Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeagiza majengo ya baa, kantini, mihagawa, maduka makubwa, hoteli na maduka ya vipodozi visajiliwe na walipe tozo

"Political tactics" muda si mrefu ataibuka muheshimiwa sana wa kyato na kulaani hiyo tozo kisha "wanyongwe" wote watashangilia na kumuona kama nabii Suleiman
 
Covid 19 impact hali ya uchumi sio shwari bado yatakuja mengi Ma mc pigeni jalamba ,mwenye nyumba za kupanga jipangeni jamaa wanakuja Ila mwisho
Mlaji anaumia
 
Mimi nauza vinywaji kama soda na bia, hiyo nembo ya tbl, inanihusu nini??

Inakuhusu kwani yakuonyesha kwamba bidhaa zako unazoziuza hajichakachuliwa na ni salaam kwa matumizi ya binadamu.

Itabidi ujitahidi kuzoea tu maana hakuna namna.
 
Inakuhusu kwani yakuonyesha kwamba bidhaa zako unazoziuza hajichakachuliwa na ni salaam kwa matumizi ya binadamu.

Itabidi ujitahidi kuzoea tu maana hakuna namna.
Bidhaa tayari zina nembo husika na malipo yameshafanywa na mzalishaji wa hiyo bidhaa.
Kwa nini nilipie nembo ambayo ipo kwenye bidhaa ambayo mimi sio mzalishaji?
 
Bidhaa tayari zina nembo husika na malipo yameshafanywa na mzalishaji wa hiyo bidhaa.
Kwa nini nilipie nembo ambayo ipo kwenye bidhaa ambayo mimi sio mzalishaji?

Nadhani TBS wanapaswa kujitokeza kutoa ufafanuzi juu ya tangazo lao hili, maana hakuna mahala lasema kuhusu tozo.

Tangazo lahusu kusajiliwa kwa wafanya biashara na kupewa vibali kwa maeneo yao ya biashara.
 
Nadhani TBS wanapaswa kujitokeza kutoa ufafanuzi juuya tanganzo lao hili, maana hakuna mahala lasema kuhusu tozo.

Tangazo lahusu kusajiliwa kwa wafanya biashara na kupewa vibali kwa maeneo yao ya biashara.
Kupata Kibali hawawezi kutoa bure hata siku moja.

Mlolongo uliokataliwa TFDA unarudishwa kwa mgongo wa nyuma hii nchi ina laana hii.
 
Back
Top Bottom