IsaacMG
Member
- Dec 6, 2019
- 91
- 124
- Thread starter
- #61
Na hili ndo lengo kubwa la huu uzi, kuangalia changamoto za eneo husika na kuzigeuza kuwa fursa za kiuchumi
Sent using Jamii Forums mobile app
Comment yako nzuri kwa matumizi ya baadae na inafaa kwa ajili ya ku-screen shot kwa kumbukumbu ya baadae, upiga mulemule maana vijana wengine huangalia madhari ya mji au huduma zitakazoweza kuwafanya wake eneo hilo comfortably pasipokuangalia changamoto zilizopo na kuzitafutia mradi.
Kuna mdau amesema Shinyanga pa hovyo hakuna huduma za chakula labda mchana, kwa kauli hii tayari wazo la biashara limepatikana kwa mtu kuanzisha baba lishe ila baada ya kufanya uchunguzi wa kwanini mchana kuna chakula alafu usiku magumashi
Sent using Jamii Forums mobile app