...Mkuu hiyo Red imenikumbusha mbali sana enzi hizo bhana ah!!..Hamis KinyeKAMATA, UDA, KAUDO, BORA, TAMECO, CHAKULA BARAFU, TAFICO, TES, etc
ZZK Mbeya.
Wana bodi najua wengi wenu mnakumbuka baadhi ya mashirika yalifilisiwa na mengine kubinafisishwa kwa bei ya chee!mfano NBC namengineyo mengi!ila mimi nakumbuka mashirka kama NASACO,TANGANYIKA PAKERS,TACOSHIL;MANG'ULA,FAIBERBOARD,GENERAL TYRE,na mengineyo!mimi lina niuma GENERAL TYRE je wewe?[/Q
MIMI NAUMIA TENA NAPATA MAUMIVU HADI LEO KITENDO CHA KUVUNJA SHIRIKA LA VIFAA VYA ELIMU TANZANIA.
Na kiukweli YANA ilichangia kuua hili shirika maana General iliingia mkataba na continental YANA waingia na Firestone wakaua na Chakwetu!General tyire yaani nikiangalia matairi ya kichina na hii yana ya kenye hapa napata hasira kabisa.