Shinyanga Mjini Vs Tabora Mjini

Shinyanga Mjini Vs Tabora Mjini

1 Tabora fursa ni nyingi sana kuliko Shinyanga.

2 Tabora is one of the cheapest town to live in tanzania

3 Weather kwa Tabora ni moderate haina joto sana wala baridi sana so ni ideal place for residence.

4 Maji Tabora siyo shida cause unaweza kuchimba kisima chako na maji ukapata ya kunywa bila shida.

5 Ardhi Tabora ni cheap kuliko Shinyanga na ipo ya kutosha sana.

6 biashara ni rahisi zaidi kutoka Tabora cause competition ni ndogo so any business you are likely to succeed.

7 Tabora ina mwingiliano wa watu mbali mbali ukilinganisha na Shinyanga ambayo 98% ya wakazi ni wasukuma tu who are so rigid kubadilika.

8 Tabora ni sehemu ambayo gharama za ujenzi ziko chini sana ukilinganisha na Shinyanga.

Etc.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona sehemu eneo la ardhi ni cheap kuliko pengine,jua hiyo sehemu pako nyuma kidogo kimaendeleo kulinganisha na hiyo sehemu nyingine.
 
Watu wanaozungumzia mzunguko wa pesa kwenye hii mikoa wanachanganya madesa bila kuwa na uelewa au utafiti wa hali ilivyo kwenye hii mikoa.

Hii mikoa kuna baadhi ya wilaya zina mzunguko wa hela mkubwa kuliko wilaya zingine sababu ziko wazi sana.

Mathalani Tabora wilaya za Nzega na Igunga zina mzunguko mkubwa wa pesa ukilinganisha na wilaya zingine kama urambo, sikonge na Kaliua sababu kubwa ni kuwa wilaya hizo mbili ziko kwenye barabara kuu ya kwenda Mwanza hivyo mwingiliano wa watu ni mkubwa ukilinganisha na wilaya zingine.

Kahama inabebwa na sababu mbili 1 uwepo wa dhahabu 2 kuwepo kwenye barabara kuu inayounganisha Tanzania Rwanda na Burundi do you expect this place to be idle?

Sehemu nyingi zenye wasukuma wengi mzunguko wa pesa lazima uwepo sababu zipo nyingi.
1 Wasukuma wanazaliana sana hivyo population unachangia consumption ya huduma mbali mbali

2 Purchasing power ya wasukuma ni kubwa sana hasa ukizingatia kuwa ni wazalishaji wazuri wa mazao mbali mbali na wafugaji wa kila kitu.

Hivyo hata Tabora sehemu yenye wasukuma wengi biashara huchangamka haraka kuliko maeneo ambayo ni wachache.


Wilaya za urambo sikonge na kaliua zimesthirika na mdororo wa zao la tumbaku ambalo lilikuwa likiingiza pesa nyingi sana kwa wakulima hivyo nakubali kwa sasa kwenye wilaya hizi mzunguko wa pesa umepungua kidogo.
Igunga Luna mzunguko mkubwa kuliko nzega

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shinyanga ardhi ni ghali kwa sababu ya population kuwa kubwa kuliko kawaida.

Wasukuma wanazaliana sana na wameweza kuhamia mikoa ya Tabora ambao kwa sasa 50% ya wakazi ni wasukuma, Katavi almost 30% wakazi ni wasukuma, Sumbawanga 20% wasukuma na Kigoma.

Sasa Shinyanga upatikanaji wa ardhi ni mgumu kwa sababu ya population tu.

Sababu nyingine wasukuma kwa asili yao ya ukulima huwa hawauzi mashamba hovyo hovyo hivyo demand ni kubwa kuliko supply.
Tabora na mikoa jirani wenyeji wanauza maeneo cheaply kwa sababu ya kutokuwa na matumizi nayo.
Ukiona sehemu eneo la ardhi ni cheap kuliko pengine,jua hiyo sehemu pako nyuma kidogo kimaendeleo kulinganisha na hiyo sehemu nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo umezidisha chumvi...nimetoka shinyanga juzi tu, mbona poa sana
Shinyanga mjini hovyo sana.

Hata ukitaka breakfast hakuna sehemu insyoeleweka ukanywa chai uka enjoy.

Chakula cha uhakika ni mchana tu tena sehemu moja tu ambayo wakati mwingine pia wanapika vibaya tu.

Ni sehemu ambayo bara bara ni chafu zimejaa udongo ijapokuwa ni za lami.

Usafiri wa tax ni wa shida,wafanya biashara hii wana nyodo na waongo.Unakubaliana nae unaamka mapema kuwahi basi,ikinyesha mvua tu anazima simu.

Biashara ni ngumu sana shinyanga,nadhani ni sehemu mojawapo ngumu Tanzania.

Maji ya ziwa yapo ila wanachanganya na maji ya bwawa chafu sana la ning"hwa na kuyafanya yawe ya chumvi na mabaya sana.

Bora Tabora sana utapata hata bookshop ya kueleweka,library nzuri,taasisi za mafunzo zinazoeleweka,na bara bara safi zisizo na mchanga

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umasikini bana ni shida sana nenda sa hivi Shy kamwambie Jambo,Fresho,Gaki etc hio Shy ni mbaya sijui haina mzunguko wa hela kama atakuelewa then ukitoka hapo nenda Tabora kaulize ma don wa Tabora kama mji huo ni mbaya kama watakuelewa.

Cha msingi we jiangalie wapi mishe zako zitafanikishwa then zama mazima.

Mtu atakwambia mji fulani hauna Shopping malls,sijui mahotel yenye swimming pools,hauna maghorofa yenye lift then wewe binafsi jiulize hivyo vitu vilivyotajwa vinakusaidia nini binafsi?

Je uwepo au kutokuwepo kwake kuna athari zozote na mishe zako

Fanya maamuzi chap.
Mkuu umeongea vema sana, huyo jamaa anitwa Jambo kunaeneo alijenga nyumba yake jirani kabisa a kiwanda chake cha vinywaji baridi, kwa pesa aliokuwa nayo aliweza kupabadilisha sana licha ya kwamba palikuwa pakame kabla hajaweka hiyo nyumba yake, Achana na kitu inaitwa pesa, wapo watu wengi maeneo mbalimbali ya nchi ambayo tunaambiwa yana neema na mizunguko ya pesa lakini ni mafukara wa kutupa, sehemu yeyote mtu unaweza kuishi ilmradi panakidhi na kukupatia kile unachotafuta, sio kweli kwamba ukienda sehemu yenye mzunguko wa hela basi utafika tu na kujazwa mapesa mfukoni, hata huko dar wapo watu ambao kula yao tu ya shida
 
Unataka mji uwe kama kiberiti....utadumaa kwa muda kisha utapanuka na kuamsha tena.
Ni kweli,lazima udumae kwanza baada ya miaka Kama 20 hivi unachangamka,
Kesi Kama Bariadi wao walihamisha stands zao na baada ya miaka 15 kumekaa level
 
Tabora ni pazuri by far, gata population tabora mjini ni watu around 230,000 wakati shinyanga mjini ni 170,000.

Mji wa Tabora ni mkubwa kuliko mji wa Shy, tatizo la Tabora mjini ni huo uislam ambao ndio unaleta uswahili.

Of course ugomvi wa serkali na makampuni ya tumbaku utapunguza sana mzunguko wa hela pale mjini, kwani wakulima wa tumbaku, japo ni kwa msimu, ni watu wanaoongeza sana mzunguko wa pesa.

Future ya baora pia ni bright, barabara ya kwenda itigi ikiisha, barabara ya kwenda kigoma na mpanda nazo zikiwa na lami, na bado barabara ya kutoka mbeya ambayo itachelewa sana kuwa lami yote, tabora patabadilika na kuwa hub ya huo ukanda

Shinyanga hapawezi kukua kwa kasi ya tabora, tayari pameshamezwa na kahama na watu wa pale wanategema sana kahama na mwanza kwa mahitaji, wafanyabiashara wa kati wa shinyanga wanapakimbia, wengi wamekimbilia igunga na tabora mjini.

Watu wa tabora soko lao kubwa ni tabora mjini, so biashara za tabora mjini zina uwezo wa kukua haraka kuliko shy, shinyanga watu wanaenda kahama, bariadi na mwanza.

Kwa hali ya hewa tabora ni better kiliko shinyanga, shida ya maji soon itakwisha mara maji ya lake victoria yatakapofika hapo.

Kama unafkkiria biashara, au kuishi, i d advise you kwenda tabora, you wont regret

Sent using Jamii Forums mobile app

Unataka kuharibu uzi wa mwenzio,,,hapo tiari ushaingizi udini. Inamaana waislamu ndio tatizo?? Natamani nikutukane but namuogopa Allah
 
Shinyanga ardhi ni ghali kwa sababu ya population kuwa kubwa kuliko kawaida.

Wasukuma wanazaliana sana na wameweza kuhamia mikoa ya Tabora ambao kwa sasa 50% ya wakazi ni wasukuma, Katavi almost 30% wakazi ni wasukuma, Sumbawanga 20% wasukuma na Kigoma.

Sasa Shinyanga upatikanaji wa ardhi ni mgumu kwa sababu ya population tu.

Sababu nyingine wasukuma kwa asili yao ya ukulima huwa hawauzi mashamba hovyo hovyo hivyo demand ni kubwa kuliko supply.
Tabora na mikoa jirani wenyeji wanauza maeneo cheaply kwa sababu ya kutokuwa na matumizi nayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kati ya shinyanga town na tabora town wapi papo populated zaidi?
 
Shinyanga na Tabora pote ni semi desert climate iwaje unasema Shinyanga pakame

Je Tabora na Shinyanya wapi pako karibu na Ziwa Vickitoria Hujui maeneo ya karibu na water bodies yanapata mvua nyingi zaidi through out the year

Tabora na Shinyanga pote pamekaa kizee kizee kabisa Tena Shinyanga ianazidiwa na baadhi ya wilaya zaka
Tabora na penyewe ipamekaa kimagumashi tu Mzunguko wa pesa pote huko Tabora na Shinyanga Mdogo


Labda ungeuliza wilaya zake Kahama Na Nzega ndio zina future mbeleni,hata hivyo ukuaji na future ya Tabora ni bora mara mia kuliko Shinyanga.Kilichoichelewesha Tabora ni kukosekana kwa miundombinu ya barabara ya kuunganisha na maeneo mengine ya nchi ndo maana palidorora lakini kwa sasa barabara ya kwenda Kigoma na Mpanda/Katavi iko mbioni kukamilika,ya Nzega hadi Mwanza tayari,ya kwenda Mbeya iko kwenye mchakato na ya kwenda Kahama na Manyoni karibu zinamalizika so ni juctioni nzuri na itakuwa na muingiliano mzuri
Ikumbukwe pia kwamba Sgr ya kigoma,mwanza,na mpanda zina junction Tabora


Sent using Jamii Forums mobile app
Nzega kuna future gani si bora useme Igunga utaeleweka.Hata hivyo future na ukuaji wa T
 
Acha kufananisha shinyanga na tabora,,,ukiachilia mbali shy mjini,,kwa kahama tu hafui dafu tabora yako sembuse shy mjin!

Tabora mzunguko wa pesa ni mdogo,,watu wake hawana pesa, hutangatanga miji mingine kutafuta maisha,, bora hata ya singida pamechangamka alakini co unyamwezn

Niriwahi kutembelea shinyanga nikajionea, kwakweri uwezi fananisha na tabora japo muzunguko wake co mkubwa saana.

Shinyanga
Alimasi
Zahabu
Taa za barabarani
Rami kila kona
Viwanda vya pamba
Kiwanda cha juice, soda na maji
Kwanda cha pastik
Kiwanda cha gesi/Mihan
Kiwanda cha nyuzi
Hospitali ya mkoa na rufaa imejengwa virevire
Mashule, madispensary kibao jombaa.



Tabora,
Mkaa
Asali
Maembe
Maneno maneno sanaa,, fitina,,kwendeana kwa waganga kwa waco na imani.
Kwenye ishu ya viwanda Shinyanga iko vizuri hii ni kutokana na hali yake ya Tambarare,vingi ya viwanda vilitakiwa kujengwa mwanza sasa jiografia na ufinyu wa ardhi ukatoa faida kwa Shy,is like Pwani na Dar
 
Back
Top Bottom