Shivji: Mimi ni muumini serikali mbili

Shivji: Mimi ni muumini serikali mbili

Kuna Vitoto vya BAVICHA havijawahi hata kuandika Handout ya page mbili, leo vinathubutu kuchallenge Elimu ya Shivji Raia wa Kwanza na Pekee Mwenye PHD Tatu za Kusoma ( Sio za kupewa),

Mwandishi wa Vitabu 'Text Book' zaid ya 24 vinavotumika kwenye Library ya Vyuo mbalimbali ndani na nje ya Nchi tena Vingine vimetumika kusomesha hao wanaomtukana leo. Ni huyu Professa aliekataa kwenda kuonana na President George W Bush alipoalika Wajuvi na Wajuzi bingwa wa Sheria Ulimwenguni wapatao 52 Mwaka 2004.

Kigezo Pekee mnachotumia kumdhalilisha ni kwenda kinyume na Maoni ya Serikali 3 kwa kigezo eti ni Msimamo wa Wengi. Kwa Taarifa yenu Msomi yoyote Duniani ukimkuta anaogopa kusema anachokiamini kwa kigezo eti sio msimamo wa wengi jua huyo ni kundi moja na yule Dkt alieandika kitabu kimoja tu cha Maisha ya Dkt Slaa tangu hapo hajawahi kuandika kitabu au kuhariri kitabu chochote cha kitaaluma katika maisha yake yote ya Kielimu.

yeye sio mjuvi na bingwa nd'o mana hakualikwa& hakwenda
 
mods hili bandiko langu heading na contents havifanani na hili bandiko mliloiunganisha?! mbona mimi mabandiko yangu hayapewi nafac ama haki ya kucmama ili yasomwe? nacktka sana ila cna namna ila kukaa kimya.
 
Gazeti la Nipashe linamnukuu Shivji akisema kuwa yeye ni muumini wa Muungano wa serikali 2; lakini hiyo quote ya 2005 anasema serikali 2 zitauuwa Muungano!

Hivyo tafakur jadidi yake hataki muungano...™
 
Back
Top Bottom