Shivji: Mimi ni muumini serikali mbili

Shivji: Mimi ni muumini serikali mbili

shivji.jpg
 
huyu profesa anadhalilisha usomi wake kwa kuendekeza njaa uchwara.
 
"Kati ya mapungufu ya Mwalimu Nyerere, moja wapo ni lile la kulazimisha muundo wa Muungano wa Serikali Mbili".

Issa Shivji (2005) Let the People Speak: Tanzania Down the Road to Liberalism.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
prof shivji ameamua kugeuka umbwa--amekula matapishi yake mwenyewe! nimeamini kweli njaa mbaya sana.
 
Mimi nadhani ametishwa kwani haiwezekani Shvji afanye hivyo; tukumbuke kwamba ni Shivji ndiye aliyechochea vuguvugu la zanzibar kudai mamlaka kamili, na hata jaji warioba kajadili hilo majuzi. Pia katiba ya znz ya 2010 inayovunja sio tu katiba ya jamhuri bali pia muungano wenyewe, inasemekana katiba hiyo ina mkono wa shivji katika kuiandaa.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mimi nadhani ametishwa kwani haiwezekani Shvji afanye hivyo; tukumbuke kwamba ni Shivji ndiye aliyechochea vuguvugu la zanzibar kudai mamlaka kamili, na hata jaji warioba kajadili hilo majuzi. Pia katiba ya znz ya 2010 inayovunja sio tu katiba ya jamhuri bali pia muungano wenyewe, inasemekana katiba hiyo ina mkono wa shivji katika kuiandaa.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Sijwahi kuona mtu anakuwa publicly humiliated kama inavyotekea kwa Prof Shivji! tragedy!
 
mkuu, hakuna mtu aliyemuaibisha bali amejiaibisha mwenyewe kwa kuendekeza njaa uchwara.
 
Issa Shivji: Let The People Speak: Tanzania Down The Road to Liberalism (2005), page 119, Paragraph 2:

Frankly, the failure to acknowledge that the TWO GOVERNMENT structure is unworkable is, in my opinion, the biggest blind spot in Mwalimu's vision of unity. I need not belabour the point for it has been debated and has been shown in practice to be unworkable. In fact, to continue to insist on it is the surest way of breaking the union.
FJM, tpaul, Mag3, JokaKuu, Mwigulu Nchemba, Nape Nnauye, MwanaDiwani, zomba, Ritz, ZeMarcopolo, Gamba la Nyoka, Mtanganyika Nguruvi3, Mzee Mwanakijiji, Pasco, Kitila Mkumbo, EMT, MTAZAMO, Dr.W slaa, Kobello Jasusi, zumbemkuu, Mimibaba, Zakumi, Invisible, mnyepe, Yericko Nyerere, FaizaFoxy, Dingswayo, Makusudically, Tumaini Makene, Nicholas

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Issa Shivji: Let The People Speak: Tanzania Down The Road to Liberalism (2005), page 119, Paragraph 2:

FJM, tpaul, Mag3, JokaKuu, Mwigulu Nchemba, Nape Nnauye, MwanaDiwani, zomba, Ritz, ZeMarcopolo, Gamba la Nyoka, Mtanganyika Nguruvi3, Mzee Mwanakijiji, Pasco, Kitila Mkumbo, EMT, MTAZAMO, Dr.W slaa, Kobello Jasusi, zumbemkuu, Mimibaba, Zakumi, Invisible, mnyepe, Yericko Nyerere, FaizaFoxy

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Gazeti la Nipashe linamnukuu Shivji akisema kuwa yeye ni muumini wa Muungano wa serikali 2; lakini hiyo quote ya 2005 anasema serikali 2 zitauuwa Muungano!
 
Last edited by a moderator:
Issa Shivji: Let The People Speak: Tanzania Down The Road to Liberalism (2005), page 119, Paragraph 2:

Unikumbusha Prof. Antonio Cassese (RIP) wa Chuo Kikuu cha Oxford alivyokuwa ana-change views zake kuhusiana na legality of intervention nafikiri in Kosovo or Iraq.

Article ya kwanza akasema sijui the intervention was illegal, the second article akabadilisha na kua-argue it was legal, the third article akapiga u-turn na kurudi kwenye argument yake ya kwanza. These articles were published ndani ya miezi kama miwili hivi. It was very confusing to read his articles.
 
Issa Shivji: Let The People Speak: Tanzania Down The Road to Liberalism (2005), page 119, Paragraph 2:

FJM, tpaul, Mag3, JokaKuu, Mwigulu Nchemba, Nape Nnauye, MwanaDiwani, zomba, Ritz, ZeMarcopolo, Gamba la Nyoka, Mtanganyika Nguruvi3, Mzee Mwanakijiji, Pasco, Kitila Mkumbo, EMT, MTAZAMO, Dr.W slaa, Kobello Jasusi, zumbemkuu, Mimibaba, Zakumi, Invisible, mnyepe, Yericko Nyerere, FaizaFoxy, Dingswayo, Makusudically, Tumaini Makene, Nicholas

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

"It is best therefore to shift the discussion to the complexity of power sharing structure rather than reduce the question to the number of governments" - Issa Shivji: Let The People Speak: Tanzania Down The Road to Liberalism (2006), page 121, Paragraph 2
 
Unikumbusha Prof. Antonio Cassese (RIP) wa Chuo Kikuu cha Oxford alivyokuwa ana-change views zake kuhusiana na legality of intervention nafikiri in Kosovo or Iraq.

Article ya kwanza akasema sijui the intervention was illegal, the second article akabadilisha na kua-argue it was legal, the third article akapiga u-turn na kurudi kwenye argument yake ya kwanza. These articles were published ndani ya miezi kama miwili hivi. It was very confusing to read his articles.

Et tu?

Re: page 121 paragraph 2 of the same chapter cited by Mchambuzi above
 
Sio haramu. Aseme tu wazi kwamba kabadili msimamo kuliko kukataa na kuishia kuumbuliwa na wanafunzi wake. Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

"That brings us to the so-called three government formula. Let me sound a word of caution here. Used simplistically as a formula, this notion contains the problem of generating wrong signals as if three governments in themselves mean more democracy and power to the people. Playing with numbers-one,two,or three governments-trivializes the complexity of the issue and unnecessarily divides peopple, creating irrational loyalties to numbers, so to speak" - Issa Shivji: Let The People Speak: Tanzania Down The Road to Liberalism (2006), page 120, Paragraph 5
 
Unikumbusha Prof. Antonio Cassese (RIP) wa Chuo Kikuu cha Oxford alivyokuwa ana-change views zake kuhusiana na legality of intervention nafikiri in Kosovo or Iraq.

Article ya kwanza akasema sijui the intervention was illegal, the second article akabadilisha na kua-argue it was legal, the third article akapiga u-turn na kurudi kwenye argument yake ya kwanza. These articles were published ndani ya miezi kama miwili hivi. It was very confusing to read his articles.

Suala sio kwanini ame change ila issue ni yeye kukana kua hajawahi pendekeza serikali 3
 
Issa Shivji: Let The People Speak: Tanzania Down The Road to Liberalism (2005), page 119, Paragraph 2:
FJM, tpaul, Mag3, JokaKuu, Mwigulu Nchemba, Nape Nnauye, MwanaDiwani, zomba, Ritz, ZeMarcopolo, Gamba la Nyoka, Mtanganyika Nguruvi3, Mzee Mwanakijiji, Pasco, Kitila Mkumbo, EMT, MTAZAMO, Dr.W slaa, Kobello Jasusi, zumbemkuu, Mimibaba, Zakumi, Invisible, mnyepe, Yericko Nyerere, FaizaFoxy, Dingswayo, Makusudically, Tumaini Makene, Nicholas

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Mkuu Mchambuzi, hapa umemaliza kila kitu!. I'm just speechless!.
Kwa sasa natatizwa zaidi na "the motive behind!", bado nashindwa kabisa kuamini!.
Pasco
 
Back
Top Bottom