Edwin Mtei
R I P
- Dec 13, 2008
- 181
- 342
National Bank of Commerce of 1967
Hapo kuna viwanda na mashirika ya umma, mleta uzi hajalimit ni mashirika yapi...ya umma au viwanda ye kasema mashirika so inaelewaka mkuu!!Sasa hilo la mkate wa SIHA ni shirika au kiwanda? Wee vipi?
Wana bodi najua wengi wenu mnakumbuka baadhi ya mashirika yalifilisiwa na mengine kubinafisishwa kwa bei ya chee!mfano NBC namengineyo mengi!ila mimi nakumbuka mashirka kama NASACO,TANGANYIKA PAKERS,TACOSHIL;MANG'ULA,FAIBERBOARD,GENERAL TYRE,na mengineyo!mimi lina niuma GENERAL TYRE je wewe?
Shirika ni NMC.Mkate wa SIHA hata sijui jina la kampuni
N.M.C (national milling cooperation)Mkate wa SIHA hata sijui jina la kampuni