Simbamwene
JF-Expert Member
- Jun 22, 2008
- 286
- 59
Shirika la kuuza mazao nje ya nchi - GAPEX
TBL hata kuuza bia tuliona hatuwezi?
You sure want me to cry Natalia!tena mkate ulikuwa bomba ule!Mkate wa SIHA hata sijui jina la kampuni
You sure want me to cry Natalia!tena mkate ulikuwa bomba ule!
Wana bodi najua wengi wenu mnakumbuka baadhi ya mashirika yalifilisiwa na mengine kubinafisishwa kwa bei ya chee!mfano NBC namengineyo mengi!ila mimi nakumbuka mashirka kama NASACO,TANGANYIKA PAKERS,TACOSHIL;MANG'ULA,FAIBERBOARD,GENERAL TYRE,na mengineyo!mimi lina niuma GENERAL TYRE je wewe?
tena yanakufa tukiyaona hivi hivi!ATC,TRC,TANESCO, haya yanakufa ktk mikono ya ccm
CCM inaniuma sana hadi leo!Shirika gani lilikufa na bado linakuuma?
Mimi kcu inaniuma sana wazee walipigishwa shule leo hii wanakula wameshindwa kurudisha fadhila kwa kurivive hili shirika ili wakulima wasomeshe na watoto wengine. So sad
Umenikumbusha mbali sana TAFICO!!!lilikuwa zuri sana
Mimi naona walifanya makosa sana maana tulikuwa na viwanda vingi sana na ilibidi tukae tuandae mpango kazi wakubinafsisha kuliko tulivyofanya sasa hivi na hii ndo ilisababisha kifo cha Mwalimu Nyerere...............Hataari sana mfano Tanganyika Peckers walimpa Admijee akang'oa mashine zote motor na akafanya kiwanda ghara sasa maana ya kubinafsisha ilikuwa kuwapa watu wenye uwezo kuboresha zaidi siyo kubadirisha matumizi maana baada ya serikali kujitoa rasimi katika maswala ya kuendesha uchumi kwa kuendesha shughuli za uzalishaji!Kama mimi nakuwa rais ninawawajibisha wote waliohusika na kuhujumu taifa hili hasa katika mchakato wakubinafsisha mashirika!!