mwekwa ntandu
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 944
- 2,191
"Political tactics" muda si mrefu ataibuka muheshimiwa sana wa kyato na kulaani hiyo tozo kisha "wanyongwe" wote watashangilia na kumuona kama nabii Suleiman
Bila kuwakwepa huwezi ponaNi hatari sana ndio maana wanajisifia tuna hela nyingi yaani niliangalia bidhaa moja tuu inayouzwa Lundo la Kodi iliyopo watu kufanikiwa ni ngumu sana labda kwa wakwepaji...
Afu watu wakienda black market inageuka ishuuuNchi hii wafanya biashara wanaminywa sana, kila Leo wanaongezewa tozo yani kiosk kimoja, kinalipa Kodi karibu kumi na bado wanaendelea kubuni zingine.
Mimi nauza vinywaji kama soda na bia, hiyo nembo ya tbl, inanihusu nini??Si tozo kubwa nadhani itakuwa kwa ajili ya nembo ya kuonyesha bidhaa zimethibitishwa na TBS.
Na pia nembo itaonyesha kwenye eneo la biashara.
Sidhani kama tozo itakuwa kubwa.
Mimi nauza vinywaji kama soda na bia, hiyo nembo ya tbl, inanihusu nini??
Nchi haina pesa
Bidhaa tayari zina nembo husika na malipo yameshafanywa na mzalishaji wa hiyo bidhaa.Inakuhusu kwani yakuonyesha kwamba bidhaa zako unazoziuza hajichakachuliwa na ni salaam kwa matumizi ya binadamu.
Itabidi ujitahidi kuzoea tu maana hakuna namna.
Bidhaa tayari zina nembo husika na malipo yameshafanywa na mzalishaji wa hiyo bidhaa.
Kwa nini nilipie nembo ambayo ipo kwenye bidhaa ambayo mimi sio mzalishaji?
Wakachukue hayo malipo huko kwenye maviwanda panapozalishwa bidhaa na sio dukani kwa mangi.Nadhani TBS wanapaswa kujitokeza kutoa ufafanuzi juuya tanganzo lao hili, maana hakuna mahala lasema kuhusu tozo.
Tangazo lahusu kusajiliwa kwa wafanya biashara na kupewa vibali kwa maeneo yao ya biashara.
ila bado watakuja was.e.n.g.e watasema kidumu! yani kuna miwatu kama ilidondokea kichwa utotoni
Kupata Kibali hawawezi kutoa bure hata siku moja.Nadhani TBS wanapaswa kujitokeza kutoa ufafanuzi juuya tanganzo lao hili, maana hakuna mahala lasema kuhusu tozo.
Tangazo lahusu kusajiliwa kwa wafanya biashara na kupewa vibali kwa maeneo yao ya biashara.