumba Dr. Francis Michael aka KASABUVU tutegemee nini?
Prof. Shivji watusikitisha ALUMNAE wa UDSM Na wafuasi wa falsafa na machapisho yako.