Shinyanga Mjini Vs Tabora Mjini

Shinyanga Mjini Vs Tabora Mjini

Kwenye mauaji mzee siyo kweli mauaji yapo shai mzee kule ukiwa mzeetu basi siku zako zinahesabika macho yakiwa mekundu basi umeenda.
Tabora hali ya hewa safi, tatizo ni Uswahili mwiiingi na Uchawi, pia mauaji ni kitu cha kawaida hasa kwa maeneo ya pembeni, mzunguko wa pessa kawaida sana.
Shinyanga pakame mnooo, ushamba mwiiiingi na biashara hazitoki pia na kama zinatoka Wanaukabira

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ningeshangaa sana kama ningekosaa mchango wa mambo yetu yale ya vyupa aise.
Nimezunguka bar maarufu shinyanga zote hakuna kitu, nimeamua kuja Level One pia pamepoaaa hatari, tupo wateja watatu.! Acheni Dar ibaki kuwa Dar kwa japo watu wa mikoani mnaiponda ila Dar ni kila kitu.! Pale Gwanzuu Tegeta ukienda hata siku za kawaida lazima uta-enjoy, sasa hapa duun hata wahudumu ndo hvyo tena. Anyway nitapita Tabora pia kupaangalia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ukame Tabora uko sehemu gani?
Eneo kame Tabora ni wilaya Igunga tu.

Sehemu zingine zote zina maji mengi sana chini tena maji laini.

Tabora ni mkoa ambao hauna mito lakini una mikondo ya maji mikubwa sana ambayo haina mchanga ( mbuga)

Hivi sehemu kame inaweza kuwa ya nne kwa uzalishaji wa mpunga nchini ?

Tabora karibu kila familia ina kisima chake cha maji jirani na nyumbani huo ukame utoke wapi ?
Ushuhuda wangu mimi naona Tabora bora kuliko kwa wasukuma Shinyanga. Sema tatizo la Tabora ardhi kame sana. Wanyamwezj wajanja na wamechangamka. Ila watani zao wasukuma wanazingua. Mfano mzuri si wenye lugha nzuri ya biashara aisee. Ila all in all penye ugumu ndiyo pakutoboa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vichaa wengi huja kwa usafiri wa treni mkuu maana Tabora inahudumia karibia mikoa yote ya magharibi na Mwanza na mara hivyo Vichaa hupanda tu kwenye trains basi hujikuta wapo Tabora, na kwakuwa Tabora gari moshi huchelewa sana kuondoka (kwani hapa hufanyika kwanza shanting) hivyo abiria hulazimika kushuka kwanza na ndipo hapo hata vichaa hushuka na kuanza kulandalanda huku na huko.
Vichaa wengi Tabora si hasa kutokana na ulozi, bali uvutaji wa bangi. Bangi hulimwa aghalab katikati ya zao la tumbaKu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe muongo na nimnafik
Sasa ukisema barabara shinyanga nzuri Tabora wasemeje eti taa za barabarani unashangaa hilo je ungefika Tabora uone mpaka taa za kuongozea magari.
Tatizo ushamba mwingi sana hapo shinyanga.
Acha kufananisha shinyanga na tabora,,,ukiachilia mbali shy mjini,,kwa kahama tu hafui dafu tabora yako sembuse shy mjin!

Tabora mzunguko wa pesa ni mdogo,,watu wake hawana pesa, hutangatanga miji mingine kutafuta maisha,, bora hata ya singida pamechangamka alakini co unyamwezn

Niriwahi kutembelea shinyanga nikajionea, kwakweri uwezi fananisha na tabora japo muzunguko wake co mkubwa saana.

Shinyanga
Alimasi
Zahabu
Taa za barabarani
Rami kila kona
Viwanda vya pamba
Kiwanda cha juice, soda na maji
Kwanda cha pastik
Kiwanda cha gesi/Mihan
Kiwanda cha nyuzi
Hospitali ya mkoa na rufaa imejengwa virevire
Mashule, madispensary kibao jombaa.

Tabora,
Mkaa
Asali
Maembe
Maneno maneno sanaa,, fitina,,kwendeana kwa waganga kwa waco na imani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa jamaa ni hatari sasahivi wameshafika hadi lukwa jamaa hawafai kabisa.
Tabora kuzuri, shida ya Tabora ni mzunguko wa pesa kama walivyosema wadau

Mgogoro wa serikali na makampuni ya tumbaku umewaathiri sana wakazi wa tabora

swala la ukame ni kwa baadhi ya wilaya kama igunga na nzega na hili limechangiwa na jirani zetu wasukuma, hawa jamaa ni wavamizi wa maeneo na wakiingia sehemu wanahakikisha wamemaliza miti yote halafu wanahama kwenda kuharibu kwingine

Nafikili Agrey Mwanri atawadhibiti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Barabara za lami Tabora zimekuwepo toka kipindi cha Mzee Mwinyi na sasa hivi kila mtaa ni lami tu
Wewe muongo na nimnafik
Sasa ukisema barabara shinyanga nzuri Tabora wasemeje eti taa za barabarani unashangaa hilo je ungefika Tabora uone mpaka taa za kuongozea magari.
Tatizo ushamba mwingi sana hapo shinyanga.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani nzega kuna gari ambayo huwa haipiti pale?
Sema kahama ipo njiani bwana. Sema hata Tabora inajitahidi ni kati ya mikoa iliyokuwa imetengwa kipindi cha nyerere.
Tabora haiwezi kuifikia kahama mkuu.
Ndo maana sikutaka kuizungumzia japo iko ndani ya shinyanga.
Maana kwa Tanzania nzima ni mikoa michache sana inayoweza kuifikia kahama kwa mzunguko wa pesa. Huduma zote za kijamii kumbuka kuwa kahama ndo wilaya pekee yenye matawi ya bank zote kubwa hapa Tz pamoja na mabasi ya kwenda kila mkoa na nchi jirani pia.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhani kama wanyamwezi na wasukuma ni watani.
Ushuhuda wangu mimi naona Tabora bora kuliko kwa wasukuma Shinyanga. Sema tatizo la Tabora ardhi kame sana. Wanyamwezj wajanja na wamechangamka. Ila watani zao wasukuma wanazingua. Mfano mzuri si wenye lugha nzuri ya biashara aisee. Ila all in all penye ugumu ndiyo pakutoboa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hutojuta mkuu kuna sehemu panaitwa shimoni, ziro, bonana, nk
Nimezunguka bar maarufu shinyanga zote hakuna kitu, nimeamua kuja Level One pia pamepoaaa hatari, tupo wateja watatu.! Acheni Dar ibaki kuwa Dar kwa japo watu wa mikoani mnaiponda ila Dar ni kila kitu.! Pale Gwanzuu Tegeta ukienda hata siku za kawaida lazima uta-enjoy, sasa hapa duun hata wahudumu ndo hvyo tena. Anyway nitapita Tabora pia kupaangalia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe muongo na nimnafik
Sasa ukisema barabara shinyanga nzuri Tabora wasemeje eti taa za barabarani unashangaa hilo je ungefika Tabora uone mpaka taa za kuongozea magari.
Tatizo ushamba mwingi sana hapo shinyanga.

Sent using Jamii Forums mobile app

Taa ya kuongozea magari hata kahama ipo wala co ajabu,,,Shinyanga wamewekewa rami sio chin ya 50 kilometres i think,, taa za barabara mpya na bado wanaenderea kuweka, tabora je?

Hebu nitajie viwanda vitatu tu mlivyonavyo huko ubangini?? Shinyanga nirienda napajua na tabora nirishawai kwenda.

Post ya juu naongeza na kiwanda cha bati kirichoko kahama,,,tabora je mnacho??

Nitajie viwanda vitatu jomba!
 
Tabora ni pazuri by far, gata population tabora mjini ni watu around 230,000 wakati shinyanga mjini ni 170,000.

Mji wa Tabora ni mkubwa kuliko mji wa Shy, tatizo la Tabora mjini ni huo uislam ambao ndio unaleta uswahili.

Of course ugomvi wa serkali na makampuni ya tumbaku utapunguza sana mzunguko wa hela pale mjini, kwani wakulima wa tumbaku, japo ni kwa msimu, ni watu wanaoongeza sana mzunguko wa pesa.

Future ya baora pia ni bright, barabara ya kwenda itigi ikiisha, barabara ya kwenda kigoma na mpanda nazo zikiwa na lami, na bado barabara ya kutoka mbeya ambayo itachelewa sana kuwa lami yote, tabora patabadilika na kuwa hub ya huo ukanda

Shinyanga hapawezi kukua kwa kasi ya tabora, tayari pameshamezwa na kahama na watu wa pale wanategema sana kahama na mwanza kwa mahitaji, wafanyabiashara wa kati wa shinyanga wanapakimbia, wengi wamekimbilia igunga na tabora mjini.

Watu wa tabora soko lao kubwa ni tabora mjini, so biashara za tabora mjini zina uwezo wa kukua haraka kuliko shy, shinyanga watu wanaenda kahama, bariadi na mwanza.

Kwa hali ya hewa tabora ni better kiliko shinyanga, shida ya maji soon itakwisha mara maji ya lake victoria yatakapofika hapo.

Kama unafkkiria biashara, au kuishi, i d advise you kwenda tabora, you wont regret

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu KINONDONI SIO WILAYA?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kinondoni ingekuwa Nje ya dar ingepumua?
Kahama iko mkoani usiilinganishe na wilaya zinazobebwa na majiji....ndiyo maana utasikia MTU anasema naenda dar....huwezikusikia anenda kino...temeke...au..ilala,Ila unaweza kusikia naenda kahama na siyo shinyanga kwa sababu inajitegemea kwa kila kitu.
 
Taa ya kuongozea magari hata kahama ipo wala co ajabu,,,Shinyanga wamewekewa rami sio chin ya 50 kilometres i think,, taa za barabara mpya na bado wanaenderea kuweka, tabora je?

Hebu nitajie viwanda vitatu tu mlivyonavyo huko ubangini?? Shinyanga nirienda napajua na tabora nirishawai kwenda.

Post ya juu naongeza na kiwanda cha bati kirichoko kahama,,,tabora je mnacho??

Nitajie viwanda vitatu jomba!
Ticha mkurrya!!! Ma RRrr kama yote🐛✅
 
Nimezunguka bar maarufu shinyanga zote hakuna kitu, nimeamua kuja Level One pia pamepoaaa hatari, tupo wateja watatu.! Acheni Dar ibaki kuwa Dar kwa japo watu wa mikoani mnaiponda ila Dar ni kila kitu.! Pale Gwanzuu Tegeta ukienda hata siku za kawaida lazima uta-enjoy, sasa hapa duun hata wahudumu ndo hvyo tena. Anyway nitapita Tabora pia kupaangalia.

Hahaha Hapo mjini Kwetu paache tu
 
Umasikini bana ni shida sana nenda sa hivi Shy kamwambie Jambo,Fresho,Gaki etc hio Shy ni mbaya sijui haina mzunguko wa hela kama atakuelewa then ukitoka hapo nenda Tabora kaulize ma don wa Tabora kama mji huo ni mbaya kama watakuelewa.

Cha msingi we jiangalie wapi mishe zako zitafanikishwa then zama mazima.

Mtu atakwambia mji fulani hauna Shopping malls,sijui mahotel yenye swimming pools,hauna maghorofa yenye lift then wewe binafsi jiulize hivyo vitu vilivyotajwa vinakusaidia nini binafsi?

Je uwepo au kutokuwepo kwake kuna athari zozote na mishe zako

Fanya maamuzi chap.
Comment yako nzuri kwa matumizi ya baadae na inafaa kwa ajili ya ku-screen shot kwa kumbukumbu ya baadae, upiga mulemule maana vijana wengine huangalia madhari ya mji au huduma zitakazoweza kuwafanya wake eneo hilo comfortably pasipokuangalia changamoto zilizopo na kuzitafutia mradi.

Kuna mdau amesema Shinyanga pa hovyo hakuna huduma za chakula labda mchana, kwa kauli hii tayari wazo la biashara limepatikana kwa mtu kuanzisha baba lishe ila baada ya kufanya uchunguzi wa kwanini mchana kuna chakula alafu usiku magumashi
 
Tabora kuna vichaa wengi sana,inaashiria ulozi ni asilimia kubwa,vijicho,kufatiliana yani full uswahili,

Sent using Jamii Forums mobile app
Vichaa na vijicho, hicho kizazi kilishapita.
Sasaiv Tbr ni mji wa tofauti sana.

Zamani miaka ya 70'/80' hayo unayosema yalikuwepo na yalitokana na vijana kupendelea sana kutumia'msubha' ndiyo uliowafyetua akili na bhange la Tbr hata Jamaica wanalijua!

Me kuna watoto zangu wanaishi na kufanyakazi huko, hivyo huenda mara kwa mara kutembelea wajukuu zangu huko.

Tabora ni pazuri na ni mji wa kawaida wenye kubeba sifa zilezile kama za miji mingine hapa Tz.
Lakini ukitaka kulinganisha na Shinyanga,Tabora ni pazuri zaidi na mzunguko wake wa pesa ni mkubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom