Nimemsikiliza Mama Fatma Karume, kwa maoni yangu, huyu mama needs to be guided!, kuna vitu amezungumza ni urongo, mfano sababu za muungano, na ile hoja ya kabla ya Muungano ati Wanzanzibari walikuwa consulted, wakaulizwa na kukubali!, na mwandishi akaishia hapo as if huo ndio ukweli wenyewe!.
Kiukweli ili mtu kuwa ni mwandishi mzuri, wewe mwandishi mwenyewe you need to be very much informed!, ili ikitokea ukadanganywa una hoji zaidi!, ningekuwa mimi huku naelewa Wanzanzibar were not consulted, Karume aliufanya siri, akampa likizo ya lazima Mwanasheria wake Mkuu wa wakati huo, Wolfgang Dourado, Mama aliposema Wanzibari walikuwa consulted, angeuliza how?!.
Nakumbuka ni Mama Karume huyu huyu andie aliyetoa siri ya Karume na wanae kuyamkimbia Mapinduzi, kwa kutoroka usiku usiku kwa mitumbwi na kuvukia Bagamoyo, kwenye kipindi kile akidai ati Karume hakuyakimbia Mapinduzi, bali alikuwa akiwawahisha wanae Amani na Ali shule walikuwa wakisoma nchini Malawi!.
She just needs to be guided mini cha kusema na mini cha kuacha!.
Pasco