Latrice
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 2,389
- 2,366
Shinyanga ni kijiji ukilinganisha na wapi?
Na Tabora ni mtaa ukilinganisha na wapi? Kuna mtaa unaitwa Freemason Ipuli bhabha ni balaa zitooo
Shinyanga ni kijiji ukilinganisha na wapi?
Hao vichaa wanapanda treni bure!? Mbona huko unakosema wanatoka (mwanza n.k) idadi ya vichaa ni wachache kuliko hapo tabora?Vichaa wengi huja kwa usafiri wa treni mkuu maana Tabora inahudumia karibia mikoa yote ya magharibi na Mwanza na mara hivyo Vichaa hupanda tu kwenye trains basi hujikuta wapo Tabora, na kwakuwa Tabora gari moshi huchelewa sana kuondoka (kwani hapa hufanyika kwanza shanting) hivyo abiria hulazimika kushuka kwanza na ndipo hapo hata vichaa hushuka na kuanza kulandalanda huku na huko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Tabora, yani sehemu yenye waganga wengi tu lazima mauaji yawepo.Kwenye mauaji mzee siyo kweli mauaji yapo shai mzee kule ukiwa mzeetu basi siku zako zinahesabika macho yakiwa mekundu basi umeenda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alipitiwa huyo.Huo ukame Tabora uko sehemu gani?
Eneo kame Tabora ni wilaya Igunga tu.
Sehemu zingine zote zina maji mengi sana chini tena maji laini.
Tabora ni mkoa ambao hauna mito lakini una mikondo ya maji mikubwa sana ambayo haina mchanga ( mbuga)
Hivi sehemu kame inaweza kuwa ya nne kwa uzalishaji wa mpunga nchini ?
Tabora karibu kila familia ina kisima chake cha maji jirani na nyumbani huo ukame utoke wapi ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee sasa huu ni ubishani wa kwenye Gahawa, kama tatizo ni traffic lights hata Kahama zipo tena ni wilaya tu.Wewe muongo na nimnafik
Sasa ukisema barabara shinyanga nzuri Tabora wasemeje eti taa za barabarani unashangaa hilo je ungefika Tabora uone mpaka taa za kuongozea magari.
Tatizo ushamba mwingi sana hapo shinyanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mkoa gani Tanzania hauna lami kila kona?Barabara za lami Tabora zimekuwepo toka kipindi cha Mzee Mwinyi na sasa hivi kila mtaa ni lami tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasukuma na Wanyamwezi ni ndugu na wanaongea lugha mojaUshuhuda wangu mimi naona Tabora bora kuliko kwa wasukuma Shinyanga. Sema tatizo la Tabora ardhi kame sana. Wanyamwezj wajanja na wamechangamka. Ila watani zao wasukuma wanazingua. Mfano mzuri si wenye lugha nzuri ya biashara aisee. Ila all in all penye ugumu ndiyo pakutoboa.
Ila Ngokolo saluteMzee sasa huu ni ubishani wa kwenye Gahawa, kama tatizo ni traffic lights hata Kahama zipo tena ni wilaya tu.
Let's argue kuhusu vitu vya maana, kama mademu wa bila kutongoza Ipuli na madem wa kuhonga wanaume wa Ngokolo A na B


Tofautisha L na RTaa ya kuongozea magari hata kahama ipo wala co ajabu,,,Shinyanga wamewekewa rami sio chin ya 50 kilometres i think,, taa za barabara mpya na bado wanaenderea kuweka, tabora je?
Hebu nitajie viwanda vitatu tu mlivyonavyo huko ubangini?? Shinyanga nirienda napajua na tabora nirishawai kwenda.
Post ya juu naongeza na kiwanda cha bati kirichoko kahama,,,tabora je mnacho??
Nitajie viwanda vitatu jomba!
Sisi wasukuma mtani wetu ni mgogo!
ww sio vichaa hao ni usalama wa taifa!Tabora kuna vichaa wengi sana,inaashiria ulozi ni asilimia kubwa,vijicho,kufatiliana yani full uswahili,
Sent using Jamii Forums mobile app
Shinyanga mjini hovyo sana.
Hata ukitaka breakfast hakuna sehemu insyoeleweka ukanywa chai uka enjoy.
Chakula cha uhakika ni mchana tu tena sehemu moja tu ambayo wakati mwingine pia wanapika vibaya tu.
Ni sehemu ambayo bara bara ni chafu zimejaa udongo ijapokuwa ni za lami.
Usafiri wa tax ni wa shida,wafanya biashara hii wana nyodo na waongo.Unakubaliana nae unaamka mapema kuwahi basi,ikinyesha mvua tu anazima simu.
Biashara ni ngumu sana shinyanga,nadhani ni sehemu mojawapo ngumu Tanzania.
Maji ya ziwa yapo ila wanachanganya na maji ya bwawa chafu sana la ning"hwa na kuyafanya yawe ya chumvi na mabaya sana.
Bora Tabora sana utapata hata bookshop ya kueleweka,library nzuri,taasisi za mafunzo zinazoeleweka,na bara bara safi zisizo na mchanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Bangi haiwezi kufanya mtu kua kicha ila labda akiwa anadalili za ukochaa ama anamikataba na majini ambayo hayataki harufu hiyo kabisaWewe hao vichaa sio bangi ni ulozi
Nimekaa hapo Tabora miaka minne nimeuliza sana hilo wamenimbia hao ni wezi wakiiba wanarogwa ndio maana unaona vichaa wengi
Makokora
Ipuli
Isevya
Tabora Town
Watu watabora wanyamwezi waswahili sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nzega ni mji mkubwa kuliko Igunga lakini Igunga kuna matajiri wengi kuliko Nzega
Sent using Jamii Forums mobile app
Sababu wanalala mapema,saa moja unusu,kuondoa stendi pale mjini Kati kumechangia kuua mji wa shinyanga ,hakunaga Tena amsha amsha Kama zamani,Comment yako nzuri kwa matumizi ya baadae na inafaa kwa ajili ya ku-screen shot kwa kumbukumbu ya baadae, upiga mulemule maana vijana wengine huangalia madhari ya mji au huduma zitakazoweza kuwafanya wake eneo hilo comfortably pasipokuangalia changamoto zilizopo na kuzitafutia mradi.
Kuna mdau amesema Shinyanga pa hovyo hakuna huduma za chakula labda mchana, kwa kauli hii tayari wazo la biashara limepatikana kwa mtu kuanzisha baba lishe ila baada ya kufanya uchunguzi wa kwanini mchana kuna chakula alafu usiku magumashi
Again kuitoa stand nzega kuweka mbali na mji,kunaifanya nzega kwasasa idumae