Ukifuatilia bunge la katiba utagundua hakuna mtu anaetajwa na wajumbe kama Issa Shivji...wanatumia vitabu vyake wanamshambulia wanamtuhumu wanamsifia najiuliza tu why wasimuite akazungumza nao na wakamueleewa? Hakuna kanuni inayoruhusu hilo?
Kuna mtu anaitwa Chabruma ni mjumbe wa jf anaehudhuria vikao vya bunge mjengoni, huenda akatusaidia kufikisha wazo hili kwa mwenyekiti 6 kisha tukapata majibu ya uhakika.
Chabruma pita hapa tafadhali ni muhimu sana.
Last edited by a moderator: